Arianna Katatabai, mwanazuoni wa siasa na mtaalamu wa Iran, ameibua utata kuhusu tuhuma za kuwa "double agent" kwa sababu ya madai ya kushirikiana na kundi la ushawishi wa Iran. Madai hayo yalizushwa na vyombo vya habari vya mrengo wa kulia nchini Marekani, yakidai kwamba Katatabai amekuwa...
Baada ya ngome kadhaa za kijeshi za Israel kutandikwa na makombora ya balistiki ya Iran, Israel imefanya uchunguzi na kukamata raia wake saba waliofanya ujasusi kwa ajili ya Iran ktk maeneo nyeti ya Israel zikiwo ngome za kijeshi. Waisraeli hao wanalalamikiwa kwa kutekeleza na kukamilisha...
Israel iliwashikilia raia wake zaidi ya sita, akiwemo askari muasi wa jeshi,kwa tuhuma za kufanya ujasusi ndani ya israel kwa ajili ya Iran.
Watuhumiwa hao walipiga picha kambi za jeshi, taarifa za watu mahsusi kwa ajili ya mauaji na kuzituma Iran kwa njia ya siri(code) waliyopewa na Iran
NB...
Inaonekana suala la Mabwabwa lipo sana Iran. Yaani kikosi cha mpira cha team ya wanawake wamechomekwa wanaume wanne humo ndani.
Hawa jamaa inaonekana hawana maadili kabisa. Tukiwaambia watu humu JF wanakuwa wabishi na wana leta imani. Haya ni mambo ya ustaarabu mdogo sana.
Yaani wakienda...
Timu ya taifa ya wanawake ya Iran imeondolewa katika michuano ya Asian Cup baada ya kukutwa na hatia ya kuchezesha wanaume wanne.
Je ? Unadhani hao wachezaji Wakiume ni namba ngapi hapo pichani?
Chombo cha habari Maariv kutoka Israel kinaripoti kuwa tayari Iran imepokea silaha za kisasa ikiwemo ndege vita Chapa SU 35 kutoka Russia na air defense system S-400 , Hali kadhalika Iran imepokea kutoka China Laser Anti -drone system. Habari hii pia imeripotiwa na vyombo mbalimbali vya habari...
Nimeisikiliza mara mbilimbili hii Clip, imenifikirisha Sana.
Imenifikirisha kwa kuwa hivi karibuni aliyekuwa Rais wa Iran, Mahmoud Ahmedinejad, alisema kuwa, kuna wakati walianzisha kitengo Cha kuipeleleza Israel, lakini mwisho wa siku wakaja gundua kuwa kiongozi wa kitengo hicho ni mtu wa...
Iran imekimbilia kwenye kujitetea, ila waambiwa wasubiri papo hapo kipo tu, na muda wote wawe macho yao yanaangaza angani maana hawajui watashukiwa vipi. Vita vya kisaikolojia
=========
Iran Denies Involvement in Drone Attack on Netanyahu, Blames Hezbollah
Days after Israel eliminated Hamas...
Esmail Qaani ni kamanda wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) la Iran, hasa tawi la Vikosi vya Quds, ambalo linahusika na operesheni za kijeshi nje ya Iran. Aliteuliwa kuwa kamanda wa Vikosi vya Quds mnamo Januari 2020 baada ya kifo cha Qasem Soleimani, aliyekuwa kamanda wa vikosi...
Wadau hamjamboni nyote?
Hiyo ndiyo Hali halisi huko Iran Kila siku wafungwa 5 wananyongwa
Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:
Iran executes 92 prisoners in 17 days, rights groups say
2 hours ago
Share
At least 92 prisoners have been executed in Iran since the start of October, averaging...
Wadau hamjamboni nyote?
Mkuu wa majeshi ya Israel Luteni Jenerali Herz halev ametembelea vikosi vya Jeshi hilo huko Milima ya Golan
Asema kuwa Hezbollah kila siku inazidi kusinyaa na kusinyaa. Wapiganani zaidi ya 1,500 wameuawa tokea Israel ianze operesheni za kijeshi Lebanon
Asema Hezbollah...
Lebanon yaishutumu Iran kwa kuingilia masuala yake ya ndani
Chanzo cha picha, Reuters
Waziri Mkuu wa Lebanon Najib Mikati ameelezea kughadhabishwa kwake na kauli iliyotolewa na spika wa bunge la Iran juu ya mustakabali wa kusini mwa Lebanon.
Spika wa Iran, Mohammad Baqer Qalibaf, amejitolea...
Urusi imerudia kutoa onyo kwa Israel isithubutu kushambulia nuclear facilities ya Iran ⚡️BREAKING
Russia warned Israel against striking Iranian nuclear facilities
We have repeatedly warned and will continue to warn Israel against even hypothetically considering the possibility of a strike on...
Tayari Israel inaitandika Iran inalipua maeneo nyeti
https://www.youtube.com/live/GggsAxvY4Q0?si=sKjzE7_DpA2gYIxe
---
At least one person was killed in a fire at the small Pars Petro Shushtar refinery in Iran’s Khuzestan province. According to Al Arabiya, a local authority attributed the cause...
Wadau hamjamboni nyote?
Israel imeamua na haipoi
Kuanzia saa 2:30 usiku huu Waziri Mkuu Benjamin Netanyau ataongoza kikao maalumu cha baraza la mawaziri kujadili maandalizi ya kujibu shambulizi la makombora ya Iran hivi karibuni
Wajumbe watakaohudhuria kikao cha baraza la mawaziri (usalama)...
Mfumo wa Arrow 1,2,3 na Iron dome kushindwa kuzuia makombora ya Ballistic ya Iran kwenye anga la Israel na mwishowe baadhi kupenya na kufikia ardhi ya Israel kamati ya vita ya IDF ilikubalina na washirika wake kufunga THAAD ndio kujibu mashambulizi makubwa ndani ya Iran.
Jana Rais Joe Biden...
Kweli vita sio manguvu Ila ni akili alizokujalia Mwenyenzi Mungu unavyozitumia. Kuna tofauti kubwa ya MTU anayegundua Tech mpya na anayesubiri auziwe Tech mpya.
Kuna Tofauti ya MTU anayetumia Mfumo na aliyegundua na kutengeneza Mifumo.
MTU akikuwahi kwenye control ya mifumo yako kubali tu...
Iran ina population kubwa ya watu, reserve kubwa ya mafuta, shaba, eneo kubwa lakini wamezidiwa Uchumi na Israel
Israel ni nchi ndogo Sana ki eneo na resources ndogo Sana lakini wamefanikiwa pakubwa kwenye kilimo, high tech, kijeshi.
Uchumi wao ni GDP 550 billion usd. Uchumi wa Iran ni GDP 450...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.