Iramba is one of the six districts of the Singida Region of central Tanzania. It is bordered to the Northwest by the Shinyanga Region, to the North by Simiyu Region, to the east by the Mkalama District, to the South by Ikungi District and to the West by the Tabora Region. Its administrative seat is the town of Kiomboi].
According to the 2012 Tanzania National Census, the population of the new Iramba District was 236,282.According to the 2002 Tanzania National Census, the population of the Iramba District was 368,131.[1]
MILIONI 400 KUJENGA MAJENGO MATANO YA KITUO CHA AFYA CHA MTOA - IRAMBA.
Mkuu wa wilaya ya Iramba Mkoani Singida Mhe Suleiman Yusuph Mwenda ameendelea kufanya ziara ya kusikiliza na kutatua kero mbalimbali za wananchi ambapo akiwa kata ya Mtoa amesikiliza kero za wananchi na kufuatilia ujenzi wa...
Je, ni Jumbe Katala?
Je, ni Zaipuna Yonah?
Je, ni Timothy Lyanga?
Je, ni Richard Mkumbo wa Ujenzi?
Je, ni Innocent Msengi? Diwani wa kata ya Mwigulu Kyengege?
Tujadili kwa faida ya Iramba yetu! Manake piga ua garagaza Dr. Mwigulu 2025 ni lazima agombee URais 2025 kama ambavyo ameshapangwa na...
DC MWENDA AAGIZA WALIMU WANAODAI FEDHA ZA UHAMISHO NA MADAI MBALIMBALI KULIPWA STAHIKI ZAO.
Na Mwandishi wetu:
Mkuu wa wilaya ya Iramba, Mhe. Suleiman Yusuph Mwenda amewaagiza maafisa Elimu msingi na sekondari kuwalipa walimu wanaodai stahiki zao mbalimbali. DC Mwenda ameyasema hayo wakati...
Mkuu wa Wilaya ya Iramba Mhe. Suleiman Yusuph Mwenda ametoa zawadi kwa walimu wa shule ya Sekondari Lulumba kuchagua mbuga yoyote ya wanyama kwenda kupumzika kwa siku 3 baada ya shule hiyo kufanya vizuri sana kwenye matokeo ya kidato cha 6 na kuongoza Kiwilaya na Kimkoa na kushika nafasi ya 24...
Huyu bwana Dkt. Mwigulu amekuwa akija hapa bila majibu ya maana kwa manufaa ya Jimbo na Wilaya yetu ya Iramba. Huyu hatufai tena kwani kiu yake ni kufanya siasa za KiTaifa ili aje amtoe Mama Samia mwaka 2025.
Tunafanya utafiti ni nani sasa atafaa kuiwakilisha Iramba bungeni kuanzia Mwaka 2025...
Jeuri ya namna hii huwa wanakuwa nayo Wanasiasa wa Tanzania tu. Sababu wanajua Wananchi wa Tanzania wanaowalipa mishahara na posho. hawana la kuwafanya.
Ni kauli iliyojaa dharau, kebehi, kiburi, ujivuni, ubazazi, ubaradhuli na ulaanatullah. Huyu amejikinai. Hawajali wananchi maskini wa...
Weekend hii Dr. Mwigulu amekumbuka kwenda kutoa shukrani jimboni kwake na kama kawaida kaendelea kuongea misamiati ya KiNyiramba huku akiwaona wasikilizaji wake kama hawana uelewa wowote ule.
Pamoja na kukwepa kugusia mambo ya kodi ya miamala lakini agenda kubwa ilikuwa ni kujiimarisha jimboni...
Weekend hii Dr. Mwigulu amekumbuka kwenda kutoa shukrani jimboni kwake na kama kawaida kaendelea kuongea misamiati ya KiNyiramba huku akiwaona wasikilizaji wake kama hawana uelewa wowote ule. Pamoja na kukwepa kugusia mambo ya kodi ya miamala lakini agenda kubwa ilikuwa ni kujiimarisha jimboni...
Mamba aliyepo kwenye kina kirefu kuanzia Jumamosi ijayo atakuwa Jimboni Iramba akitembelea kata na tarafa zake kwa ajili ya kupongezwa na wanaCCM kwa kuteuliwa kuwa Waziri wa Fedha na pia kuwashukuru wapiga kura wake wa Chamani kwa kumwezesha kuingia bungeni na hatimaye kuteuliwa katika nafasi...
Prof. Kitila Mkumbo kwa Mwaka 2025 nina uhakika hana lake Jimbo la Ubungo.
Mwaka 2020 aliingizwa kibabe na hangeshinda. Dr. Dorothy Gwajima - Mnyiramba wa Tarafa ya Shelui naye anaonesha kunogewa na siasa - hakika atagombea Jimbo la Iramba. Dr. Mwigulu Nchemba (Mamba Kinani) ameendelea...
Habarini Wadau
Tunasikitika sana Kuleta Tangazo la Kifo cha Ajali ya Gari iliyotokea leo Iguguno shamba high way ya Singida Mwanza.
Mr. Adam Msangi aliekuwa mratibu wa Tasaf Wilaya ya Iramba amefariki kwa ajali hiyo ya gari majira ya alfajili ya kuamka leo.
Inauumiza sana kwani Mratibu huyu...
Bahati nzuri Ndugu yangu ni mmojawapo wa madiwani wa viti maalum Iramba. Katika udiwani wake huu ni muhula wa pili na anakiri isingekuwa Dr. Mwigulu asingeshinda mwaka jana kwani upinzani ndani ya Chama ulikuwa mkali sana.
Ndugu yangu anabaisha bayana kuwa Mwaka 2015 wakati wa Uchaguzi Dr...
Tangu ateuliwe Uwaziri wa Fedha, Dkt Mwigulu Lameck Madelu Nchemba, amekuwa very humble. Amesha-adopt utaratibu na upole wa Mhe. Samia Suluhu Hassan. Juzi alionana na Ndugu yangu ndani ya viunga vya bungeni - kwa kweli Dkt. Mwigula ameshabadilika.
Kabadilika faster - tena faster haswa. Kwa...
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Iramba Innocent Msengi ni ndugu na rafiki wa karibu wa Dr. Mwigulu. Huyu bwana hujinasibu alimaliza kidato cha nne. Lakini ukweli ukweli hatakiwi kujisema hivyo kwa kuwa alikuwa darasani na kakangu mimi na aliambulia Daraja la Sifuri - kitu ambacho huwa...
Mtakumbuka mwaka 2019 waziri Mkuu Kasim Majaliwa aliibua wizi mkubwa wilayani Iramba mkoani Singida. Waziri Mkuu katika ziara yake aliwaambia wanainchi kuwa serikali ilitenga mabilioni ya fedha kwa ujenz wa vituo vya Afya kote nchini.
Alisema ktk wilaya ya Iramba zaidi ya Tsh million 400...
Iramba imebahatika sana baada ya Uchaguzi wa Mwaka jana 2020.
Katika mkoa wa Singida kama sikosei ni Iramba pekee iliyotoa mawaziri.
Tuna Waziri Dr. Mwigulu Nchemba, Prof. Kitila Mkumbo (ingawa wa Ubungo wana haki naye pia) na Dr. Dorothy Gwajima.
Mwenyezi Mungu abarikiwe sana sana! Tuna...
Mabomu ya machozi yanarindima wakati huu jimbo La Iramba Magharibi mkoani Singida ambapo Mgombea ubunge jimbo hilo kupitia CHADEMA Bi Jesca Kishoa inasemekana amekamatwa na kufungiwa ofisi za msimamizi wa uchaguzi.
Chanzo cha mabomu hayo kinadaiwa kuwa ni vurugu zilizotokea baada ya kutokea...
Kuna baadhi ya kata zilitakiwa kurudia kura za maoni za uteuzi wa madiwani. Mojawapo ya Kata ni ile ya Ulemo ambayo Dkt. Mwigulu Nchemba alihakikisha iwe isiwe Diwani aliyekuwepo asiongoze tena. Mengi yalifanyika kuhakikisha hilo linafanikiwa.
Binafsi niliandika barua kwa uongozi wa Wilaya na...
Mgombea Urais wa JMT kwa tiketi ya Chadema Mhe. Tundu Lissu akiwasalimia mamia ya wananchi katika Mji wa Shelui, Jimbo la Iramba, leo Jumanne Agosti 11, 2020 waliosimama barabarani na kumzuia kwa muda wakimtaka asimame na kuwahutubia kwanza kabla hajaendelea na safari.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.