Habar wadau
hope kila mtu leo upo home wiki iliopita nilianzisha mada ya fiber internet na kila kitu kikawa sawa kila mtu anajua kuwa unternet ni muhimu katika kusaka saka huku na kule niligundua kuwa kuna kampuni zaidi ya saba zinafanya fiber internet hapo city centre nazo ni
TTCL
ZUKU
LIQUID...
- Kivinjari (Browser) ni programu ya Kompyuta au Simu ambayo hufanya kazi ya kupangilia, kuleta na kuonesha maudhui kutoka kwenye tovuti. Unapobonyeza kiungo (link), unatumia kivinjari kutembelea tovuti hiyo.
- Takwimu kutoka tovuti ya Global Stats Counter zinaonesha kuwa kivinjari cha Chrome...
Ndugu zangu wana jamiiforum poleni na shughuri za hapa na pale naomba ushauri.
Nahitaji kufungua kampuni ya mtoa huduma ya internet "ISP" kahama, ni hatua zipi za kufuata na gharama ya kianzio ni kiasi gani ahsanteni
Unajua Nini Kuhusu Mkongo wa Taifa ?
Wakati unajengwa Mkongo wa Taifa tuliambiwa mengi na politicians pamoja na vyombo vya habari.
But personally bado nina maswali mengi kichwani. Wajuzi ningeomba watufafanulie some essues:-
1. Kwanini maeneo mengi upanikanaji wa internet bado ni shida...
Huyu meneja wa masoko wa TTCL afukuzwe kazi
Serikali popote mlipo, maboss wa TTCL, na wizara ya mawasiliano huyu afisa masoko wa TTCL ni hatari kwa usalama wa uchumi wa taifa hili
Anatoa wapi ujasiri wa kutumika kuhujumu shirika namna hii?
TTCL ndo kwanza wamefufuka, wanahitaji kuwafikia...
Natamani kusikia kuwa Serikali inaweka utaratibu ambao mtu binafsi anaweza kuunganishiwa Internet NYUMBANI KWAKE kutoka mkongo wa taifa na kulipia kila mwezi.
Na maanisha kuwe na package tofauti tofauti za kila mwezi kulingana na matumizi (speed) watu wachague.
Gharama za kuunganishiwa...
Naona serikali imefocus kwenye tehama kila siku nalisikia hilo neno, lakini ni kama unafiki hivi. kwasababu technologia nyingi sahivi zinahitaji internet. Sasa tutaendeleaje kwenye upande wa tehama wakati chachu yenyewe serikali yenyewe wameiondoa?
Mfano sisi wanafunzi wa upande wa IT na comp...
Usishangae kukutana na mwanafunzi wa elimu ya juu anaeandika na ukashindwa kusoma muandiko wake. Vijana wanafanya kazi za shule kwa kutumia computer, wanatumiana ujumbe kwa simu. Hii imefanya sanaa ya uandishi wa mkono kupotea.
Vitabu siku hizi wanasoma kwenye kindle. Niliongea na binti...
Leo hii huku tz mtandao cheap wa internet kwa jina la Halotel, wameamua kupandisha gharama sasa nikawa najiuliza, is tz still the cheapest in mobile internet??
Zifuatazo ni bei
Kwa sasa average price ya gb ni kama 1350 tzs / 65.2 kes
rate ( 1 kes = 20.7 Tzs)
Huko kwenu majirani hali ikoje??
Mojawapo ya Top guns wa mamlaka ya mawasiliano naye analalamika kuhusu speed ya internet aitwaye Inncoent Mungi kama sikosei ni afisa mawasiliano na mmewe mtangazaji susan Mungi naye analalamika.
Dah ila imekuwaje hii nchi Internet inachukuliwa kama anasa? ukiwasha redio kuna speech Rais samia...
Wajameni najua wengine wataleta dhihaka hapa ila nahitaji masaada kwa ambaye ameweza kutumia laini ya Safaricom Kenya kwa minajili ya internet , inafanyaje , charges zake?
Yaani mtandao utopolo haswa, nimeunga GB 3 za wiki yaani internet iko slow sana mwendo wa kobe. Hivi wenzangu mnawezaje kutumia mtandao huu?
Narudi zangu Zantel
Nimekua nikisikia malalamiko humu jf juu ya mtandao wetu pendwa wa ttcl, lakini kadri muda unavozidi kwenda naona kama wanajirekebisha maana leo nafurahia kasi ya ajabu ya internet na huku vifurushi vyao vikiwa na bei poa kuliko mtandao wowote hapa TZ.
HONGERENI SANA TTCL TUPO PAMOJA.
Napenda kuwasilisha malalamiko yangu kwa Benki ya CRDB kwa hasara mnazotupatia sisi mawakala kutokana na mtandao wenu kuwa wa hovyo kushinda benki zote
Mimi ni Wakala natoa huduma za uwakala wa kifedha upande wa mabenki binafsi kutokana na uzoefu kidogo katika kazi hii, nimegundua Benki ya CRDB...
Kwa kweli mimi nimeinua mikono kwa internet ya TTCL. Ni internet ya hovyo sijawahi kuona.
Kuna mtu aliwahi kuandika humu kwamba mshikaji wake anaishi Tabata, anatumia mtandao wa TTCL, akilalia ubavu wa kulia anapata mtandao ila akibadilisha akalala ubavu aa kushoto ama akalala chali hakuna...
Habari ya wikiendi wana JF wenzangu.
Jana baada ya kutoka mishemishe jioni si nikasema ngoja nitumbukie vocha nichungulie kinachoendelea mitamdaoni.
Nikapita dukani nikanunua Zantel ya 500 dhumuni nijiunge cha chuo ambacho ni MB 500 kwa siku 7 maana sina matumizi mengi ya data.
Ile kupiga...
Kuna mambo lazima tuseme ukweli, hata kama ni ukata lakini si kwa hali hii. Mitandao yote ya simu wamepandisha gharama za bando za internet bila hata kujulisha wateja wake, nini kimetokea ikiwa ni miezi 3 tu baada ya vifurushi kupandishwa wananchi wakapiga kelele sana vikashushwa chini, leo...
Vodacom na Tigo walikuwa na kifurushi cha @1000tsh dk 100, sms 100 na 1Gb 3days au kwa @1500 tsh kwa 7days.
Sasa hivi voda cha 3days wameweka 800MB na tigo 750MN.
Airtel ndio wameua zaidi in short jionee mwenyewe.
Najua serikali ina mkono au baraka zake hapa.
Sina tabia ya kusalimia naona ni suala la kupoteza muda tu wakubwa
Kuna mzungu flani nimemsikia akisema hayo maneno hapo juu ilinibidi nisogee karibu nimsikilize
Alikuwa mzee kwahiyo alivyoona nasogea kwa kuzuga aliacha kuongea
Je ili suala ni kweli ?
Katika miaka ya hivi karibuni mtandao wa Internet umekuwa ni moja ya maeneo yenye maendeleo ya kasi duniani. Kuanzia ujenzi wa miundombinu ya mawasiliano kwa njia ya internet, vifaa vya mawasiliano kwa njia ya internet kama simu na kompyuta, na hata matumizi ya internet, serikali mtandao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.