Habari hapa jamani! Nimewaza aise nadhani imefika wakati sasa mitandao(internet) iwe moja ya mahitaji muhimu ya binadamu kwasababu:-
kuna muda mtu ukikosa bando mambo hayaendi kabisa that’s vivid ni kama kuna kuwa na kitu unakuwa umekosa 😅😅 same kama ukiwa umekosa kula vile na hivi ambavyo...
Nimeona jamaa hawa wanatangaza internet yao ya satellite kwa 60k kwa mwezi. Huko nyuma nomewahi sikia kwamba internet ya satelilite huwa slow sana ukifananisha na ya cable/minara.
Pia naona unatakiwa kuwa na dish na mambo mengine mengi tu. Kwa aliyeitumia, inapatikana maeneo gani nchini? Ni...
Kwako waziri Nape
Siku za hivi karibuni kumejitokeza hali isiyo ya kawaida ya spidi ya Mitandao ya Voda na Airtel kuwa ndogo sana.
Licha ya spidi kuendelea kuwa ndogo lakini gharama za vifurushi vyao imeendelea kuwa ileile (ukiachilia mbali like sakata la mwaka Jana la kupanda bei za...
The Kenya Pipeline Company (KPC) on Thursday launched its fibre optic cable that will run from the Mombasa port through Nairobi to Kisumu and Eldoret in western Kenya.
The state corporation is conventionally mandated to transport petroleum products from the Mombasa port to the hinterlands in...
Niaje wadau, nahitaji internet service providers kwa ajili ya shughuli za kiofisi.
Ni kampuni gani iko vizuri na huduma zake ni nafuu!
cc Chief-Mkwawa Extrovert kelphin kepph Behaviourist
Asanteni.
Thirteen years since Kenya welcomed its first ever fibre optic cable, the country has now unveiled a sixth submarine internet cable that promises to offer higher speeds, lower latency and broader bandwidth.
The launch of the Pakistan and East Africa Connecting Europe (Peace) cable on Tuesday...
siongei sana, wacha tunyoke moja kwa moja kwenye hizi points zaidi ya 20
Bei ya iphone ipo juu kwasababu haitaki ushindani
Iphone ni kama unaposafiri safari ndefu kwa basi, huwa kuna ile migahawa ipo highway sehemu ambazo hakuna makazi, bei ya "robo sahani" ya chipsi na vimishkaki vidogo ni...
Hello bosses.......
Kuna muda matumizi ya internet yanabanwa kiasi fulani hivyo kufanya watu wengi waishie kutumia VPN. Japo matumizi ya VPN yanaonekana kuaminiwa sana ila kiukweli mara nyingi hizi free au cheap VPN haziko safe sana sana kwenye privacy yako kwa sababu wao wanapata browsing...
Katika biashara mtu bei uwa inapungua kwa kadri anavyonunua vitu vingi, lakini kwa mitandao ya simu upande wa data za internet imekuwa tofauti.
Yani kwa kadri unavyonunua ndivyo unachajiwa zaidi.
Kwa mfano:
Airtel unakuta 1500 unapata 1gb
Ila wana kifurushi cha 8gb kwa 15000, ikiwa ina maana 1gb...
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imetaja vitu vitatu vinavyosababisha kuisha kwa bando haraka ikiwa ni pamoja na kuongezeka kwa kasi ya internet, uwezo wa simu janja na kuwa na application nyingi kwenye simu.
Pia imesema gharama za kupiga simu kutoka mtandao mmoja kwenda mwingine nchini...
Siku ya Kimataifa ya Mitandao Salama inalenga kuongeza ufahamu wa masuala yanayojitokeza mtandaoni ili kuhamasisha mitandao salama na bora zaidi.
Katika kuadhimisha Safer Internet Day, changamoto kama unyanyasaji mtandaoni na nyinginezo hupewa umuhimu kwani siku hii inalenga kuongeza ufahamu...
Wakuu habari zenu.
Natumai mu wazima.
Kutokana na mabando kuwa juu, niliamua kwenda maduka ya TTCL na Voda shop kuangalia home internet.
TTCL walinipa hii details.
Kulingana na matumizi yangu nilipenda hicho cha 55k.
Lakini sijajua wakoje kihuduma plus kununua DSL modem.
Nikaamua kucheki...
Wakuu nahitaji mrejesho kwa wanaowafahamu , hawa wana fiber mjini na nje ya mji au mikoani ni wireless but wanajinasibu wana unlimited yeny bandwith kama posta yao inavyoonyesha au tofauti na hawa nipeni some recomendations
Habari Wakuu. Nina laptop aina ya Toshiba ila tatizo niiiunga na WiFi hotspot ya Simu yangu ya Tecno inakula data so mchezo. Juzi tu niliiunga ili kuperuzi website kadhaa lakini ndani ya dakika tano ikawa imetafuna MB 300! Naomba msaada nifanyeje kudhibiti hii hali.
Heri ya mwaka mpya wakuu!
Kwa wale wanaofanyia kazi nyumbani unaweza kutushirikisha ni internet ipi unayotumia na gharama zake zipoje pia. Na kama hutojali unaweza kushare desk setup yako tuweze kuona inamuonekano gani.
Nakumbuka nilikuwa kijijini baada ya UCHAGUZI wa mwaka jana na kura kuanza kuhesabiwa ghafla siku ya kwanza yakuhesabu kura mtandao wa internet ukawa haupatikani nikaona labda itakuwa nitatizo la kiufundi. Aisee tumeenda siku ya pili mpaka wiki inapita no internet. Kuja kushtuka jiwe kaisha...
Naombeni mnijuze hii ttcl internet fiber huwa inavyopita chini inawezaje kusambazwa majumbani, inabidi machimbo yachimbwe majumbani ili kuvutiwa waya wa fibrea au inakuwaje?
Msaada wana jukwaa, nimekua na tatizo la matumizi makubwa ya bando mpaka imekua kero kwangu kujiunga unga mara kwa mara na vifurushi vya internet.
Hata zile apps zinazo tumia data huwa nazi shutdown lkn tatizo lipo pale pale , pia sio mtu wa kuangalia videos mtandaoni kiviile lkn kifurushi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.