Haya yanayoonekana kwenye sensa nadhani ilikuwa ni kuwapotezea watu mda wao tu kwenye interview.
Wakurugenzi na Madiwani tayari walikua na watu wao kwenye zoezi la sensa, Hivyo wanatumia cheo chao kumlazimisha Mtendaji wa kata Kutoyaacha majina ya watu wao.
Kwa hali hii Kweli bongo huwezi...
1. Epuka kuegemea ukuta au kupishanisha miguu
2. Epuka kukunja mikono yako kifuani; inaonyesha unajiamini kupita kiasi au dharau
3. Unapoulizwa maswali; daima angalia mbele, usiiname chini
4. Epuka kutafuna kitu chochote mdomoni au kung’ata kucha
5. Kama umekaa usiegemee sana kiti -...
Wataalamu mambo vipi, kuna ndugu yangu aliomba nafasi kama Thread tittle inavyojieleza hapo juu hivi karibuni na tarehe 18 ya Jumamosi anatakiwa akafanye usaili (Written)
Nilikuwa naomba kwa mwenye Idea yoyote au vitu vya msingi vya ku- focus key intention hapa ni kufaulu maana nimekuwa nikiona...
How to copy, paste, cut, delete, data input, modify, sasa Ole walo ngeli haiko kichwani utaona moto wake. Tafadhali tupieni zingine ili tuwe na pre knowledge safari nzuri ni asubuhi.
Asanteni
Habari ndugu,
Kwa mwenye kujua maswali ya interview yanayoulizwa kwa nafasi za WARDEN UTUMISHI naomba mwongozo nipate mwanga. Nina interview wiki hii Utumishi.
Possible questions for WRITTEN INTERVIEW & ORAL INTERVIEWS 🙏🙏
Habari zenu wakuu!
Niliomba nafasi ya kazi ya Accounts officer katika tume ya utumishi wa mahakama katika mfumo wao wa kutuma maombi (Online Application),
Leo mchana nimesikiliza Tbc FM kuwa majina yalishatoka kwa ajili ya interview lakini bado sijatumiwa ujumbe Hata kuona kwenye account yangu...
Aisee kama hupati muda wa kureview kutoboa written ya utumishi na halmashauri itakuwa ndoto. maswali magumu alafu unapewa dk 45, nmeyasoma nimeishia kuopaa njaa. Kwa wale fresher inawawia urahisi, tofauti na mjuba ulikuwa na mishe zako hata kinachoendelea nchini km vile hayakuhusu.
Kwenye...
Habari
Naomba kujuzwa, mtu ambae anatakiwa afanye practical interview kwa nafasi ya Information System Auditor anatakiwa ajiandae hasa maeneo gani ?
Natanguliza shukrani kwa watakaonijibu
Habari ndugu Wana jamiii forum! Poleni kwa waliofanya interview ya operation officer TPA, naomba mwenye kulikumbuka vizuri swali la mwisho paper ya operation officer anipe please
Wadau nilifanya maombi ya kazi nafasi ya marketing & sales kwenye kampuni tajwa hapo juu na interview nimetumiwa meseji itakuwa tar 25 saa 9 mchana.
Sasa ombi langu kama kuna mtu anafanya kazi kwenye iyo kampuni au aliwahi au anaifahamu iyo kampuni anipe mwanga kidogo kuhusu salary zao, pia...
Habari za leo wakubwa
Leo ni siku nyingine inaisha kama siku nyingine. Straight to the point. 👇
Nimewaonea huruma sana leo waliofika katika interview ya TPA. Naambiwa maswali ya leo yalikuwa ya ubaguzi kabisa. Waliosoma HR,BBA,LAW,STATISTICS, ECONOMICS etc sidhan kama waliweza kujibu ule...
Jamani naombeni msaada wa mawazo juu ya kufanya malipo online nahitaji kulipia visa ya Canada Leo siku ya nne.
kila nikilipia sipati OPT code kutoka bank ili niingize kukomferm malipo, lingine nahitaji mwenye kujua nimaswali gani haswa wanauliza pale ubalozi wa Marekani maana Nina interview...
Habari za Masiku ndg zangu,
Leo hii nimekuja na thread maalum kwaajiri ya wasailiwa wote wanaoitwa Utumishi for interview hasa hasa ICT officers becoz ni kada yangu ambayo imenipatia dream job. Ila hii inatokana na kuhenyeka interview 15 zao, 13 kati ya hizo niliishia written na kuambulia...
Rais Samia Suluhu Hassan amezungumza na Tido Mhando wa Azam TV, leo Mei 4, 2022
RAIS SAMIA: HAKUNA FUNDI WA URAIS, HAUZOELEKI
Rais Samia Suluhu Hassan amesema nafasi ya Urais haizoeleki kwa kuwa kuna mambo mengi.
“Sidhani kama kuna mtu anaweza kusema ni fundi katika nafasi ya Urais, labda...
Kumezuka tabia ya baadhi ya Waajiri ikiwemo Sekretarieti ya Ajira kupanga usaili siku za Jumamosi ( hususani Usaili wa Mchujo).
Kitendo hiki ni Kinatafsiriwa kama Ubaguzi (Discrimination) kwa waumini wa Kanisa la Waadvetista Wasabato ambao Jumamosi ni siku ya Ibada therefore, by doing so...
Tume ya ajira, tunaomba muwe mnaweka na matokeo ya written interview kwenye account zetu au website, kusudi mtu ajue amepataje na amekuwa wa ngapi na wamechaguliwa wangapi kwenye stage inayofuata.
Uzuri wote wnaofanya mtihani kuna ID bila majina. sasa kwenye portal mnaweka "not selected" tu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.