Habari zenu ndugu zangu wa jamiiforums.
Kesho (30-03-2021) saa 4 asubuhi ninaenda kufanya "Oral Interview" kwenye N.G.O moja huku Dar. Niombeeni kwa Mungu ndugu zangu mtaani maisha ni magumu sana.
Tulifanya written Interview tukiwa watu 20, tumechujwa na kubaki 9 ambao kesho ndio tunapambania...
Habari wadau..!
Kama kuna mtu anafanya kazi,ameshawahi kufanya kazi au interview Manyanya Fuel/Oil especially kwa Tunduma naomba kujua.
Maana nimepigiwa simu ya kazi na mm npo DsM .Bimafsi huwa siendagi kwenye interview zinazofanyika nje ya DsM sababu nilishawahi kuingizwa king na matapeli kuna...
Nimepata shock kampuni yetu tulipewa tenda ya kutafuta export marketing director wa kampuni inayo export bidhaa marekani yenye matawi Tanzania mshahara USD 12000 sawa na roughly milioni 25 kwa mwezi .Serikali ilisema haitaki kampuni za nje ziajiri wageni kwenye fani ambazo ziko nchini kwenye...
Nimechoka, nilienda kusimamia interview watu wana degree za finance za kwanza na za pili na CPA wameshindwa kujibu swali la written interview lililohoji Noti ya Elfu kumi ina mnyama gani? Nimechoka. Sasa mtu anasomea mambo ya fedha ya kitu gani wakati hajui hata hela noti ya elfu 10 ina mnyama...
Habari wakuu. Kwa uzoefu wangu wa kufanya interviews zaidi ya 20 kwa kipindi cha miaka 6 iliyopita, moja ya swali ambalo nimekutana nalo mara nyingi ni, "WHY SHOULD WE HIRE YOU?". Kwanza, niwe wazi kuwa hili ni kati ya swali ambalo kiukweli binafsi silipendi kabisa. Kwa nini silipendi? Kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.