iran

  1. BAKIIF Islamic

    Israel imefungua vituo vya kujikinga kwa mabomu mjini Tel Aviv, ikihofia mashambulio ya makombora ya Iran

    Rais wa Iran Ebrahim Raisi ametoa wito kwa nchi zote za Kiislamu kuungana dhidi ya Israel. Hali ya mtaa huko Haifa nchini Israel na kufurika kwa wa-Israel kuelekea vituo vya kujikinga na mabomu Hofu imetawala: Israel imebana GPS katika viwango vya juu zaidi katika eneo lake kwa hofu ya...
  2. Technophilic Pool

    Irani ikishambulia ndani ya nchi ya Israel itakua mwisho wa serikali ya kiislam ya Iran

    Kumekua kunazagaa taarifa kwamba Iran inajiandaa kuishambulia Israel kama kujibu mashambulizi….. Basi huo ndio utakua mwisho wa Iran. Ikumbukwe kwamba Israel imekua ikimtamani Iran siku nyingi sana na ilishajipanga hata kupigana vita na iran bila hata ya US. Kwasababu israel haikuweza...
  3. BAKIIF Islamic

    Iran inaripotiwa kupanga kushambulia Israel kwa kutumia ndege zisizo na rubani

    Iran inaripotiwa kupanga kushambulia Israel kwa kutumia ndege zisizo na rubani na makombora makali zaidi na yenye kusafiri kwa kasi na mlipuko mkubwa kuliko kawaida kulenga maeneo ya kimkakati ndani ya Israel. -Mifumo ya vita vya kielektroniki vya Iran inasonga mbele karibu na Ghuba ya Uajemi...
  4. Ritz

    Muda mfupi uliopita, IOF iliamua kuwaita askari wa akiba kwa ajili ya mifumo ya ulinzi wa anga kutokana taarifa za Iran kushambulia

    Wanaukumbi. 🚨 Muda mfupi uliopita, IOF iliamua rasmi kuwaita askari wa akiba kwa ajili ya mifumo ya ulinzi wa anga "kutokana na hali ya usalama." Kwa saa kadhaa, jeshi la anga na ulinzi wa IOF vimekuwa katika hali ya tahadhari na tayari kabisa, wakihofia jibu la Iran kwa shambulio la IOF la...
  5. PureView zeiss

    Iran inajiandaa kupiga ndani ya Israel kwa masaa 48 yajayo

    Ripoti za kiuchunguzi za CIA zinaeleza kuwa Iran inaendelea kujiandaa na mashambulizi ya drones ndani ya Israel hasa kwenye maeneo yake ya viwanja vya ndege na kambi za jeshi... Wakati haya yakijiri Huko Iran na Israel nao kupitia waziri wa ulinzi bwana GALLANT amesema kuwa "vikosi vyetu vipo...
  6. ze kokuyo

    Iran yataka Umoja wa mataifa (UN) kulaani shambulizi la Israel nchini Syria

    Iran kupitia balozi wake wa Umoja wa mataifa umeitaka UN kulaani shambulizi lililofanywa na Israel kwa kushambulia ubalozi wake uliopo Syria. Iran imesema Israel ni tishio kubwa mashariki ya kati huku ikiapa kulipa kisasi. Hapo Jana waziri wa ulinzi wa Israel alisema Taifa hilo lipo tayari kwa...
  7. BAKIIF Islamic

    Vita sasa inaanza rasmi: Kiongozi Mkuu wa Iran ameamuru jeshi kuiadhibu Israel

    "Utawala mbovu wa Israel utaadhibiwa kwa mikono ya watu wetu mashujaa," alihitimisha. Kiongozi Muadhamu wa Iran Ayatollah Seyed Ali Khamenei: “Utawala mbovu utaadhibiwa na mikono ya watu wetu mashujaa. Kwa mapenzi ya Mwenyezi Mungu, tutawafanya wajutie uhalifu huu na mengine yanayofanana na...
  8. MK254

    Urusi yalaani shambulizi la Israel ubalozi wa Iran nchini Syria na kumuua jenerali wa Iran

    Kupiga ubalozi wa Iran ni mithili ya kushambulia ndani ya taifa la Iran, Israel wameendelea kuua wakuu wa jeshi la Iran, jana wamepiga ubalozi wa Iran na kuua wakuu wa jeshi humo, nilitegemea Iran ifanye kitu cha maana ila ndio hivyo! ================================ Russia condemned an...
  9. Mpigania uhuru wa pili

    Ubalozi wa Iran umeshambuliwa Damascus kiongozi wa revolutionary Guard Corps amefariki

    BREAKING: The Iranian consulate in Damascus has been "destroyed", according to the Syrian state news agency. Further reports claim that a senior commander in the Iranian Revolutionary Guard Corps has been killed but the ambassador survived Israeli imeshafanya yake
  10. ze kokuyo

    Israel yafanya mashambulizi makubwa Syria, wanajeshi wa Iran miongoni mwa waliouawa

    Israel imefanya mashambulizi makubwa huko Syria yakilenga wapiganaji, hifadhi za silaha na vituo vinavyotumiwa na wanajeshi wa Iran. Idadi ya waliouawa ni zaidi ya 30 ikiwemo wanajeshi wa Iran, wapiganaji wa Hezbollah, nk. Al Jazeera
  11. MK254

    Viongozi wa jeshi la Iran wauawa kwenye shambulizi la Israel kule Syria

    Hakuna kupumzika, kote mnapigwa.... Urusi walijifanya shobo na nyie watu, wakapokea kibano, huyu Iran wenu mnayemtegemea, naye hasazwi..... A series of airstrikes targeted sites belonging to Iran's Islamic Revolutionary Guards Corps (IRGC) in the Deir Ezzor region of eastern Syria on Monday...
  12. profesawaaganojipya

    Iran imepiga hatua kubwa kwa zana za kivita

    Taifa la Iran limepiga hatua kubwa kwa ugunduzi na utengenezaji zana vita. Katika maonyesho ya zana vita, yanayoendelea Qatar,Iran imeonyesha Drone yake,inayoweza kubeba mabomu 13,na kutembea umbali wa km 2000,na kuruka futi 35000 toka usawa wa bahari. Jambo hili limemuuzi sana USA na...
  13. K

    Iran yaanza uuzaji silaha kimataifa

    Tokea mwaka jana mwishoni vikwazo vya silaha vilipoisha kwa Iran,Iran imeonesha drone mpya iitwayo Gaza Doha yenye uwezo wa kutembea maili 1200 sawa na kilometa 2000 na yenye uwezo wa kubeba mabomu mpaka 13. Tutarajie mpinzani mwingine katika soko la uuzaji silaha. Pia hii itakua fursa kwa...
  14. MK254

    Hezbollah watoa hakikisho kwa maskini Iran kwamba kwa vyovyote vile hiyo Iran haitapiganishwa na Israel

    Imebidi Iran wawaagize hao Hezbollah waje kutoa hakikisho kwamba huo uchokozi wao kwa Israel haitokuja siku waburuze Iran kwenye vita na Israel, wayafanye huko huko na wakipigwa wapokee tu kama HAMAS wanavyopokea...... ====================== Hezbollah has reportedly told its main backer Iran...
  15. MK254

    Raia wa Iran waomba Israel ilianzishe dhidi ya uongozi wa Ayatollah, wao watamaliza

    Ikumbukwe juzi kwenye uchaguzi wa Iran, waliojitokeza kupiga kura ni wachache sana, yaani makundi ya watu wachache sana, watu wamechoka uongozi wa kikatili wa kidini, wanataka demokrasia ya kweli, hata timu yao ya taifa ilipofungwa walishabikia sana. Wameomba Israel ianzishe vita dhidi ya...
  16. Webabu

    Kwa sasa meli zinazopita red sea ni zile zinazotoka bahari nyeusi kwa warusi na zinazoelekea Iran pekee

    Njia mashuhuri ya meli za kibiashara ya Suez Canal kutokea red sea ni kama kwamba imefungwa kutokana na mashambulio ya Houth. Meli peke zinazopita bila wasi wasi ni zile zinazotoka ama kuelekea Iran.Nyengine ni zile zinazotoka ama kwenda bahari nyeusi ambako ndiko ziliko bandari kubwa za...
  17. MK254

    Video: Mtanzania aliyefungwa miaka 10 Iran kisa kafuata huko mambo ya dini

    Muhimu hii iwafikie wafia dini wa JF ambao hupenda sana kuabudu watu wa Iran na Uarabuni.... kuvaa kwako kanzu na kuotesha ndevu ili ufanane na wale haitoshi, ukiingia kwenye anga zao wanakuua, walimuua Mtanzania mmoja na kumtesa mwenzake. https://youtu.be/PC0e170GSug?si=ZHbPD25IF4W7Cz_h
  18. MK254

    Iran yalalamika kwa kichapo kinachoendelea dhidi ya Yemen na magaidi wa Houthi

    Mabomu yanashushwa kama mvua, imebidi Iran itoe neno..... Iran has condemned the latest strikes by the United States and Britain on Yemen, saying they were seeking to “escalate tensions and crises” in the region. The condemnation comes after American and British forces carried out fresh...
  19. MK254

    Iran: Vijana wakamatwa kwa kushangilia anguko la timu ya taifa

    Ayatolla na dini yao wanaendelea kupoteza vijana kwenye taifa la Iran, wanalazimisha ila ndio hivyo, Iran ilishindwa kwenye mechi ya mpira, halafu vijana wakajitokeza kushangilia hilo anguko maana wamechoka na utawala wa kijinga, sasa kumetokea kamata kamata ya vijana wote walioshabikia. Halafu...
  20. I

    Serikali nchini Iran yakamata vijana 10 kwa kushangilia timu yao ya taifa kufungwa

    Mamlaka nchini Iran inawashikilia takriban vijana 10 wa kiume kwa "kuonyesha furaha" kutokana na timu yao ya taifa kufungwa hivi majuzi na timu ya taifa ya Qatar katika michuano ya soka. Shirika la kutetea haki za binadamu lenye makao yake makuu nchini Norway lilisema Jumatatu...
Back
Top Bottom