Nimeisikiliza kwa makini ile interview ya Tundu Lissu na ITV jana jumatatu saa tatu jioni. Tundu Lissu naona kama amekuwa confused. Namwonea huruma kwa jaribio la maisha yake, si hali nzuri binadamu kuipitia kamwe.
Lakini yote bin yote, Lissu hajonyesha ni kwa vipi CHADEMA inaweza kufanya...
23 January 2023
Amb. Humphrey Polepole MBC exclusive interview
Mahojiano ya Balozi Humphrey H. Polepole, Balozi wa Tanzania 🇹🇿 Nchini Malawi 🇲🇼 na Shirika la Utangazaji la Malawi (MBC) leo tarehe 22 Januari 2023.
Malawi Broadcasting Corporation (MBC) exclusive interview with Ambassador...
Naombeni kujua nature ya maswali ya hivi karibuni kwa wale mliofanya interview utumishi kwa Kanda mbalimbali, zaman tulizoe kila usaili maswali ya research ,saiv kukoje nipen mwanga kidogo jamani.
Naam ni izi selection zilizoitwa juzi hapa za utumishi serikalini. Tunaenda pambana watu zaidi ya buku kusaka ajira za kudumu.
Gharama za nauli+chakula+malazi nenda rudi inakaribia 300k dah. Inaniuma lkn kwny maisha haya huwez pata kitu bila kurisk.
Ama kweli maisha bongo ni magumu sana, acha...
Naombeni kuuliza kuna ndugu yangu anataka kujua:
Ukifanya oral interview sekretarieti ya ajira wanachukua muda gani kuibadilisha status ya account yako.
Nimefanikiwa kuitwa kwenye nafasi ya Laboratory Scientist, Physical Chemistry, Open University.
Nilitaka kufaham kwenye nafasi kama hiyo kunawezakuwa na maswali ya namna gani
Nawasilisha
Wadau kwa mara ya kwanza kwenye maisha yangu kuitwa kwenye Interview za utumishi kwenye hizo nafasi zinazotaka watu 10 tu na waombaji ni 1760
Nilitaka kufaham kwenye Area kama hiyo kunawezakuwa na maswali ya namna gani
Maana sijawahi hudhulia Interview hata moja
Moja kati ya vitu vinavyoumiza kichwa wahitimu wa miaka ya sasa ni mchakato wa kupata kazi. Wengi huona bora wafanye kazi yoyote hata kama haiendani kabisa na walichosomea. Sasa mimi ninakumbuka mwanangu mmoja alikuwa anasoma UDOM masomo ya biashara na uchumi. Yeye hakusubiri ahitimu masomo yake...
Wakuu kwema?
Tarehe 27 mwezi huu nimeitwa interview mbili kama ifuatavyo;
Saa 2 kamili asubuhi natakiwa kuwa Iringa University mkoani Iringa kufanya usaili wa kuandika ya nafasi ya Uhasibu, muajiri akiwa Iringa University mwenyewe. Nafasi zinazogombaniwa hapa ni 2 kati ya watahiniwa 24...
Sikia hii Kuna wanachuo wengi hawana uzoefu wa kujibu maswali ya Interview Vizuri,Hawajui ni kwa namna gani wanaweza Kuandika Barua ya kuombea kazi (Application Letter), Au wastaafu wamesahau namna ya kuandika barua ya aina yoyote ile
Lakini Kuna wengine CV KUandika Inawashinda Unajua hivi ni...
Hili suala kiukweli linafikirisha sana
Hii inakua ni kama upendeleo kwa wakazi wa Dodoma pekee na kuwanyima nafasi ya kushiriki watoto wa masikini wanaotokea mikoa mingine
Juzi juzi niliona Waziri Jenister Muhagama akiongelea kwamba wameona ni bora kila mtu afanye usaili kwenye mkoa wake ili...
USIPOZINGATIA HAYA, UTAISHIA KU-APPLY KAZI BILA KUITWA KWENYE INTERVIEW
Vijana wengi sana Wahitimu wa vyuo wamejikuta katika janga la kuishia ku-apply kazi bila kuitwa kwenye Interview. Kwa miaka kadhaa nimekuwa kwenye Managerial Level katika taasisi ninazofanyia kazi. Na katika recruitments...
Yule bibi mwenye koti jekundu aligundua kuwa kijana huyo anajaribu bila mafanikio kufunga tai yake, akamwambia mumewe amsaidie kisha akamkinga kijana huyo na watu wengine ili asione aibu.'
SOMO: Usiruhusu tofauti za uongo za ulimwengu huu zikuzuie kuonyesha upendo na ubinadamu kwa kila mmoja.
Kitabu hiki ni kizuri. Mimi binafsi kilinisaidia katika interview yangu ya tatu baada ya kuwa nimeboronga katika interview zangu mbili za kwanza. Ndiyo nilikuwa nimemaliza chuo na kazi ya kwanza ndiyo hasa niliitaka lakini nilikutana na vijana wenzangu kutoka Kenya na Nigeria nikajua tu waziwazi...
Wololooooooooo haiya haiya haiya, watetezi wa Kanjanja Senior mnaruhusiwa kuja kuporomosha matusi na kudai nina chuki binafsi.
Kweli ulitarajia mtu ambaye huwa unachukia safari zake na lipstick yake una bifu nayo akuchekee tu kama ndalakyuya, wenye akili walijua hukuwa pale kwa nia nzuri.
Kama...
Chuo cha Uhasibu Arusha(IAA) ni chuo kinachomilikiwa na Serikali yetu kupitia wizara ya fedha. Kama ilivyo vyuo vingine vya elimu ya juu na vyuo vikuu wanakuwa na upungufu wa teaching staff(walimu). Tatizo la hawa jamaa ni arrogance yaani kujisikia, majivuni, kujiona wa kipekee wakati ukweli ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.