Habari za siku wakuu,
Naomba aliewahi kufanya online interview za utumishi anipe mwongozo namna ambavyo inakuwa kwenye upande wa format, je maswali ni ya kuchagua? Na yanakuwa mangapi?
Msaada wadau maaana sielewi ni guse wapi navurugwa tu hapa mwenye idea jamani naomba masaada maeneo ya kugusa ili nisipishane na keki ya TAIFA hii TRA huko
habari za mchana wanajamii naomba msaada kwa mtu ambae ameshawahi kufanya interview utumishi, interview ambayo ilifanyika online naomba kama itampendeza tuwasiliane pm apate kunielekeza mambo yanakwendaje kwa interview za namna hiyo
Pia kwa mwenye uelewa na interview za online usisite kuchangia...
02 December 2022
Exclusive Interview With Mama Cecilia Tamanda Kadzamira, Former First Hostess of Malawi
https://m.youtube.com/watch?v=4zOUbpK945o
Cecilia Tamanda Kadzamira, GCVO (amezaliwa 25 Juni 1938) mtu wa karibu kabisa wa aliyekuwa rais wa kwanza wa taifa huru la Malawi mheshimiwa Rais...
Habari wapambanaji wenzangu.
Ebana kwa wale tulioomba nafasi za kazi GBT,majina yametoka tayari.
Mwenye experience ya written za hawa jamaa hasa kwa upande wa Gaming inspector na license officer atupe dondoo ili tupate mwanga.
Nimeambatanisha pdf la majina hapo chini.
Habari zenu jomoni!! Mimi nimesomea records management lakini nimeenda kufanya interview katika kazi ya sales na marketing. Mtu anatufanyia interview kaniuliza hivi! Je kwanini umekuja kuomba kazi ya sales na marketing wakati wewe umesomea records? Nilichomjibu ni hivi ; kwa sababu tulifundishwa...
Binafsi sibishani na kuwafanyisha wahitimu usaili, ila nawewe fikiria kwenye angle hii
kemia oral 2800 wanahitajika 541
Bailojia oral 2200 wanahitajika 511
Kwa CB aliyepita yote ni 1052 kati ya 5000, hesabu rahisi ni 1 ya watano yani hata ukienda oral uhakika wa kuajiriwa inabaki kuwa kudra za...
Binafsi sibishani na kuwafanyisha wahitimu usaili, ila nawewe fikilia kwenye angle hii
kemia oral 2800 wanahitajika 541
Bailojia oral 2200 wanahitajika 511
Kwa CB aliyepita yote ni 1052 kati ya 5000, hesabu rahisi ni 1 ya watano yani hata ukienda oral uhakika wa kuajiriwa inabaki kuwa kudra za...
Hamjambo humu?
Imekua mara yangu ya kwanza kufanya written interview za serikali.
Nimefanya nafasi ya accounts officer ii, nimepata 78 ila sijawa selected.
Nimelichukulia hili jambo very positive na next time nitapambana zaidi.
https://youtu.be/-NdDsArLVlU?si=eH35yrxDVCmdL3QM
➡️Huyu mzee anayesemekana kuwa amefukuzwa uanachama CCM, ni wazi kuwa yuko so determined kuhakikisha kuwa mchakato wa kumpitisha Bi Samia Suluhu Hassan na Dr Emmanuel Nchimbi kuwa wagombea urais huko CCM unarudiwa kwa kufuata taratibu na katiba...
Wakubwa, naomba kufahamu. Nimteuliwa kwenye usaili wa kazi ya kuandikisha wakati wa Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura. Naomba mbinu na ufahamu kuhusu aina ya maswali wanayouliza.
Nitashukuru.
Habarini Wakuu!!!!!!
Kama mlivyoona kwenye mitandao ya kijamii. Mamlaka ya Mapato nchini Tanzania wametoa fursa za ajira kwa vijana wa kitanzania.
Fursa ni nyingi kweli na wamegusa fani nyingi tu. Jumla ya nafasi walizotangaza ni 1596.
Kwa hiyo Wakuu kama kuna mtu ana link ya Group ambao wana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.