ISRAEL vs IRAN - 02
Sehemu ya 2
Na Dr. Chris Cyrilo
Mapinduzi ya mwaka 1979 yaliyoondoa utawala wa Shah, na kuifanya Iran kuwa chini ya utawala wa kiislamu wa dhehebu la Shia, yalifuta ndoto ya Iran kupata silaha za kinyuklia. Utawala wa kishia, uliokuwa chini ya Ayatolla Khomeini ulijikuta...