Iramba is one of the six districts of the Singida Region of central Tanzania. It is bordered to the Northwest by the Shinyanga Region, to the North by Simiyu Region, to the east by the Mkalama District, to the South by Ikungi District and to the West by the Tabora Region. Its administrative seat is the town of Kiomboi].
According to the 2012 Tanzania National Census, the population of the new Iramba District was 236,282.According to the 2002 Tanzania National Census, the population of the Iramba District was 368,131.[1]
Kutokana na CCM kuweka mazingira mazuri ya kuzuia watia nia kujipitisha pitisha kwa ajili ya kugombea katika Uchaguzi huu na msisitizo wa kutotumika kwa rushwa, imejulikana kuwa kigezo kikubwa kinachoenda kumtoa Dkt Mwigulu Nchema kwenye kinyanganyiro ni vitendo vyake vya kifisadi amabavyo...
Awali NI kupongeze Sana,kwa kitendo chako Cha kijasiri kuwa licha ya changamoto na matatizo lukuki iliyopitia CHADEMA umebaki imara!
Ni lazima nikusifu kwa kuwa hats ndani ya familia yako changamoto hizi zilitamalaki. Hongera Sana!
Ni bahati mbaya sana huku ndani JF tunatumia majina bandia...
Wasifu
Jesca David Kishoa ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CHADEMA. Alichaguliwa kuwa mbunge wa Viti maalum vya wanawake kwa miaka 2015 – 2020.
Elimu
Ruaha IringaDegree20102013Bachelor Degree
Dr. Salmin Secondary SchoolCSEE20042007Secondary School
Hijra...
Jumuiya ya umoja wa vijana WA CCM Wilaya ya Iramba mkoani singida Imemtumia salamu aliyekuwa mwanachama wa CCM Bernard Membe na baadae kufukukuzwa uanachama na Kamati Kuu.
Jumuiya hii kupitia kwa mwenyekiti wake comrade Joseph Mnemba imesema kuwa haitamvumilia mtu yeyote anaepingana na...
Mkakati mkali sana unapangwa wa kutengeneza Upinzani mkali na wa kueleweka. Zitto Kabwe, Benard Membe na Tundu Lissu ni wazi watakuwa pamoja. Ni suala la muda tu - kule Zanzibar kuna Fatuma Karume pia. Uchaguzi huu ni uchaguzi wa kiharakati na Tume ya Uchaguzi Huru ni lazima itazaliwa katika...
Watu wanaombea Dkt na Waziri wa Sheria na Katiba Lameck Madelu Mwigulu Nchemba akatwe na Halmashauri Kuu ili asigombee Ubunge ili apate nafasi ya kujijenga akisubiri mpaka 2025 aje kugombea Urais ili kutimiza ndoto yake.
Watu wanatarajia watu wapya kujitokeza kuchukua Fomu na kumpa changamoto...
Sio kwa sababu ya Prof. Kitila na Dk. Mwigulu kutenganishwa, hapana. Kuna sababu ya Jimbo hili kugawanywa kwani hata baada ya Iramba Mashariki kufanywa Mkalama bado Jimbo la Iramba ni kuwa kuliko majimbo yote ya Mkoa wa Singida kufanywa Jimbo moja tu.
Wanaouhusika tafadhali hebu angalieni namna...
Iwe mvua Au jua watu wa Iramba tunamhitaji Prof. KITILA MKUMBO 2020 awe mwakilishi wetu Bungeni, Haya ni matamanio yetu kutoka nyoyoni mwetu wanaIramba, CCM na wanaccm tupo tayari kumsapoti.
Iramba haikupaswa kuwa hivi
*MWIGULU UMEJIMALIZA MWENYEWE , USITAFUTE MCHAWI GIZANI*
Nimefuatilia sana mijadala hapa jukwaani kuhusu Mwigulu Nchemba kuelekea uchaguzi mkuu wa 2020 Mwigulu akitamba kwa kujiita Mamba . Kwa tafsiri ya haraka Mamba ni mnyama anayeua binadamu na wanyama wengine bila huruma , kwa msiomjua...
Jimbo la Iramba limekuwa na vita vikali kati ya Mwigulu Nchemba (Mbunge wa sasa aliyewahi kuwa Waziri pia) na Katibu Mkuu wa sasa Wizara ya Maji Prof. Kitila Mkumbo. Wasomi hawa wamekuwa na msigishano wa hapa na pale na kufanya Jimbo sasa kuangalia zadi watu waofaa badala ya kuangalia nini...
Habari wadau wa JF.
Habari kutoka wilayani Iramba ni kuwa Afisa takwimu wa idara ya elimu msingi, na walimu wakuu kadhaa wanashikiliwa kwa maelekezo ya TAKUKURU wilaya.
Chanzo cha kushikiliwa kwa SLO huyo Bwana Mgimba ni matumimizi mabaya ya hela za ujenzi wa vyoo saba ktk shule saba wilayani...
ANGUKO LA MWIGULU NCHEMBA
Mwigulu ni sikio la kufa, amekuwa akiporomoka kuanzia ngazi ya familia, sasahivi amekuwa mzee wa vimada tu, baada ya kulipuliwa na wadau mbalimbali kuhusu Tabia ya kuwazini watoto wa kike anaowaahidi kuwasaidia halafu anawaongopea akishawatumia anawatelekeza.
Vijana...
Mwaka huu ni wa Uchaguzi Mkuu ambao kwa jimbo letu la Iramba tunategemea kumpata Mbunge na Madiwani ambao wataifanya Iramba yetu ijipambanue na kuanza kurudi katika enzi za kuwa Wilaya bora Mkoa wa Singida. Kwa sasa Iramba sio bora tena.
Inazidiwa na watani zetu na inavyoelekea hata Manyoni...
Huyu jamaa katika kundi lake la WhatsApp linaloshughulika na Maendeleo ya Jimboni kwake Iramba ameandika hivi:
"Hi ni nia tu, Campaign Bado.
Mimi Eng. Jumbe Katala bado nafasi yangu ya kuwatumikia rasmi wna Iramba mbali na hii kujitoa kibinafsi katika kuchangia kuinua elimu Iramba. Wana Iramba...
Habari wadau wa JF.
Wilayani Iramba mkoa wa Singida mambo ni Moto. Shamrashamra zimetawala ktk mji wa Kiomboi ambao ni makao Makuu ya Wilaya kufuatia ziara ya makamu mwenyekiti wa CCM bara, Ndugu Philip Mangula.
Mzee huyu asiyekuwa na makuu hivi sasa anazungumza na wanachama ktk ukumbi wa...
Wadau wa JF poleni na pilika zetu hizi za kila siku,
Hivi karibuni limetokea tukio la kuibwa mtoto wa miaka miwili ktk mji mdogo wa Kiomboi wilayani Iramba. Tukio hili lilitokea eneo la Soweto lenye watu wengi mjini hapo.
Aliyemuiba mtoto ni jirani ambaye ni mstaafu serikalini. Baada ya...
Wewe ni Mchumi na siku zote wachumi huelezea uhalisia wa mambo kwa namba. Wataalamu wanadai "namba haziongopi".
Mheshimiwa umekosa ujasiri wa kusema mambo ambayo umeifanyia Iramba kwa sababu hamna ulichofanya ambacho unaweza kujivunia.
Au unataka kuongelea kwa mfano shule yako ya Kata yaani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.