Hello kwa wale watumiaji wa hii app fanya kama mnadondisha config files zake ili tu import tupate free internet
Binafsi nimepata kama tatu ila ziko expired
Usiwe mchoyo pls wadau
Mauzo ya Biashara za Mtandaoni yanakadiriwa kufikia Kiasi cha dola za Kimarekani Trilioni 6.3 mwaka 2023, sawa na ongezeko la asilimia 10.4 ikilinganishwa na mwaka 2022.
Ongezeko kubwa zaidi linatajwa kutokea ifikapo mwaka 2026 ambapo zaidi dola za kimarekani Trilioni 8.1 zitakusanywa kutokana...
Aisee yani mpaka aibu wanayo ongea na kujibishana huko.mwengine anaongelea ngono wakati nchi inatatizo la mashule kwao huko vijijini internet wanaisikia.
wengine wanatetea wasanii wao sababu alikuwa meneja,wengine waganga.
nchi hii mungu tusaidie maana tunazungumzwa vibaya na ilivokuw sifa media...
Habari wanaJF?, Natumai mko poa Sana, mwenzenu Nina changamoto Nina simu ya Aina ya infinix, hapo mwanzo nilikua nakonnect vizuri kwenye computer.
Sasa hivi karibuni nimekonnect Mara kadhaa haikubali inasema " Window unable to connect". Nimejaribu kutumia Tecno, imezingua ila nimetumia simu...
Pamoja na uwepo wa vigezo vingi vinavyoweza kutumika katika kuchagua Internet unayotaka kutumia kufanikisha kazi zako za kila siku, Gharama, Kasi pamoja na Uhakika wa upatikanaji wake hupaswa kuzingatiwa.
Pia, ubora na ukaribu wa kitengo cha huduma kwa wateja kutoka kwa watoa huduma hususan...
Tangu mwezi Novemba mwaka jana nimekuwa miongoni mwa wateja wa kwanza wa kutumia huduma za vodacom 5G supakasi ya home internet kwa kutumia device yao mpya ya NOKIA FastMile 5G Gateway 3.1 na leo ningependa nitumie jukwaa hili kutoa uzoefu wangu kama mmojawapo wa wateja wa kwanza wa 5G internet...
Miaka hiyo kutumia saa moja internet ilikuwa tsh 500 hadi 1000. Kumfungulia mtu email ilikuwa tsh 1,000. Ni miaka ambayo nlitengeneza sana pesa. Maana nlikuwa na ofisi mbili za internet.
Moja sinza na nyingine Kijitonyama. Mi nazunguka tu na Baloon kutembelea ofisi. Watu wanachat kupitia Yahoo...
Nimeshuhudia mwenyewe, nimeuliza na wenzangu. Kila mtu analalamika vilevile.
Kwa vile mahitaji ya internet yamekuwa basic needs, yaani mtu Bora asile mchana ila bando awe nalo.
Cha kushangaza Bei ziko juu sana na linaisha Mapema sana.
Nape hili hawezi lielewa maana limekaa kisayansi na yeye...
Siku ya jana katika maazimisho ya siku ya uhuru waziri wa habari na mawasiliano alifanikiwa kuzindua internet yenye kasi zaidi katika kilele cha Mlima kilimanjaro chenye urefu wa mita 5,895kutoka usawa wa bahari.
Huduma hii ya internet ni sehemu ya kuifungua zaidi Tanzania katika Nyanja za...
Hawa jamaa wa Starlink wanasema mwakani wanaingia Tanzania. Gharama zao zipo namna. Kununua ungo na router na cables ni dola 500 hadi 600. Kama wastani wa 1.3 za kitanzania. Lakini lengo ni watashusha hadi nusu ya hiyo bei.
Malipo kwa mwezi ni dola 100. Karibu 240,000 kwa mwezi. Internet...
Starlink provides internet access to over 40 countries globally, with Tanzania set to become the third country in Africa after Nigeria and Mozambique.
The Citizen reported that the service will be available in the East African country from the first quarter of 2023 and will be expected to boost...
Nashangaa sana kuona watu wanayopotoshana kwamba ujio wa starlink Internet hapa Tanzania ndio utakuwa suluhisho la unlimited internet ghali kama supakasi ya voda.
Kama hauwezi kumudu internet unlimited ya supakasi kwa 115,000 basi ondoa shaka kabisa kwamba star link itabaki kuwa ndoto daima...
Mtandao wenu recently umekuwa slow sana, ile edge ya advantage mliyokuwa nayo dhidi ya wenzenu katika issue ya speed ya internet mnaipoteza, halafu siku hizi ilifika usiku saa sita kwenda mbele internet yenu haipatikani kabisa.
Hivi nyie hamjui kuwa kuna watu wanatumia internet hadi usiku wa...
MADAI
Inadaiwa kuwa Tovuti ya Starlink inayomilikiwa na mfanyabiashara bilionea ambaye pia ni mmiliki wa Mtandao wa Twitter, Elon Musk imetangaza mpango wa kuleta huduma ya intaneti kwa njia ya satelaiti (starlink) nchini Tanzania kati ya Januari na Machi 2023 endapo itaruhusiwa na Mamlaka ya...
Hadi sasa sina shaka kwamba kwenye uwanja wa unlimited internet, hawa supakasi chini ya Vodacom ndio wana uwezo wa kufikia wateja wengi kila mkoa kuliko hata fibre ambazo sana sana zipo mjini kati kwenye majiji machache.
Kimbembe kipo kwenye bei hapo, sina shaka kwa matajiri na wanaotumia...
Aliyewahi kuwa Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Dkt. Faustine Ndugulile amesema kuwa Internet ni nyenzo muhimu kwenye kuchochea maendeleo.
Kupitia andiko lake kwenye mtandao wa kijamii wa Twitter, Dkt. Ndungulile amesisitiza umuhimu huduma hii kupatikana kirahisi, kwa gharama...
Watu wanalaumu kuhusu mb kupanda Bei lkn muuzaji wa huduma hizo Ni Kampuni ya serikali TTCL. Kupitia mkonga wa Taifa. Kifupi kitu kinachoendeshwa na umma na kisichishindani kwa nchi za dunia ya tatu Ni kasoro kubwa na huumiza wanyonge.
Kampuni zikiwa huru kupata huduma hizo kupitia satellites...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.