iran

  1. Sir John Roberts

    IAEA: Iran atakuwa na Bomu la Nuclear Wiki moja kuanzia leo tarehe 27 May 2024

    Hii ndio habari iliyoletolwa leo na Shirika la atomic duniani AIEA. Nuclear ndio silaha ya maangamizi bora kuliko silaha zote zilizowahi kutokea duniani mpaka sasa. Kwa minajili hiyo kwa sasa eneo la mashariki ya kati kutakua na nchi 2 (japo moja ni nchi fake) zenye silaha za maangamizi za...
  2. MK254

    Bomu lapiga karibu na ubalozi wa Iran, Syria na kuua mtu wa karibu sana na Iran

    Mtapigwa tu, juzi rais wenu ameliwa milimani, tena kwenye ndege tatu, ya kwake ndio ilichaguliwa, wiki haijaisha bomu limepiga karibu na ubalozi. One dead after explosion reported near Iranian embassy in Damascus - report By JERUSALEM POST STAFF Published: MAY 25, 2024 10:37Updated: MAY 25...
  3. Kaka yake shetani

    kamikaze drones za ukrain ni hatari kuliko zile za iran

    Kuna watu watabisha ila ukweli uwezi semwa kwa kipigo wanachokipata urusi na drone za kamikaze za ukraine. Hii teknolojia inaonenyesha kuwa na makali sana maana si rahisi kuikamata kama lile bajaji drone la iran. https://www.youtube.com/watch?v=IO4_fzKiycA...
  4. GoldDhahabu

    Korea Kaskazini na Iran ni nchi salama kwa Mtanzania?

    Kwa jinsi Iran inavyosigana na mataifa makubwa kama Marekani, inaweza kuleta picha kuwa ni nchi hatari kuishi. Lakini ukifuatilia taarifa za hapa Tanzania, ni wazi kuwa nchi ya Tanzania na Iran hazijawahi kuhasimiana. Hata kipindi fulani, Iran iliipatia Tanzania msaada wa matrekta madogo 100...
  5. Webabu

    Ebrahim Raisi atakumbukwa kama kiongozi jasiri zaidi wa Iran aliyeikuza nchi yake kiteknolojia

    Pamoja na kukalia kiti cha uraisi kwa kipindi kifupi, marehemu Ebrahim Raisi wa Iran aliyekufa kwa ajali ya helkopta atakumbukwa kama mmoja wa viongozi mashujaa wa nchi hiyo. Katika kipindi chake vitu vingi visivyotarajiwa kufanywa na nchi ambayo haijatajwa kama nchi iliyoendelea kama zile za...
  6. GENTAMYCINE

    Kwanini 50% ya Raia wa Iran wamefurahia na hadi Kukufuru kabisa Kifo cha Rais wao Raisi?

    Nasubiria hizo sababu kwani hata Mimi GENTAMYCINE najiandaa kuwa Rais nchi moja hivyo sitaki Niwaudhi Wananchi.
  7. Kaka yake shetani

    Kama kifo ni mipango ya Mungu, mbona imani yenu wa Iran inaonekana kukataa kuhusu kifo cha Raisi?

    Nimeshangaa sana jaziba za wairan wakiona kama kifo kimepangwa na wabaya wao au kosa lilofanyika ni kama mungu kakosea. Sasa imani ina maana gani kama kifo mtaki kuamini kipo.
  8. Mathanzua

    Evidence is now appearing indicating that the Iran Presidential Helicopter crash was an assassination

    Evidence Is Now emerging Indicating the Iran Presidential Helicopter Crash was an Assassination MAY 20, 2024 The crash of the Iran Presidential Helicopter is starting to appear to be a well-planned and deliberate Assassination. So thorough does the Conspiracy appear, and now the cover-up...
  9. Miss Zomboko

    Iran: Uchaguzi Mkuu wa kumpata Rais mpya kufanyika Juni 28, 2024

    Iran imetangaza kuwa itafanya uchaguzi wa rais mnamo Juni 28, kufuatia kifo cha rais Ebrahim Rais na maafisa wengine katika ajali ya helikopta wakati mazishi yakitarajiwa kufanyika Jumanne. =================== Iran on Monday declared that it would be holding an early presidential election on...
  10. Kaka yake shetani

    Watu wengi watajiuliza kuhusu Iran ajali iliyotokea ila ni wajuze kuhusu Helikopta

    Mimi nashangaa sana tena hapa kwetu kila kukicha wanaojitokeza kwa kusema wanavipaji vya kutengeneza helikopta. Helikopta sio maputo wala utani kama wanvofikiria watu wengi na usalama wake ni mdogo sana sababu balance yake inategemea uwezo wa panga zake ikishindikana basi. Idadi ya mafundi...
  11. The unpaid Seller

    Kama hakuna atakayezungumza ukweli kuhuru Iran mimi nitazungumza

    Huu uzi umejikita kiinteligensia, facts na uchambuzi wa evidences zaidi ya ushabiki wa ule uzi mwingine. Eti nini? Eti hali mbaya ya nini? LIKO WAZI CHOPA YA KIONGOZI WA IRAN imeshushwa kwa space laser. Naomba unionyeshe hiyo "hali mbaya ya hewa" Hii chopa imeshushwa na sio ajali. I think...
  12. U

    Mohamed Mokhbar ateuliwa kaimu Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran

    Who is Mohammad Mokhber, Iran's interim president? By Reuters May 20, 202412:19 PM GMT+3Updated an hour ago Here are some key facts about Mohammad Mokhber, 68, Iran's first vice president who became interim president following the death of Ebrahim Raisi in a helicopter crash. As interim...
  13. Yoda

    Marekani yalalamikiwa ajali iliyomuua Rais wa Iran!

    Katika hali ya kushangaza waziri wa mambo ya nje wa zamani wa Iran Javad Zarif ameilalamikia Marekani kwa ajali ya Helikopta iliyosababisha kifo cha Rais wao Ebrahim Raisi. Javad anasema ajali hii ni matokeo ya vikwazo vya muda mrefu vya Marekani ambavyo vinawazuia kupata ndege/ helicopter na...
  14. TODAYS

    HII NDIYO ROBOTI: Ilichukua Jukumu Muhimu Kutambua Mabaki ya Rais Raisi.

    Kwa waturuki wao wanasema ni hatua kubwa waliyofikia kwa mara ya kwanza katika historia ya dunia. AKINCI UAV ya Uturuki ilichukua jukumu muhimu katika kutambua mabaki ya helikopta ya Rais wa Iran Raisi. Ni operesheni ya utafutaji na uokoaji ilitangazwa moja kwa moja 'LIVE COVERAGE' kupitia...
  15. X

    Rais wa Iran, Ebrahim Raisi na Waziri wa Mambo ya Nje wafariki dunia kufuatia ajali ya Helikopta

    Imethibitishwa kuwa raisi wa Iran alikuwa ndani ya helicopter hiyo iliyopata ajali. Vikosi vya uokoaji vimeshindwa kutambua na kufika neo husika ilipotokea ajali hiyo kwa sababu ya hali mbaya ya hewa. Wengine waliokuwa kwenye helicopter hiyo ni pamoja na Governor wa East Azarbaijan, Ayatollah...
  16. F

    Kweli Iran bado Mtoto mdogo sana kwenye game

    Najiuliza tu hawa jamaa wanawezaje kumbeba raisi kwenye helicopter ya mwaka 1978?? 🫤 Na matambo yao yote ya kurusha drone na misile 300 ambazo zote zilidondoka njiani, bado kumbeba raisi wanatumia helicopter za mwaka 78 tena zilizotengenezwa US?🧐🙄 Je, hawa jamaa wataweza kweli kupambana na...
  17. The unpaid Seller

    Iran wanaamini ajali hio ya kawaida. Je, Ni kweli?

    Peace, Yani helcopter 3 zinasafiri katika ukungu ulioripotiwa na wataalamu wa anga na aviation kua "dhaifu na wa kawaida" alafu 1 kati ya chopa 3 inaanguka. Na tena inayoanguka ni "chopa ya rais" na nyingine zinaendelea na safari huku mawasiliano ya chopa zote 3 yakifanyika "muda wote" na...
  18. R

    Je, upo mkono wa Israel kwenye ajali ya Rais wa Iran?

    Tunaona taarifa na mjadala kuhusu ajali ya helkopta inayodaiwa ilimbeba Rais wa Iran. Ikumbukwe siku chache Iran ilivamia Israel kwa makombora /ndege zisizo na rubani na Israel waliahidi kulipiza kisasi. Je, ni kweli majasusi wa Israel wameweza kuingia kwenye mifumo ya mawasiliano ya Iran? Je...
  19. Sir John Roberts

    Israel yalalamika Hezbollah kupokea Mitambo ya ulinzi wa Anga (Air defense) kutoka Iran

    Katika hali ya kishangaza sana na kuuchekesha Ulimwengu taifa la mchongo Israeli leo limetoa taarifa kuwa wanamgambo wa Hezbollah kutoka nchi ya Lebanon 🇱🇧 wamepokea mitambo ya ulinzi wa anga kutoka Iran ( hii ni kweli ). Na kuelezea masikitiko yao kuwa dunia ipige kelele kitendo hicho...
Back
Top Bottom