internet

  1. BARD AI

    Kupunguza bei ya Internet ni muhimu katika kuhamasisha ulinzi wa taarifa binafsi na matumizi sahihi ya mitandao

    Matumizi ya Internet ni muhimu sio tu kwa mtandao usiolipishwa na wazi, lakini pia kwa kutambua haki za binadamu mtandaoni. Lakini hakuna faida yoyote kati ya hizi inayoweza kupatikana bila ulinzi thabiti na wa kina wa data, usalama wa data, ulinzi wa faragha na mifumo ya haki za binadamu...
  2. N

    Naomba mrejesho wa "Supakasi unlimited internet" ya Vodacom

    Habari wadau, Nahitaji kwa ambae anatumia huduma ya Internet ya Vodacom supakasi unlimited atupe mrejesho huduma yao ikoje upande wa kasi na kama Mbps unazolipia ndizo unazopata siku zote za mwezi. UPDATE APRIL 2023 Nilijiunga na Ttcl fibre baada ya Vodacom kukuta eneo langu halina 5G coverage.
  3. M

    Vodacom, tiGO wapandisha tena bei za vifurushi vya Internet. Nape unafanya kazi gani?

    Katika hali inayoelekea kuonyesha ukosefu wa uthibiti wa bei za vifurushi, Mitandao ya simu imeendelea kupandisha bei za vifurushi. Hadi jana shilingi 2500 ulikuwa unapata MB 1400, Sasa leo wameshusha tena, mtu unapata MB 1229 Hawa watu huenda wanafanya haya mambo kwa ridhaa ya serikali...
  4. DUMEGUY

    Nitapata wapi Internet cafe yenye speed kwa Dar?

    Habari, nipo dar na nilikua nahitaji huduma ya internet , kwenye internet cafe ila iwe na speed nzuri na mazingira yawe mazuri.. 20mbps to 100mbps. Asante
  5. BARD AI

    TOP 10: Nchi za Afrika zenye Internet yenye kasi kubwa ku"download"

    Sekta ya mawasiliano barani Afrika kwa namna fulani inakabiliwa na mapinduzi kila kukicha. Kuna mahitaji makubwa ya huduma za 5G kutokana na kasi ya mtandao inayoibuka duniani. Lakini wakati 5G bado haijaingia kikamilifu katika soko la Afrika, kiwango cha teknolojia ya kizazi cha 4 kwa mitandao...
  6. NetMaster

    Maandalizi ya kufungiwa adsl internet elf 25 kwa mwezi bila kikomo, niagize router kutoka nje ?

    nilienda ttcl kuwaomba wanifungie internet ya kwenye zile nyaya za simu ili nipunguze gharama za hivi vifurushi ghali, kuna dogo namjua tangu 2020 yeye anatumia hii huduma hajawahi kuwa na habari na hivi vifurushi ambavyo sisi tunalalamika. fundi aliniambia eneo langu huduma ipo ila vifaa kama...
  7. Kayombo Tips

    Mitandao ya simu ipige faida ya internet kwa mara ya mwisho. Elon Musk kuleta internet ya Starlink Tanzania

    Mwakani Elon Musk atazindua huduma ya internet kupitia kampuni yake ya Starlink. Elon Musk alisema kwenye tweet yake kuwa mwakani atazindua huduma ya internet ambayo itakuwa inapatikana dunia nzima bila kujali eneo gani upo. Ikumbukwe kuwa internet ya Elon Musk itakuwa inarushwa na satellite...
  8. NetMaster

    Mwezi ujao nataka nifunge adsl ya ttcl nipunguze gharama a internet, naombeni muongozo wenu wakuu..

    Mimi ni fundi seremala huwa napenda sana kutumia internet hasa youtube kuongeza ujuzi. Nimejikuta natumia wastani wa shilingi laki moja na elf 30 kila mwezi kwajili ya internet kwenye kucheki youtube, netflix, kudownload cartoon za watoto, kushare internet, n.k. Nataka nipunguze gharama hio...
  9. Mr Chromium

    Nifanyeje niweze kutumia internet nyingi kwa bei ndogo kabisa!!…na nina iphone

    Habar wakuu! Walengwa nadhani mmeelewa! Tatzo n simu yangu iphone je hakuna app za free internet za iphone Kama huelewi apo we basi🤣
  10. R

    shared vs dedicated internet? Speed na idadi ya watumiaji

    Habar wadau Hivi vitu viwili mm huwa sivielewi kabisa nilichogundua kuna kitu sikujui hapo ivo nikaona bora niulize ukienda kwenye mitandao km TTCL au SIMBANET nk wana internet za dedicated na wanadai speed haishuki na wala internet haikatiki ilabei yake sasa weeeh laki 5 per mouth not fair...
  11. Mganguzi

    Intaneti ni biashara si anasa. Intaneti ni ajira, si starehe kama pombe na sigara!

    Mwambieni waziri wa fedha pamoja na TCRA kwamba internet ni biashara sio anasa kama wao wanavyoweza kudhani vijana wengi wamejiajiri kwenye biashara nyingi za mitandaoni zinazotegemea zaidi internet na bando. Wapo YouTube, wapo Instagram, wapo kila mahali wanajiingizia kipato na kodi wanalipa...
  12. The Palm Beach

    Sensa na Changamoto ya Intaneti: Karani wa Sensa Akutwa Juu ya Mti akitafuta Mtandao Butiama, Mara

    Ni huko wilaya ya Butiama kwa Baba wa taifa hili Mwl J. K. Nyerere. Kwa jinsi ambavyo viongozi wetu wasivyopenda kukosolewa, si ajabu karani huyu wa sensa anafukuzwa kazi kwa kuposti picha hii na kueleza changamoto hii. Anaweza kuwa charged kuwa anahujumu zoezi la sensa. ======== Makarani wa...
  13. M

    Nahisi wizi kwenye MB za intaneti

    Huwa natumia sana mtandao wa Tigo. Leo asubuhi kama sa nne hivi nikanunua kifurushi cha intanet GB 1 ( huwa napata pia dk 30 kupiga mitandao yote). Cha kushangaza/kusikitisha mda mfupi uliopita naangalia salio la kifurushi hiki, nakuta MB 800 zimeyoyoma. Sijaangalia hata video moja. Kipindi...
  14. Simon Martha Mkina

    Don't switch off, internet is now a human right

    By Simon Mkina Every time governments turn off the internet, they use one of these five arguments to grease -up the real intention; it is a matter of national security; elections must be protected; violence must be avoided; cheating must be prevented, and the spread of false information should...
  15. sky soldier

    Internet ya uhakika na bei sawa na bure ni Adsl ya TTCL

    Usije ukadhani haya manguzo yenye nyaya zile nyembaba za ttcl zilizokuwa zinatumika zamani kwenye simu za mezani ni uchafu kwenye miji, nakujuza kwamba hizo nyaya ndizo zilikuwa zinasambaza internet miaka ile 2000 hadi 2010 enzi hizo ili upate internet inabidi uende internet cafe ambayo ilikuwa...
  16. Nasema Uongo Ndugu Zangu

    Pendekezo: Serikali ilipie Gharama za internet na TV Siku ya Sensa 2022

    Kama kweli inatupenda itulipie kesho gharama za internet ili tutumie tuwezavyo siku nzima pia ilipie vifurushi vya premium vya Tv kwenye visimbuzi vyote ili tusiboreke kuwasubiri makarani. Vinginevyo tutapata stress tushindwe kujibu maswali kwa ufasaha. Tafadhali mama hebu jaribu kutudekeza...
  17. Melki Wamatukio

    Internet ya bure imeharibu betri ya simu yangu

    Hello wanajamii forums, Ni wiki kama mbili sasa tokea kutumia zile apps za wire tun, Thor VPN na HA Tunnel zinazotoa huduma ya free internet kutoka servers za mbali kama vile UK, US, German e.t.c Simu yangu iliyotoka kiwandani ikiwa na 6000 mAh, ambayo ilimaliza siku 3 pasipo kuchajiwa kwa...
  18. Cannabis

    Waziri Nape Nnauye asema bei ya internet imeshuka wakati wa Rais Samia ukilinganisha na Machi 2021

    Kutoka ukurasa wa Twitter Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Mawasiliano Mh. Nape Nnauye amefafanua mafanikio ya serikali katika kushusha gharama za intaneti kwa watanzania. Kupitia ukurasa huo amesema "Kwa heshima ya wale waliouliza maswali ya Data kwa nia ya kuelewa na kujadiliana...
  19. N

    Gharama za bando kupanda kesho tarehe 18/08/2022

    Naaam mambo ni bull bull , hii meseji ya kuboresha vifurushi nafikiri maana yake inaeleweka vizuri, safi sana nasemaaaajeee safi sana Tanzania bado ni ya 6 afrika kwa vifurushi vya bei nafuu ,kwa nini gb moja isiwe tshs 5000? Labda ikifika GB 1 kwa tshs 8000 ndipo tutashuka na kushika nafasi...
  20. Sky Eclat

    Mwana mama amejifungua baada ya kununua mbegu za kiume kutoka kwenye Internet

    Bailey Ennis mwenye umri wa miaka 24 alitamani kupata mtoto lakini hakuwa kwenye mahusiano. Alitafuta kwenye interest na kupata sperm donor anaeuza kit ya sperm. Pamoja na gharama za post kit moja ni £25. Bailey alifanikiwa kutunga ujauzito October 2021 na sasa ni mama mpya baada ya...
Back
Top Bottom