Wakuu habari zenu.
Nahitaji kufahamu maswali yanayoulizwa pale Utumishi kada ya kilimo hasa kazi za (TARI) kwa wale waliowahi kufanya Usaili (Written) naomba mnifahamishe hapa
Wakuu habari za mchana
Leo nimekumbuka kisa kimoja hivi wakati wa kutafuta ajira za Serikali ilikuwa mwaka 2019 pale Tanga mjini katika interview za TANESCO Kanda ya Kaskazini .
Mimi niliweza kufaulu mtihani wa written ila boss wangu alifeli vibaya sana ule mtihani na kupelekea yeye kushindwa...
Kuna aliyekupa warning uachane na mke/mume wake, na wewe ulipandisha mabega. Sasa baada ya kuwa short listed kwenye interview unakutana nae tena yeye ndiye final say.
Yamesha kukuta?
AIBU NILIYOIPATA KWENYE INTERVIEW YANGU YA KWANZA.
Anaandika Robert Heriel.
Simulizi hii ni ya kweli, nimekumbuka tukio hili nikabaki nacheka Sana, naomba nishiriki pamoja nanyi huenda kuna atakayepata somo.
Baada ya kumaliza elimu ya Chuo kikuu nikaamua kuwa fundi cherehani, nikiwa nashona...
Wakuu vipi hali?
Nikiwa siti ya pili toka nyuma kwenye basi nikitafakari na kupitiwa na usingizi namna nilivyokosa maksi 3 niingie oral kwenye written ya utumishi pale CIVE(AUDITORIUM).
Mara siti ya nyuma huko nasikiaa mwanamama akiwasiliana na simu, ‘tumepata ajali wafanyakazi wetu watano...
Habari zenu wapendwa,
Jamani naomba msaada kwa aliyewahi kufanya computer test interview na shirika la Peace Corps, huwa hasa wanabase kwenye kitu gani?
Asante sana
Habari Jamii Forums;
Nili apply internal vacancy sasa nimepata email na kupigiwa simu kuhusiana na interview.
Email imeandika EES Discussion
Nimejaribu ku google EES ni Employee Effort Score.
Mwenyewe uwelewa wa undani zaidi kuhusiana na interview ya namna hii inakuwaje na baadhi ya...
Habari za muda huu waheshimiwa, samahani, leo nimeona nimekuwa shortlisted kwenye written interview ya accounts assistant officer OSHA (Occupational safety and health authority). Hii ni mara ya kwanza kwenda kufanya interview, tafadhali naomba muongozo wa nini nifanye au nijiandae na nini...
Habari za kazi wakuu,
Katika jaribu jaribu nimebahatika kupata interview kwenye moja ya shirika kubwa hapa bongo na Interview itafanyika online.
Binafsi siyo mgeni kwenye interview lakini sijawahi bahatika kufanya online (face to face). Nimewahi kufanya paper ilitumwa kwa email lakini hii ya...
Naomba msaada kujua kuhusu kujilipia aptitude test..Nimepata email ya kua shortlisted lakini inatakiwa nifanye vitu viwili kwanza, moja ni kujaza fomu yao ya 'New staff entry assessment form (attached below) na kusubmit certification ya Psychometric Test Assessment (PAT) ambayo kuipata kwake ni...
Salaam kwenu wadau.
Kama mada inavyojieleza wakuu, naomba kujua majina ya watu wanaotakiwa kwenda kufanya interview ambazo zimetangazwa na Utumishi huwa yanawekwa sehemu kwenye web yao wakuu...?
NAWASILISHA.
Habari zenu wakubwa?
Najua humu kuna experts wa kila fani.so binafsi nilikua naomba kusaidiwa kupewa orodha ya maswali ya interview kwa wahasibu yanayoulizwa mara kwa mara na panelists both in private and public sectors ili mimi na wenzangu tuweze kujifunza jambo.
Asanteni
Habari JF,
Naomba Sekretarieti ya Utumishi waweze kusaidia wahitimu weweze kufanya mitihani ya Ajira wakiwa mikoani kwao.
Majuzi TRA wametoa nafasi 1097 za Ajira ambazo ni nyingi sana kwa kipindi hiki cha Uchumi wa Kati.
Sasa Kikwazo ni hizi interview kufanyika huko Dodoma pekee. Kuna mtu...
Wapendwa Habari zenu.
Samahani nilikuwa naomba kuuliza majibu ya usaili wa ana kwa ana (oral interview) ya utumishi huwa yanatoka baada ya muda gani.
Walisema wiki 2 mpka tatu lakini ni wiki ya 4 hii naona kimya hakuna update yoyote ile.
Asanteni.
vipi wadau wa jf...vipi kuna aliyetumiwa meseji au kupigiwa simu kufanya usahili wa oral kesho jumatatu kwa waliofanya written maana tunaona kimyaa au tayari waliofaulu washaitwa?
Wakuu,
Sijui mimi ndiye mshamba wa haya mambo ya interview au vipi!
Kuna kampuni walinipigia niende kwenye interview, siku hiyo nimefika receptionist akanipokea vizuri then akanipeleka boardroom, nikajua kule ntakutana na panelists, cha ajabu nikakuta tu screen kubwa mezani. Then yule...
Habari zenu wakuu kama mada inavyojieleza apo juu naomba msaada nataka kujua maswali yao na vitu vingine navoweza kitana nayo hii ndio interview yangu ya kwanza.
Nimetumiwa text message nimeambiw nijibu yes or no km ntakua available j3, kingine anasema inaweza kuwa physically au through Zoom...
03 September 2021
Inside the French Embassy
Dar es Salaam, Tanzania
What defined my time as French ambassador to Tanzania: Exclusive interview with Frédéric Clavier
In his last interview as the ambassador of France to Tanzania, Frederic Clavier shares with The Citizen his actions and...
Nimefanikiwa kuwa shortlisted kwenye moja ya NGO inayofanya kazi nchini...moja ya vigezo vyao ni kuwa na cherti rasmi Cha mtihani wa kipimo Cha maarifa online..ni interview za kisasa hizo…
Sasa link waliyonipa kupata cheti hicho sio Chini ya laki moja mpaka unakipata..lakini sijawa limited...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.