Fred Matiang’i, Waziri wa Mambo ya Ndani na Uratibu wa Serikali ya Kitaifa nchini humo amesema madai ya Naibu Rais William Ruto ya Serikali kuzima Umeme na Mtandao ili kutekeleza wizi wa kura ni kejeli kwa kuwa wanaunga mkono Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) kuendesha na kufanikisha...
Habari zenu wakuu,
Nina tatizo la network hapa nyumbani kwangu maeneo ya sebleni kwangu na chumbani kwangu ambako ndiko natumia internet.
Sasa kuna sehemu ya nje ni kama kibanda kisicho na umeme, network imejaa 4g huwa inashika vizuri sana, nataka niweke portable wifi router ndogo hizi...
Hongereni majirani, kwa sasa nyie ndio mnaoongozea kwa cheapest internet in East Africa.
Well, kwa huku kwetu TZ gharama zimepanda sana, kwa sasa GB 1 ni 1,861 sawa na shilingi yenu ya kenya 94.
Youtube views za miziki yetu zilivyo drop ni kithibitisho tosha,
TCRA kuna nini huko, Nachojua hizi internet TCRA ndio kama anaewajumulia mitandao ya simu waje kutuuzia kwa reja reja, Hatuwezi kuilaumu mitandao ya simu bali TCRA, Wao wakipandisha bei basi na mitandao inapandisha.
Kuna nini hasa ? Hizi ni danadana za haba na haba hujaza kibaba sitakja...
Hakuna waziri anayevutia wawekezaji kupata faida kwenye biashara ya DATA kama Nape nnauye, kijana anapiga kazi aiseeee
Nimeamka nakuta kifurushi cha 1500 nilichokuwa naapata gb1 kwa sasa ni mb 850, hapo ukilalamika utasikia Nape anasema TCRA fatilia hao, utasikia mnalalamika nini wakati...
GTs,
Nimekuwa muumini wa huduma bora toka VODACOM, hasa kwenye bundle za internet. Na nimekuwa muumini wa KASI INTERNET, ila cha ajabu bundle ya internet hiyo ya kasi imekuwa na spidi ya kobe, yaani kila kitu kipo slow mpaka najiuliza hivi kuna tatizo?
Je ni mtandao gani wa simu wenye internet...
Wadau wa JamiiForums eti inawezekanaje mtu kutumia mtandao free bila bando...
Kuna wanaosema wanatumia free intanet kwa kufanya ujanja kwa kutumia VPN proxy me nikaona niwashirikishe waungwana usikute nimepigwa.
Najua watu wengi sana hutumia internet katika mishe za hapa na pale,binafsi ni wale watu wanaoishi mjini kwa kutegemea internet kwa sana, pamoja na mengine ninayofanya ila nina mengi makubwa nayafanya kupitia internet.
Nimeshatumia internet mbali mbali za makampuni makubwa na madogo, na baadhi...
Tunakwenda vizuri.
Kenya Power will start offering fixed internet services by June next year in a shift that will put it in competition with telcos and trigger fresh price wars in the battle for the market.
The State-owned power utility has been piloting the fixed internet provision to a...
Siku chache zilizopita niliwasiliana na hii kampuni ya CONNECT 16 nikihitaji huduma ya internet kwa matumizi ya nyumbani(hasa huku remote areas) na nikapewa maelezo haya kutoka kwa mhusika:
1. Installation charges ni TZS 300,000/-
2. Monthly subscription ni TZS 75,000/- kwa package ya speed ya...
Habari za wakati wadau;
Kwa ambao wamewahi kutumia huduma za TTC internet kwa upande wa Copper Cable connection naomba mnipe mrejesho juu ya utendaji wake ukoje katika speed na kadhalika
installation cost ni sh ngapi means vifaa na ufundi total ni sh ngap nimeenda TTCL wameniambia vifaa...
Nchi za Afrika kwa idadi ya watumiaji wa internet.
Hizi takwimu zina maanisha nini?. Tanzania ipo nyuma tu ya Afrika Kusini na Nigeria kwa nchi za kusini mwa jangwa la Sahara.
Tanzania ina watumiaji wa internet millioni saba zaidi ya Kenya, Kenya haijawahi kuwa na internet penetration ya...
Fadhili Mpunji
Mwezi Aprili mwaka huu shughuli nyingi ya mauzo bidhaa za Afrika kwenye mtandao wa internet ilifanyika nchini China. Wateja wa miji mbalimbali ya China walitumia muda wao kwenye simu na kompyuta zao, wakitazama, kusikiliza, kuchagua na kununua bidhaa mbalimbali kutoka nchi za...
Leo siku ya tatu nina experience low speed ya internet, awali nilidhani nilijua shida ni airtel nayotumia nikaunga voda bado nikapata tatizo lile lile. Nilipouliza na wengine malalamiko ni hayo hayo.
Vipi kwako hali ikoje? Kama sote iko hivyo je ni maagizo ya TCRA? Maana juzi niliona...
Chuo cha Ualimu Korogwe Mkoani Tanga, pamoja na kutoa mafunzo ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA), lakini chuo hicho hakina huduma ya internet, hivyo kuwafanya wanafunzi wanaojitunza kozi hiyo kuwa ngumu wakati wa kufanya mafunzo ya vitendo.
Lakini pia, pamoja na Serikali kujenga...
Wakuu kwema...
Kutokana na changamoto ya bando, nikawa natafuta mbadala wa voda, nikawapata hawa net solution...
Wameniambia watakuja kufanya survey kama ninapokaa connection itakubali, installation wanafanya kwa 300k na vifurush vinaanzia 88k unlimited kwa mwezi.
Naomba kujua kama kuna mtu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.