interview

  1. S

    Huwa unajibu vipi maswala haya kwenye interview?

    Haya ni maswali yanayonisumbua ninapokuwa kwenye interview. Sijawai kuyajibu nikapatia uwa najikanyaga siku zote. Ofcoz nazungumzia zaidi interview za kwenye NGO. 1. What is your experience in writing reports to donors? 2. What do you understand about ..... policy (yani anakutaka useme kitu...
  2. J

    Wasaidizi wa Rais Samia warekebishe makosa aliyofanya katika mahojiano na BBC, vinginevyo ataonekana siyo muungwana

    Hakuna binadamu aliye mkamilifu. Rais SSH alifanya makosa kwa kutoa kauli zisizo "sahihi" ktk interview yake na Salum Kikeke wa BBC. Hilo siyo jambo geni kumtokea kiongozi yeyote yule. Kinachofanyika ktk mazingira kama hayo ni kiongozi mwenyewe, au wasaidizi wake, kujitokeza kuomba RADHI na...
  3. Determinantor

    Hotuba ya IGP Sirro na mahojiano ya Rais Samia yanaingilia mhimili wa Mahakama?

    Kwa kifupi hawa Waheshimiwa wameshaona hii issue haiko rafiki kwao, wanapoteza pambano mapema! Kwa hiyo wamekubaliana kuwa "waingilie" Uhuru wa Mahakama kwa ku-pre-empty public. Bahati mbaya sana kwa nature ya Mahakama zetu, haziwezi kujisimamia wenyewe. Kwahio tutegemee hukumu yenye mwelekeo...
  4. GENTAMYCINE

    Kuna anayemuelewa Mtangazaji Maulid Kitenge na 'Interview' yake EFM akiwa na Gerald Hando?

    Kwa dakika 50 natafuta ya maana siyaoni sana sana ninachosikia tu ni 'Kujimwambafai' Kwake kingi tu kuwa amekaa Marekani, kaenda CNN, BBC, Facebook, Instagram, VOA, nimeachana na Mke wangu. Nimeenda katika Kaburi la Bruce Lee, nimeenda alipouwawa Yule Mwafrika Floyd, zote Mimi ni Mtangazaji...
  5. H

    Msaada: Waliowahi kufanya written Interview Access Bank Microfinance position ya Recovery Loan Officer (RLO) naombeni muongozo

    Habari wakuu..! Aliyewahi fanya usahili wa kuandika pale Access Bank Microfinnce naombeni muongozo tafadhali. Asanteni:
  6. Skyblue

    Interview KNAUF gypsum Tanzania Ltd

    Habari wakuu naombakuuliza hao jamaa nimefanya nao interview mbili za oral .....na kazi yao niliomba kupitia empower... nifanye na walisema interview ile ya pili ndo ya mwisho....sasa hadi sasa nimeingia wiki la pili kimya ..naomba kujua kama kuna mtu pia alifanya kama walisha ita au kimya na je...
  7. J

    Dr. Diallo: Katiba inatengenezwa na Wananchi siyo Wanasiasa, 2014 tuliikosa katiba mpya kwa ubinafsi wa wanasiasa CCM ikiwemo!

    Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza Dr. Anthony Diallo amesema ni makosa makubwa na hatari sana kuwaachia wanasiasa watengeneze katiba ya nchi. Diallo amesema wanasiasa ni wabinafsi hivyo lazima wajipendelee ndio maana katiba ni lazima itengenezwe na wananchi wakisaidiwa na Wataalamu kama...
  8. N

    Tunaotarajia kwenda kufanya interview ya TRA kwa kada za customs officer II na tax management officer II tukutane apa tupeane Tips za writen interview

    Kama tittle ya thread inavojieleza, wale wote tunaotazamia kwenda kupambana kwenye interview ya mamlaka ya mapato Tanzania kwa kada za customs officer II na tax management officer II naomba tupitie apa tupeane tips, techniques,na possible questions za written paper katika usahili uo Naomba...
  9. Twinawe

    Naomba kujua kama kuna watu waliitwa interview ajira za mahakamani

    Mwezi february tume ya mahakama ilitangaza ajira katika kada tofauti. Naomba kufahahamishwa kama kuna watu washaitwa interview.
  10. Ushimen

    Call For Interview UTUMISHI At MU, TCB, Tanga-UWASA, IRUWASA ,UDSM, MNH, TANESCO & TTCL On 24th May 2021

    INTERVIEW ANNOUNCEMENT Click below to download pdf file:
  11. M

    Sabaya ungekuwa 'Smart' usingefanya Interview na Clouds FM kipindi hiki

    Unless kama mamlaka za uteuzi zimekutuma ufanye Interview ile, Ila kama ni wewe binafsi umejiamulia kwenda kufanya hiyo interview basi wewe na aliyekushauri mmebugi sana. Kubugi kwenyewe ni hivi: 1. Mnajaribu kupreempt maamuzi ya mamlaka za uteuzi kupitia propaganda. Kwamba mnataka upande wa...
  12. K

    Msaada kuhusu Written Interview ya TTCL nafasi ya Afisa Mauzo

    Habari za jioni wadau. Ninaomba msaada kwa waliowahi kuhudhuria interview Utumishi kwa nafasi ya SALES OFFICER . Ni maswali gani wanapendelea kutoa? Asanteni sana.
  13. Ushimen

    Call For Interview UTUMISHI at WMA, ARU, WHC, KUWASA, TIE, NIT, MSD, April 2021

    INTERVIEW ANNOUNCEMENT Click below to download PDF: Bofya linki hapo chini kudownload PDF:
  14. J

    Mavazi yanayofaa kuvaa wakati wa Usahili 'interview '

    Vaa aina ya mavazi yanayokuonesha kuwa ni nadhifu na uko makini 'professional' . Kwa mwanaume unaweza vaa suti, au shati na suruali ya kitambaa, pamoja na kiatu cha kufunika cha kiofisi. Mwanamke unaweza kuvaa blauzi na sketi nzuri, isiwe fupi au ndefu sana hadi kukuletea usumbufu, vilevile...
  15. J

    Epuka Mavazi yafuatayo unapoenda kwenye Usahili 'interview'

    Nguo zenye rangi ya kung'aa na urembo mwingi Mapambo mengi kama, hereni, bangili, pete n.k Nywele zenye rangi rangi Manukato yenye harufu kali 'Makeup' nzito Usivae mavazi yanayokuonesha upo kawaida sana 'casual' Acha 'headphones' zako nyumbani Utavaa mavazi tajwa hapo juu ikiwa tu aina...
  16. WAR

    Ni sababu zipi zinasababisha HR kutopokea simu au kujibu email baada ya interview?

    Nimefanya interview na taasisi fulani inayojihusisha na maendeleo ya Jamii, cha kushangaza kuna baadhi ya vitu waliniomba niwasilishe nilivyompigia HR simu yake ya mkononi hapokei wala ujumbe hajibu. Je, sio sahihi kwa HR kupokea simu ya mtu aliyemfanyia interview?
  17. Sky Eclat

    A honest answer at an interview

  18. Sky Eclat

    A job interview in IT field

  19. Y

    Waliowahi kuitwa written interview Utumishi, ni maswali gani huulizwa?

    Samahani wakuu, naomba waliowahi kufanya Interview ya Accountant Assistant utumishi wanipe dondoo Kuhusu maswali Yao
Back
Top Bottom