Habari, naomba niweze kutoa uzoefu kidogo kuhusu nilivyoona baada ya kuhudhuria usaili wa muktadha wa muktadha wa mdomo (oral interview).
Kusikiliza kwa ufanisi: Sikiliza vizuri kabla ya kutoa majibu. Jibu kulingana na unachokisikia. Kwa mfano, umeambiwa pointi tano, basi jibu kwa pointi tano...
Poleni na majukumu wanajamii kwa wale ambao mmewahi kupita utumishi kufanya interview ya electrical technician TRC karibu kuchangia interview ilikuaje maswali yalioulizwa pia hata kwa wale mnaoenda kufanya interview siku ya jumamosi mwezi huu tuje kushare madesa tunaikabili vipi interview hii.
Habari za muda huu ndugu zangu naomba kufahamishwa kama kuna mtu alishawahi kufanya interview za electrical technician utumishi tusaidiane namna ya maswali yanavyokuja katika interview zote tatu written, practical and oral
Au pia kwa mtu yeyote mwenye uelewa na interview hizo ruksa kushare...
Juzi kati ilikuwa inapita barua mtandaoni ya kutaarifu kuahirisshwa kwa usaili wa kada ya ualimu. Sa mtandaoni kwenye status ajira portal haipo haionekani taarifa hiyo.
Ukweli ukoje waungwana?
Nimefungua uzi huu kwa ajili ya kupata shuhuda za wale waliofanikiwa kutoboa kwenye interview ya kwanza tu hapo PRSR. Watie moyo watu ambao wameonekana kukata tamaa!! Waeleze walijiandaaje hata kufanikisha zoezi la kupata ajira/placement kwenye jaribio lao la kwanza tu!!
Karibuni!
Ase hii mbona inachanganya sana? Yaani tarehe 27 mwezi huu nafanya wrriten interview za masomo mawili na muda ni huohuo.
Kwamba niachane na somo moja? Kwasababu napiga simu zao hazipokelewi.
Kuna mdau hatumii JF, kachaguliwa kwenda huko Iringa, ila kaniomba nimtangazie group lake kwa waliochaguliwa kwenda huko ili mshirikiane mawili matatu wasomi nyinyi. Jiunge moja kwa moja kupitia link hii: Iringa Interview
Nasikia ajira portal mambo tayari huko naona waalimu wengi wamekuwa Shortlisted, Haya tupeane mchongo kuhusiana na maswali ya Interview kwa kada hiyo ya ualimu.
Tusaidiane ili tupate kazi wote kwa pamoja kwa manufaa ya kunisaidia taifa letu kufikia malengo makubwa kwa kuzalisha wataalamu...
Wakuu nina mdogo wangu kamaliza chuo last year, grade IIIA, Kila kitu nilimuwekea ila mpaka sasahivi grade III wengi wamekuwa shortlisted for interview yeye Bado.
Nimeulizia nimeambiwa kwenye birth certificate lazima muhuri upigwe ndani ya cheti na sio pembeni ya cheti. Kama picha...
Habari
Kutoka kibaha Mpaka Bukoba nauli Laki Moja, kwenda kurudi Laki Mbili. Kula na Kulala tufanye elfu 60. Sikuchagua Kagera lakini wamenichagua kusudi ili nisiende. Nitatoa Wapi Laki tatu Mimi. Halafu hakuna uhakika kama nitapata au vipi. Nimekata tamaa
Habari wanajukwaa,
watu mnaoshiriki interview za kazi kama muombaji, HR au kama mratibu wa interview na kadhalika tunaomba mtusaidie tujifunze na kujiandaa vizuri. Ni ujuzi/skill gani ambayo umegundua watu wanakosa wanapoenda kwenye written au oral, au practical interview za kazi mbali mbali...
Yani mtu kahitimu chuo ana miaka 6 ama 5 anaenda kufanya interview na watoto aliowafundisha shule kipindi yupo field ama aliowaacha shule muda mrefu
Yani mtoto kamaliza juzi chuo anaenda kula ajira kwakuwa kafaulu interview na Hana muda mrefu kumaliza chuo bado ubongo wake umejaa material ya...
Habari ya muda huu,
Mimi ni recent graduate wa Bachelor degree, nilituma CV ya kuomba position ya Junior Safety Officer....na hatimaye leo jioni nimepigiwa simu kuwa kesho nifike kwa ajili ya interview.
Naomba muongozo na vitu vya kuzingatia maana ndio interview yangu ya kwanza.
Natanguliza...
1. What is the primary function of commerce?
a) Production
b) Distribution
c) Consumption
d) Exchange
2. Which of the following is a type of trade?
a) Domestic trade
b) Barter trade
c) Industrial trade
d) Wholesale trade
3. Which document is issued by the seller...
VISA INTERVIEW QUESTIONS
1. What is the purpose of your visit?: Be prepared to explain the reason for your trip, whether it's for tourism, business, education, or visiting family and friends.
2. Have you visited this country before?: Provide details about any previous visits, including the...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.