TCRA Wametoa report ya Q2 inaonyesha watumiaji wapo 35M wa internet.
Hii ni work force kubwa sana , na ni muda wa serikali kuwaza sasa kutengeneza ajira za mitandaoni nyingi sana.
Ukosefu wa ajira za kawaida na ongezeko la watumiaji wa internet inaleta picha ya ama serikali itengeneze ajira...
Kwanza kabla ya yote naomba kusema kwamba nchi ya Tanzania ndio yenye bei ya chini zaidi ya bando za internet katika ukanda wa Afrika Mashariki.
Pili ukichukua wastani wa mshahara wa kila mwezi, inaonekana watanzania ndio wanalipa asilimia kubwa zaidi ya mapato yao katika kununua bando la...
Wataalam kama mtu ana zuku fiber unlimited ndani na anataka tazama Mpira EPL au TV zozote za nje ...inatakiwa afanyaje?
Kuna mtu kaniambia lazima nitafute android TV box kwanza?ni kweli?
Njia zipi za kupata channel za nje kupitia unlimited internet ndani?
Hata kupata sky channels moja Kwa...
Wakuu
Wote tunakumbuka kipindi cha Magufuli mambo yalivyokuwa.
Baada ya purukushani zake za kutishia wapinzani, kuzorotesha uchumi na mwisho kuona majority ya watanzania hawamkubali zikaanza figisu za kutuminya kipindi cha Uchaguzi.
Sijui alikuwa na wasiwasi wa nini?
Uchaguzi mkuu ulivyofika...
Yaani Airtel ni kero kweli. Mtandao mkubwa namna hii mji mzima internet iko 2G? Hata hapa napost kwa shida.
Kupiga huduma kwa wateja, ni mlolongo wa maelezo recorded na huwezi kupata direct access ya mtoa huduma.
Ni kero juu ya kero. Kama mmeshindwa kazi semeni tuhame.
Tangu mwaka huu uanze sikumbuki siku ambayo nilikuwa offline, Nina biashara zangu na kazi sio kwamba nipo idle.
Yani uwe na smartphone halafu ukose data waweza kuhisi unakosa mahitaji ya msingi, ukifika hii stage jijue ushaanza kuwa mraibu.
Matumizi ya data napenda kuingia Youtube kufatilia...
Habari Wadau.
Naona watu wengi wanalalamika bando zinaisha haraka.
Nawashauri wafunge unlimited internet nyumbani.
Ni cheap sana kulinganisha na kununua bando.
Nyumbani mfano mnaishi watu watano wenye smart phone.
Internet unlimited ya elfu 70 kwa mwezi inawatosha kila mtu kuenjoy kwenye...
Wakuu Salaam,
Naomba msaada kujua mtandao gani kati ya Vodacom, Tigo, Airtel, na Halotel wana gharama nafuu ya POSTPAID INTERNET CONNECTION na wenye kasi nzuri.
Asante.
Mwezi mmoja na nusu ago, tulikuwa na speed nzuri mtu unashusha ma series na movies kibao tu kwa siku. Mimi ilikuwa inanimotisha nachapa kazi sana na sioni shida kutoka usiku saa 2 au 3 bila hata kujaza overtime.
Lakini ghafla kwa sasa mtandao umekuwa wa kawaida sana mwezi wa 3 huu ....yaani...
Habari za wakati huu;
Ni matumaini yangu kwamba mnaendelea salama kabisa na harakati zenu za kujenga Uchumi binafsi na watanzania huku mkiendelea kupambana kupata mgao wenu wa Keki ya Taifa ambapo kwa wakazi wa Dar es Salaam wanapambana angalau wafikishe pato la Milioni 4.8 kwa mwaka na kwa...
Wakati Tanzania tukiwa na mawazo ya KIJINGA kufikiria kukamata wanaotumia VPN kisa huduma ya internet bongo ni mbovu na TZ inazuia baadhi ya mitandao ya kijamii kupatikana nchini bila sababu za msingi.
Wenzetu wanajenga vinu vya nyuklia kwaajili ya nishati ya umeme. Juzi kati serikali ya...
Habari wadau.
Nimekumbuka Dar ya miaka ya 90s.
Vijana waliokuwa wanatamba mjini ni wale wa kishua.
Watoto wa o bey, upanga, mikocheni ndio walikuwa habari ya mjini.
Viwanja kama bills, slipway, mikadi beach, coco beach walikuwa wanatamba wao tu.
Vijana maarufu ni wale washua wanaosoma...
Kampuni ya kusambaza mtandao ya Starlink ya Elon Musk imepewa kibali cha kutoa huduma nchini Zambia.
Kwa sasa wazambia wataanza kupata internet ya kasi zaidi kutoka Starlink.
Kumbuka Starlink inakupa internet ya 1 Terabyte kwa chini ya shilingi laki 1 kwa mwezi kwa kazi kubwa na ukimaliza hiyo...
Nchi nyingi zinaweza kuona faida katika kujiunga na mfumo wa Starlink kutokana na sababu kadhaa:
1. Kufikia maeneo ya mbali: Nchi nyingi zina maeneo ya vijijini au ya mbali ambayo hayajafikiwa na miundombinu ya intaneti ya ardhi. Kwa kujiunga na Starlink, nchi zinaweza kutoa huduma ya intaneti...
TCRA katika taarifa yao kuhusu ufafanuzi wa bei za data iliyotolewa Mei 9, 2022 ilionesha kuwa zaidi ya 95% ya watanzania hutumia data kwa kujiunga vifurushi vinavyotolewa na mitandao. Yaani watanzania hawatumii internet kabla ya kujiunga na kifurushi.
Suala hili limenifanya niangalia kwa mwezi...
Satellite internet is wireless internet beamed down from satellites orbiting the Earth. It’s a lot different from land-based internet services like cable or DSL, which transmit data through wires running underground. Since it’s the only internet service that’s available nationwide, satellite...
habari wakuu naomba ushauri kazi zangu zinahusisha kwa kiasi fulani wateja kuwa na internet hivyo najikuta nalazimika kuwaunganisha wateja wangu na watu wa internet provider mara nyingi.
nimepiga calculation zangu nimekuta nimeunganisha takriban wateja 16 ndani ya mwezi tu hawa wote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.