Kamati ya Kimataifa ya Olimpiki (IOC) na Chama cha Kamati za Olimpiki Afrika (ANOCA) zimemtambua rasmi Anthony Mtaka kuwa Rais mpya wa Kamati ya Olimpiki Tanzania (TOC), baada ya uchaguzi uliofanyika Julai 5, 2026 katika Hoteli ya Peacock, Dar es Salaam.
Katika barua yao ya Julai 9, 2026 kutoka...