Kama umekosa huduma ya intaneti kwa saa kadhaa leo, tambua shida sio kifaa unachotumia bali ni tatizo la kiufundi lililotokea kwenye miundombinu ya intaneti iliyopitishwa baharini.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Dk Jabir Bakari amelithibitisha hilo alipotafutwa na...
Mtandao kupotea ghafla hewani, umepata changamoto gani mdau?
=======
Leo Jumapili, Mei 12, 2024 limetokea tatizo la internet kwenye mitandao ya simu Tanzania kuanzia saa nne asubuhi. Taarifa za awali zinasema mkongo wa kimataifa uliopita chini ya maji uko chini ukizikumba pia Mombasa mpaka...
Hivi ukiachana na maswala ya VPN coz huwaga yanazingua sana, Kuna njia yoyote nyingine ya kupata Free internet data.
Mwenye ujuzi aniuzie, nataka niifanye fursa
Habari ya uzima wanajanvi?
Imani yangu nyote wazima wa afya na akili kwakuwa yupo alietuwezesha kupata nafasi hii mpaka sasa?
Tusichoshane sanaaa
Nina wazo la biashara ambalo linahusu usambazaji wa huduma ya internet isiokuwa na ukomo (Unlimited internet) kwa kutumia local network providers...
Makampuni mengi unlimited yanatoa TB 1 hasa kwenye vifurushi vya chini kwa matumizi ya nyumbani
Mtu analalamika 1 tb ndogo na tunajua kibongobongo wengi hawatumii net kufanya backups, kutumia online cctv, n.k.
wanaofanyia shughuli zao kama Video Library naweza kuwaelewa lakini hawa wengine...
📣Tumekuletea Fiber to Home: intaneti ya uhakika, isiyo na kikomo na yenye kasi zaidi Tanzania.💫
Huduma hii mpya kutoka #Tigo, inakuwezesha kuunganisha nyumba, biashara, shule, chuo, ofisi yako na intaneti ya uhakika bila kikomo na kukufungulia ulimwengu wa Kidigitali🌍 kwa gharama ya kuanzia Tsh...
Habari wataalam.
Nilikuwa nawaza labda ni simu yangu ina shida. Sasa ina maana simu yangu inasumbua usiku tu mchana haisumbui.
Nilisikia pia watu wanasema usiku watumiaji ni wengi sijui traffic inafanyaje sijui inagoma ndio inasababisha hiyo mitandao inakuwa bize..Hilo mi sijui wanajua wenyewe...
Habari wadau
Binafsi nashangaa sana watu hasa wasomi wenye smartphone wanaoamini story za ushirikina zama hizi
Ukweli ni kwamba ukijipa muda wako kujifunza zaidi kuhusu cognitive science and psychology, Human psychology na Science of Emotion ilivyo. watajua ukweli mwingi sana wa ubongo...
Wakuu kwema? Pasaka inaenda vyedi? Wenye mko kwenye mfungo, swaumu njema.
Jamani bando ni gharama ni gharama si mchezo hasa kwa watu wanaotegemea bando kufanya shughuli zao, kama mnavyojua mambo mengi sasa hivi yanamalizika mtandaoni.
Bando ni gharama kubwa sana, na hazikai! Unaweka bando la...
Huduma za Internet kwa mitandao ya Tigo, Voda na Airtel kwa Tanzania ni mbovu mno.
Mtu unaweka bundle lakini mpaka inaisha unakuta hujatumia ipasavyo kutokana na kukatika katika kwa huduma husika.
Muda mwingi network hakuna hata ikiwa ni maeneo ya mjini kabisa.
Hivi wahusika mnajielewa...
Kamanda Murilo leo ametangaza kukamata watu wawili, mtanzania na mchina kwa kuingiza vifaa na kutangaza kutoa huduma ya internet ya starlink. Polisi wamesema wameuza vifaa hivyo bila kuidhinishwa na TCRA.
Naona kama mitandao yetu wanaipiga pini starlink by fire, by force 😅 Kwanini Serikali...
Mitando imekuwa na huduma mbovu ya Network sana, Mfano Vodacome now day inasumbua mnoo, kutuma sms, internet kuna mtu haifanyi kazi, Je, Ni kuwa imeelemewa sana wateja wameongezeka ikiwa hawajaongeza jitihada ya kuwamudu. Au tatizo liko wapi!
Na tigo ndo kabisaaaa
Hawatoi tamko lolote lile...
Watu wengi tunaogopa kuanzisha biashara fulani kwa kuogopa kwamba ma giant wameshajaa hivyo hatutapata wateja.
Soko la maji ya kunywa lilikuwa limetawaliwa na kilimanjaro, kila sherehe ya harusi utakayoenda maji unakuta Kilimanjaro. Kila hotel kubwa ama bar kubwa maji unakuta kilimanjaro, leo...
Tarehe 27, Februari, mwaka 2014, rais Xi Jinping wa China alitoa dira ya "kujenga nchi kuwa na nguvu katika sekta ya mtandao wa internet". Katika muongo mmoja uliopita, China imejizatiti katika utekelezaji wa dira hiyo na kupata mafanikio makubwa, iwe katika upatikanaji wa huduma za internet au...
Ndugu zangu nilijiunganisha na airtel 5g unlimited internet nikajua kwamba hawana limit ya volume kumbe unahesabiwa gb na GB zikiisha speed ya internet inapungua. Mimi nilitoka kuwa na speed ya download 30Mbps Upload 5OMbps kwenda mpaka 1Mbps download na 2Mbps upload daah nichangamoto kubwa...
Habari naomba Vodacom mnitaftie ufumbuzi kwaninhili tatizo kwangu limekua la kudumu.
Nimelipia Supa kasi Fwa ya 115,000 -up to 20Mbps lakini shida inakuja kila mara mnara unaondoka na ishatokea hivo zaidi ya mara 10. Inanibidi nicheki na watu wenu wa customer service nayo imekua changamoto mtu...
Habari wadau.
Binafsi nawashangaa sana watu wanaolalamikia kwa nini star link haipo?
Chief-Mkwawa amelinganisha vizuri kuhusu bei za internet ya starlink vs bei za ISP wa bongo.
Bei za unlimited bongo now Airtel 70,000, TTCL 55,000, Vodacom 120,000, Zuku 69,000, Raha 50,000, Netsolution...
Unapozungumzia setelite tofauti na huduma zengine ambazo ni rahisi kuwekewa vikwazo mfano mfumo wa redio za sauti,mawasiliano ya simu na njia za waya au wireless zenye uwezo masafa yasio kwenda juu usawa wa bahari.
nimeleta mada kwenu sababu hiki kifaa nakitumia hapa tanzania na kwenye usajili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.