Duka ni jipya lipo mbagala phone accessories kwa BEI ya kitonga jumla na rejareja
EARPODS 3 kwa 7,000/= tu
Viioo vya SIMU
Charge aina zote
Smart watch
N.k
0748831964 Whatsapp
Je, unataka simu bei chee?
Je, una abudget ndogo na unataka simu?
Je, unataka kufanya Top up au exchange?
Nambie una budget ngapi tukupe simu kali ya budget yako.
Exchange na Top up tunafanya!
Simu tulizonazo dukani ni;
📱Google pixel
📱aquous arrow
📱samsung
📱Iphone
📱LG
📱Sonny Xperia...
Wazee wa JF.
Nakumbuka 2014 September, Tim Cook alipanda stejini na kutangaza simu mpya mbili, iPhone 6 na iPhone 6 Plus.
iPhone 6 ilianzia $199 kwa 16 GB na 6 Plus ilianzia $299 kwa 16 GB.
Bei ya juu kabisa ya 6 Plus ilikua ni $499 yenye 128 GB.
Mwaka huu, September yule yule CEO wa Apple...
Salaam wakuu!
Nimeambiwa na nikaenda kwa vendor mmoja akaniambia kabisa iPhone 16 promax 1TB ni milioni sita na laki nane za kitanzania.
NB; Najua hapa kuna comment zinakuja na wataniambia "tafuta hela dogo"
Unapata wapi nguvu ya kununua simu milioni saba kasoro na huna professional yoyote...
Mwaka huu Apple imebadilisha utaratibu wake wa kurekebisha simu na vifaa vya kutumia simu. Wiki hii katika mfumo mpya wa iOS 18 wakaguzi na mafundi wa simu wamegundua Apple imeweka mfumo mpya wa kuzuia wezi kuuza display, betri na kamera za simu ambazo zimeibiwa.
Mfumo mpya wa iOS 18 umeweka...
https://youtu.be/fE6XAeZfAsk?si=UclWa-JqLqNMimLJ
https://youtu.be/MLlSSJ0z7xM?si=cmUet6D4DYIAqhvU
Je wajua video hii ya wimbo wa dancing in the flames kutoka kwa mkali wa pop kutoka Canada the Weeknd imekuwa shot on the iPhone 16 pro embu zitazame video hizo kalii sana
Hahh wale masista duuu Depal na nyie vibiuhandsom boy wa makumbusho mixer virasta na mkorogo muda wa kumkaribisha mgeni nyumani na chooni
Msijali mwakani muda kama huu pia mtateseka kwa desing ileile na ai features
Karibuni tuchangie mada tusiwasahau walionunua iphone 16 used makumbusho
Kwenye maisha, tuna uhakika wa vitu vitatu. Kifo, Kodi kupanda na iPhone mpya kila September!
Wakali wa hizi mambo, leo uko Marekani watafanya uzinduzi mkubwa wa simu 4 za iPhone 16.
Simu zinazotegemea kuzinduliwa ni We iPhone 16, iPhone 16 Plus, iPhone 16 Pro, and iPhone 16 Pro Max, zote...
Karibuni wateja jipatie iphone 15 pro max high copy kwa tsh 300000 tu
Nipo Kariakoo Uhuru Plaza ghorofa ya kwanza mkoani nakutumia watu wadar njoo dukani
Simu zimebaki mbili tu
Nimeshangaa sana kuna hadi iphone za laki moja na sabini.
Bora zingepigwa marufuku Tanzania.
Pia soma: Huu utitiri wa iPhone 13 copy zinazouzwa laki 3 Dar zinatoka wapi?
Zingetolewa simu za zinazofanana na iphone lakini zipewe jina lingine.
Kufanya hivyo kutaongeza utapeli hapa nchini.
Wataalamu, hii imekaaje? Jamaa wameniotea simu mpya kabisa, haijafunguliwa kwenye box lake muuzaji aliniandikia risit ya mashine hakuweka imei. Nikirudi wanaweza kunisaidia? Au hapa wataalamu mnashauri nifanyeje? Msaada!
Wakuu natumai nikwema huku tukiendelea na pilika za kujiandaa na msimu mpya wa Ligi yetu pendwa ya Mpira wa miguu.
Nende moja kwa moja kwenye mada kuwa wapi naweza pata IPHONE nzuri ya mtumba kuanzia 13 na kuendelea.
Ikiwemo gharama zake na hata uwezo wake.
N.B hizi simu hata kama watu...
Watu wa iPhone hujivunia simu zao kwa kuiponda Samsung.
Ukweli ni kiwa Samsung ndio huwatengenezea Apple Screen zote za Iphone.
Na sasa kwa iPhone 16 Apple watatumia Camera kutoka samsung ili kuboresha ubora wa picha zao.
Tunakoelekea kununua iPhone itakuwa sawa na kununua Lamborghini Urus...
Wakuu nimeletewa zawadi ya Iphone sasa natafuta pa kuweka delivery report sipaoni hata Kuset zile call forwding kama Unreachable au Busy call iwe forwaded pengine sipaoni pia msaada please
Vijana wenzangu acheni kiwewe cha simu, iPhone 15 Pro Max ni simu ya kawaida sana, kampuni ya Apple inauzia jina
Punguzeni tamaa za dunia tumieni fedha mnazopata kufanya maendeleo
iPhone 15 Pro Max Original ni zaidi ya 4,000,000/= kwenye Apple Store. Je hamuoni fedha hizo mnaweza kufanyia...