Ni nchi 4 tu za Afrika zitaongezwa kwenye huduma ya internet ya kisasa zaidi duniani inayotumia satellaite kurusha data moja kwa moja kwa mtumiaji.
Katika mpango wa usambazaji wa huduma hii ya kisasa kabisa zipo DRC na Uganda pekee utoka E.A. ambazo zinaungana na Kenya na Rwanda kupata huduma...
Hello
Ni wakati sasa tunajifunza jinsi ya kutafuta loopholes kwenye ISP yeyote unayehitaji, katika makala hii tuenda kujifunza jinsi Gani tunaweza tumia udhaifu wa ISP na kupata free internet access unlimited na capped (yenye ukomo)
N:B; huu Uzi ni Kwaajili ya elimu pekee na sio vinginevyo...
Hizi router zimekuwa mzigo kubeba, nimemiss kutembea na pocket router inayobebeka mfukoni
Mwanzoni nilidhani line imefungiwa kusoma kwenye imei moja tu lakini nimetest kwenye router kama yangu ya mtu mwengine inakubali.
Nimetesti kwenye pocket router matoleo mawili tofauti, mtandao unaofanana...
N:B: Ni muhimu kupima Network kwenye eneo lako kabla ya kununua kuzuia hasara.
Haya mambo ya kununua vifurushi vya buku buku unaweza kujikuta unaunga mara 3 na zaidi kwa siku, haba na haba hujaza kibaba mwisho wa mwezi umechoma 80k hadi laki kwenye bando
Suluhisho ni huduma ya unlimited...
Makampuni ya Simu kwa kipindi kirefu sasa zaidi ya Miaka 10 tangu 2010 yameshindwa kuhakikisha Huduma Bora ya Internet katika tarafa ya Mashati, Wilayani Rombo Mkoani Kilimanjaro.
Si network ya kupiga simu au ya kutuma ujumbe mfupi (SMS) wala internet, zote ni mbovumbovu na karaha kwa watumiaji...
Anonymous
Thread
bora
huduma
huduma bora
internet
kipindi
makampuni
makampuni ya simu
mashati
miaka
miaka 10
simu
zaidi ya
Yani umejipinda kununua simu kali halafu uanze tena kutumia 4g wakati eneo lina 5g ya kutosha, Ahh wapi aisee !! miyeyusho hio !!
Ni tahadhari ya mapema kabisa naitoa, kama unataka kununua google pixel jifikirie mara 2, ukiachana na uadimu na bei pasua kichwa kwenye vioo kusababisha wengi...
Naandika uzi huu kwasababu naona watu wakilipukwa kwa furaha kujiandaa kutumia Starlink, internet yenye kasi, isiyo na kikomo, gharama ndogo na inashika mpaka maporini kama kingamuzi cha dstv / azam
Ni mara ya pili sio mara ya kwanza starlink wanatuma maombi , mara ya kwanza walituma lakini...
Megabits vs. Megabytes: Understanding Your Internet Speed
Ever wondered why your gigabit internet doesn't download games at a thousand megabytes per second? The difference between megabits (Mb) and megabytes (MB) is a common source of confusion when discussing internet speed and download rates...
Wanajeshi wa Korea Kaskazini ambao wamejiunga na vita vya Ukraine kwa niaba ya Urusi wamepata uhuru wa kutumia intaneti isiyo na vikwazo kwa mara ya kwanza na kujikuta wakitumia uhuru huo kutazama picha za ngono, kulingana na ripoti ambayo haijathibitishwa na afisa wa Pentagon.
Kwa mujibu wa...
Habari wanajanvi
Naomba niwapeleke Moja Kwa Moja kwenye lengo husika kama kichwa kinavyosema.
Kuna hii fursa ambayo sisi tumeona tuiite fursa mpya kutokana na uhitaji mkubwa ulionao na upatikanaji wake mdogo.
Baada ya kufanya tafiti na kutenga muda mrefu wa kujifunza kuhusu uwekezaji au...
Nimeona kuna movements za ku boycott / kugomea bidhaa zenye uhusiano na Israel, nimepata wazo nije kuwasapoti wadau kwenye huu mgomo kwa kuwashauri muweke mkazo zaidi kukaa mbali kwenye simu na computer kwasababu bidhaa na huduma hizi nyingi wanaozibuni ni wayahudi wa Israel.
China ndipo vilipo...
Amani ya Bwana iwe nanyi.
Tilionea Elon Musk alikusudia kutuletea intaneti ya bei rahisi ya setilaiti. Nimemfuatilia huyu Bwana licha ya wema wake ni kama mafia sana na anaingilia hadi mambo ya nchi husika kwa maslahi yake.
1: Rais wa Venezuela aliyeshinda amemtuhumu jamaa kutumia zaidi ya...
WAkuu kutokana na tigo kupiga lock baadhi ya vpn zilizokua zinatrend hapa kati basi imeniwia vigumu kwa upande wangu,kwahivyo kwa yeyote mwenye vpn ya bule kwa sasa naomba anitumie inbox plz!!!asiweke hadharani watu wabaya wasije wakachomesha tena
Siku hizi kila mtu anaogopa meseji ya asilimia 75.
Matter of fact, siku hizi watu wananunua bando la internet roho zikiwa jujuu maana hawakawii kutuma ya meseji ya bando limeisha.
Vifurushi vimekuwa ghali, internet imekuwa kama "luxury good" sasa so kama una uraibu utajikuta umetumia pesa...
N:B: Lazima uwe na ujuzi au maarifa ya kutatua shida, sio kuminya tu simu.
Tafuta ujuzi au maarifa ya kumtatulia mtu shida kwa uhakika na uaminifu. mfano mimi hii ni kazi part time, najihusisha na mini logistics, niliwahi kuandika humu >> link <<
Tengeneza page yako ukionyesha ukamilifu wako...