Kwanza hamkujipanga vyema kwa Coverage yake ndiyo maana hata Mitambo yenu kila Saa ilikuwa inakatakata hali ambayo Iliboa na Ilituboa zaidi.
Pili wenye Akili akina GENTAMYCINE tulitegemea kwa Chombo cha Habari kupata ile Fursa basi ndiyo mngeitumia Kumhoji Mambo ( Maswali ) ya Msingi ya kuhusu...
Habari,
Naomba msaada wa mawazo. Nimeitwa kwenye usaili lakini nimeshindwa kufika kwasababu ya uzazi (nimejifungua hivi karibuni) hivyo nimeshindwa kusafiri.
Kuna kitu ninaweza kufanya, mtu ninayeweza kuongea naye au ndio imekula kwangu?
Hivi kama tume ya ajira/Chuo cha Ardhi mnakosea matokeo ya watu 8 tu, inakuwaje kwa watu 100-800?
Ni kweli watu wanawekewa matokeo yao kwa usahihi? Mtu wa quality assurance anafanya nini mpaka matokeo haya yanarushwa kwenye tovuti ya PSRS? Watu 8 tu?
kama ilivo kawaida nilitegemea shortlisted candidates wa nafasi za kazi UDOM iwekwe kwa website ya PSRS
. au kuna exceptions UDOM? watu wamepigiwa simu kwenda interview nini agenda ya siri hapo?
Kutokana na ukosefu wa ajira na wingi wa wasomi, imepelekea kua na mlundikano mkubwa wa wahitaji wa kazi kuliko uhitaji. Mathalani kada moja unaweza kuta nafasi moja lakini kuna waombaji zaidi ya 100.
Hapa changamoto inapoanza huwezi kuongea na watu 100. Hivyo kuna haja ya kuwachuja ubakiwe na...
Wakuu mambo vipi? Naona ma PDF yameanza kumwagika, changamoto ya malalamiko ya kwanini Utumishi wako kimya, inakwenda kuisha huku changamoto nyingine zinazotokana na kuitwa zinaanza kuibuka kwa kasi ya ajabu. Hii ni kwa wote, wanaokwenda kwenye Saili mbalimbali na hata wanaowategemea...
Jamani tendeni haki.
Kweli hakuna hata msichana hata mmoja aliyeshida kweli? Bugando tendeni haki! Mh Ummy umeona kasoro za kuwashirikisha watu wanaojuana kwenye taasisi kufanyisha Interview.
Inabidi wawe watu wasiowafahamu watainiwa. Hapa Bugando waliofanyisha interview ni walimu wenye ndugu...
Tulifanya interview jana tarehe 14.09.2022 wakatuambia matokeo yatatoka kuanzia jana saa tisa, ila cha ajabu mpaka sasa ni bila bila hatujapata matokeo yeyote.
Sasa hatujui kama tumefaulu au tumefeli na siku ya oral pia ni leo.
Nilichoamua asubuhi hii ni kwenda moja kwa moja Duce nikapate...
Habari zenu wanaJF
Naomba kuuliza kwa wale waliokuwa-shortlisted MUCE, vip mmeona interview number kwenye account zenu? Maana mimi kwangu hadi sasa hivi hamna kitu na interview ni kesho.
Je marks anazopata mtu kwenye mtihani wa kuandika (writen interview) huunganishwa na zile anazopata kwenye mtihani wa mahojiano (oral interview) wakati wa kuamua mshindi ni nani, au mshindi huamuliwa na marks anazopata mtu kwenye oral interview peke yake? Wahusika kama mkipita hapa tunaomba...
Habarini ndugu zangu…kama kichwa cha habari kinavosema , nimefanikiwa kuitwa kwenye moja ya oral-interview za tutorial assistant kwenye chuo x.
Lengo la uzi huu ni kuuliza kwa mtu yeyote ambaye ashawaifanya interview adi level ya oral kwa position ya tutorial assistant kama kwenye izi...
Tanzania kuna vituko , tunaomba uelewa wa matokeo ya mitihani huu na idadi ya waliochaguliwa. PURA wamefanya vituko kupitia Tume ya Ajira, majina kujirudia na watu kulingana maksi.
Tume ya Ajira ifutwe tu.
INTERVIEW NO. Nyingi zimefanana na number moja kuchaguliwa Mara Tatu Tatu
Habari za wakati huu my virtual family JF
Nikienda moja kwa moja kwenye mada nina interview hivi karibuni ya TA(Tutorial Assistant) katika institute X kwahiyo naomba kufahamishwa kuwa hizi interview zinakuwa vipi. Accounting & Finance
Hasa nazungumzia written tunayoanza nayo na oral pia...
Nimehudhuria usaili kadhaa wa utumishi kwa kazi nilizoomba kupitia ajira portal wiki hii. Ni kazi za ICT officers.
Kwenye mchujo (written interview) wanauliza maswali ambayo ni ya wanafunzi, yale maswali yanayohusisha kukariri vitu vingi na terminologies.
Waswahili husema "Mwanzo Mgumu" kutoka na msemo huu tunaweza kujenga hoja kwamba, kila kinachoonekana kuna mwanzo ulio mgumu.
Leo Jamii forum inawafuasi zaidi ya milioni moja lakini ilianza na mtu mmoja.
Mwaka 2013 nilimaliza kidato cha nne Shule ya Sekondari Orkolili iliyopo Wilaya ya Siha...
Wenzetu ambao mmeshafanya usaili kama MUST, MOCU, Mzumbe, SUA nk Nature ya maswali ya interview ya assistant lecturers na tutorial assistant written maswali yakoje kwa ujumla tupate mwanga kidogo sisi ambao bado
Salamu wakuu,
Baada ya kuwa kimya kwa muda mrefu, nikihangaikia suala la kutoka huku nchini kwetu kwenda Marekani, hatimaye leo ndio siku yenyewe ya kujua mbivu na mbichi. Nitakuwa ubalozini kwa ajili ya visa interview saa tatu na dakika 45 asubuhi hii.
Namuomba sana Mwenyezi Mungu...
My fellow job seekers i know your sadness and disappointments behind the scenes, it shall be well soon let's continue pushing
Everyday morning look yourself in front of the mirror and say these words below.
I will get that job,
I will get that job,
I will get that job,
I will get that job.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.