Baada ya kuripotiwa kuwepo kwa mgomo kwa wafanyabiashara Mkoani Dar es Salaam, Mwanza, Mbeya, pia leo June 26, 2024 baadhi ya wafanyabiashara Mkoani Iringa nao wamefunga maduka yao.
Mmoja kati ya wafanyabiashara ambaye naye amefunga duka lake, amesema kuwa nao wamechukua uamuzi huo kwa sababu...