iran

  1. matunduizi

    Netanyahu aipiga mkwara mzito Iran na nchi zote za mashariki ya kati

    Anasema hakuna sehemu Iran na middle east yote ambapo mkono wa jeshi la Israel hauwezi kufika. My take Kuna haja ya Iran na wadau wake waweke tofauti zao na Israel pembeni. Maana Israel kwa sasa anaweza hata kuua nusu ya raia wa middle east na watu wote wakabaki wanamchekea. Hakuna mtu wa...
  2. Pearce

    Kinachoendelea sasa hivi Mashariki ya Kati ni Mapenzi ya Iran

    Nimepata kupitia speech ya rais mpya wa Iran, wakati nikiendelea kumfuatilia hapo awali alikuwa nani na alitokea wapi. Nilichogundua anajitahidi sana katika maelezo yake kujitofautisha na serikali ya awali ya Hayati Raisi aliekuwa mfuasi kindakindaki wa Hayatollah na mapinduzi. Anajaribu...
  3. Eli Cohen

    Iran imesababisha mauaji ya maelfu ya Wapalestina sasa hivi wamehamia Lebanon kuendeleza harakati zao za kitapeli.

    Ni mtoto labda ndio hajui kuwa hamas na hezbollah ni midori ya Iran. Iran atafanikisha lolote lile liendalo na utapeli wake hata kwa gharama ya damu ya watu wake wenyewe. Nini haswa madhumuni ya Iran, kufanikisha kupatikana haki kwa walebanon na wapalestina?????? Hapana madhumuni ya Iran...
  4. Eli Cohen

    Eti Iran anamshutumu Israel kwa kushinikiza machafuko zaidi utafikiri alimuomba hezbollah amchokoze. Yani unachezea moto alafu unalalamika unaangua.

    Hawa radicals wa middle east ni watu wa ajabu sana. Wana sugu ya fujo fujo ndani ya mioyo yao. Ni aina ya watu amabao wana taka uishi kutokana na misingi yao ya fujo fujo. Wakipigana na wewe hata kama unawashinda watataka ushinde wanavyotaka wao. Unasema unapigana na Israel kuitafutia haki...
  5. Msanii

    Je, inawezekana pager kuwa chanzo cha kifo cha rais wa Iran?

    Rais wa Iran, Raisi na yeye alionekana kuwa anatumia pager kabla ya kifo chake. Sasa umezuka uvumi kuwa inawezekana hata kifo chake cha ajali ya ndege kinaweza kuwa kilisababishwa na mlipuko wa pager iyo. Waisrael ni wajanja mno? Ni kama popobawa ambaye anakukula usiku kisha anapiga kimya...
  6. U

    Iran yaituhumu Israel kifo cha Rais wao, chopa iliyoanguka ilikuwa na vifaa vya mawasiliano sawa vile vya Hezbollah vilivyolipuka

    Iran yabadili gia angani sababu kifo cha Rais wao Kwa ajali ya helicopter Sasa Serikali ya Iran yaituhumu Israel kuhusika na kifo hicho Yasema ilihusika kwenye ununuzi wa vifaa vya mawasiliano pagers ambayo vilitumiwa na magaidi ya Hezbollah Yasema kuwa hata chopa iliyoanguka ikimbeba Rais...
  7. gallow bird

    Iran yakumbwa na mlipuko kwenye mgodi wa makaa ya mawe

    Mlipuko umetokea kwenye mgodi wa makaa ya mawe mjini Tabas,500km toka tehran,watu 30 wameuawa na 17 kujeruhiwa, wengine wakiaminika kunasa ndani ya mgodi
  8. U

    Breaking News Ziwa Urmia Iran limekauka pamoja na juhudi za kulijaza, uhai watu zaidi ya milioni mashakani, wanasayansi Israel hawajatoa maoni

    Wadau hamjamboni nyote? Huwezi amini lakini huo ndiyo ukweli kuwa hali bado ni tete huko Iran Huku hofu dhidi ya Israel ikiendelea kumeibuka tatizo jipya tena zito Ziwa kubwa kabisa huko nchini Iran katika hali isiyo ya kawaida limekauka mazima pamoja na juhudi kubwa za kulijaza maji mwaka...
  9. Komeo Lachuma

    Picha: Rais wa Iran aliuawa kwa mlipuko wa Pager?

    Israel wana tabia moja. Wakifanya yao wananyamaza. Huwa huwakuti wanazungumzia kitu. Wananyamaza tu kama si wao. Huwa hawaelezi wamefanyaje. Hata muwatukane muwalipue muwafanyaje. Wananyamaza tu. Wataalamu wanasema Israel huwa ni wabaya zaidi ukiwachokoza kisha wakanyamaza tu. Haya wiki au...
  10. MK254

    Iran yalalamika kuhusu hii aina mpya ya mashambulizi ya Israel dhidi ya magaidi wa Hezbollah

    Iran ambayo ni mfadhili mkubwa wa magaidi ya waislamu, bila aibu yaanza kulalamika kwa kichapo kilichotembezwa na Israel kwa magaidi ya hezbollah.... ============================= Iran, an ally and sponsor of Hezbollah, on Wednesday accused Israel of “mass murder” over the previous day’s attack...
  11. MK254

    Wanajeshi 19 wa Iran waliuawa na wengine 150 kujeruhiwa kwenye shambulizi la Israel la kutumia elektroniki

    Hawa ni wanajeshi wa Iran waliokua wanatoa misaada kwa magaidi wa waislamu, yaani Myahudi ni balaa nyingine.... Haya kama kawa njooni na povu zenu wazee wafia ile dini japo waoga wa kyeboard warriors...mnapigwa kote, mpaka sasa pale Gaza idadi ya mizoga yenu inasoma zaidi ya 40,000 Mlilianzisha...
  12. U

    Balozi wa Iran Lebanon apoteza jicho moja kwenye mlipuko, jicho lingine lajeruhiwa vibaya, apelekwa Iran Kwa matibabu

    Wadau hamjamboni nyote? Balozi huyo nayeye alikuwa na karedio kamasiliano yaani pager na kilipobipu kwa takribani sekunde 10 akakisogeza usoni Ili asome ujumbe na Mlipuko ukatokea na kuondoka na jicho lake Taarifa kamili hapo chini: Hassan Ammar) Mojtaba Amani, the Iranian ambassador to...
  13. M

    Iran na Hezbollah wamegundua teknolojia mpya ya Mawasiliano ambayo Israel kamwe haitawadukua tena.

  14. MK254

    Watu 9 waripotiwa kufariki baada ya vifaa vya mawasiliano (Pager) za Hezbollah kulipuka kwa mkupuo; Balozi wa Iran nchini Lebanon aripotiwa kujeruhiwa

    Hili shambulizi ni bab-kubwa, sijui Israel kachezaje, magaidi wa Kiislamu 1,200 walipukiwa na pagers zao, wengine walitokwa na damu kwenye maskio, akiwemo balozi wa Iran. _----------+ Iranian ambassador Mojtaba Amani was reportedly injured in a Hezbollah explosion, according to state-owned...
  15. G

    Mambo yalikuwa ni magumu sana kwa Iran awamu ya Trump. Walibanwa kisawasawa, wanaombea Kamala aendelee kuwapa ulaji baada ya Biden

    Iran ilikuwa dhaifu na imefilisika awamu ya Trump, Iran imekuwa tajiri na yenye jeuri ya pesa za kufadhili vikundi vya kigaidi awamu ya Biden. Trump aliiwawekea vikwazo vikali mno Iran ili wasiuze mafuta, Mkakati huu uliwafanya Iran wawe wamenyongonyea kiuchumi, Hawakuwa na nguvu wa la jeuri...
  16. Webabu

    Iran yasema ndio imeipelekea makombora Urusi.Vile vile imeshawapatia Hezbollah silaha yake kali ya EMP inayopiga mifumo ya kusambazia umeme.

    Habari za kijasusi za Marekani kwamba Iran wameisambazia Urusi makombora ya masafa mafupi zitakazotumika katika vita na Ukraine, sasa si siri tena baada ya mbunge wa Iran na mjumbe wa kutunga sera za kiulinzi kusema ni kweli wameshaipatia Urusi silaha hizo. Akiweka wazi hatua zao hizo,mbunge...
  17. Webabu

    Iran na Uturuki kuunda meli ya kubebea droni kuzipiku meli za kubebea ndege za kivita za Marekani, Urusi na China

    Mataifa ya Uturuki na Iran yapo mbioni kutengeneza meli kubwa za kijeshi zitakazobeba droni kushambulia adui badala ya zile meli zilizozoeleka na zinazohofiwa ambazo huwa zinabeba ndege za kijeshi kama vile F-16 na F 35. Tofauti na meli za kubebea ndege za kivita,meli hizo zao la ubunifu wa...
  18. J

    Mnamkumbuka Ayatollah Khomeini, kiboko ya Shah wa Iran?

    Hiyo hapo video yake mwamba huyo mwana mapinduzi na mwanzilishi wa Iran Theocratic Regime https://youtu.be/60MC3bVFG6s?si=TZSCPGdLL__fbT5t
  19. Mathanzua

    Israel assassinates another Iran official, then commences "Pre-emptive attacks" against Hezbollah in Lebanon

    ISRAEL ASSASSINATES ANOTHER IRAN OFFICIAL, THEN COMMENCES "PRE-EMPTIVE ATTACKS" AGAINST HEZBOLLAH IN LEBANON August 24, 2024 Israel has assassinated the head of Iran's KHASH (Intelligence) Agency, in front of his home in Iran, and then commenced "pre-emptive" attacks against Hezbollah in...
  20. Ritz

    Israel waomba msaada wa kimataifa kwa Israel dhidi ya Iran na Hezbollah

    Wanaukumbi. Hezbollah wanaendelea kushambulia maeneo muhimu ya jeshi ndani ya Israel. 🚨🇱🇧🇮🇱 FM KATZ AWATAKA MSAADA WA KIMATAIFA KWA ISRAEL DHIDI YA IRAN NA HEZBOLLAH Waziri wa mambo ya nje Israel Katz amewaandikia makumi ya mawaziri wa mambo ya nje akitaka kuungwa mkono na hatua za Israel...
Back
Top Bottom