iringa

Iringa is a city in Tanzania with a population of 151,345 (as of 2012). It is situated at a latitude of 7.77°S and longitude of 35.69°E. The name is derived from the Hehe word lilinga, meaning fort. Iringa is the administrative capital of Iringa Region. Iringa Municipal Council is the administrative designation of the Municipality of Iringa.
Iringa has been one of the coldest regions in Tanzania due to its geographical location but that has attracted a lot of tourists from colder regions abroad especially Western Europe. Iringa also hosts one of Africa’s largest national parks the Ruaha National Park.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    Iringa: Ajinyonga baada ya kuachana na mkewe

    Kijana Carlos Mwamilinga aliyekuwa na miaka 37, amekutwa amejinyonga kwa kamba katika chumba alichokuwa akiishi eneo la Njiapanda ya Mtwivila kwa kile kinachodhaniwa kuwa ni kutingwa na mawazo kupita kiasi kutokana na kuachana na mkewe mwezi mmoja uliopita. Marafiki na majirani wa marehemu...
  2. B

    Iringa: Wanne wadaiwa kufariki Dunia mgodini kwa kufukiwa na kifusi

    Watu wanne ambao ni wachimba madini, wamefariki kwa kufukiwa na kifusi cha mchanga katika eneo la machimbo ya madini ya dhahabu yaliyopo Kijiji cha Igomaa wilayani Mufindi mkoani Iringa, huku wengine watatu wakijeruhiwa. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Iringa, ACP Allan Bukumbi, amethibitisha kutokea...
  3. S

    Spika amzuia Mbunge wa Iringa kujadili hoja ya kufutiwa leseni mawakala wa mbolea

    SPIKA wa Bunge, Tulia Ackson amemzuia Mbunge wa Iringa Mjini, Jesca Msambatavangu aliyeomba mwongozo wa Spika bungeni leo Aprili 18 2023 kutokana na mgogoro mkubwa wa mbolea unaotishia mazao ya wakulima kuungua kwa kukosa mbolea baada ya uamuzi wa Serikali kuwafutia leseni mawakala 721 kutokana...
  4. Wamachinga waliosalia katikati ya Mji Iringa wasakwa

    Meya wa Manispaa ya Iringa, Ibrahim Ngwada amesema Wafanyabiashara wanaofanya shughuli zao wakati wa usiku ni changamoto na hawatakiwi kuwepo maeneo hayo, hivyo watakamatwa na kushitakiwa. Meya Ngwada ameyasema hay oleo Aprili 12 alipokuwa akizungumza na Mwananchi mjini hapa, akisema licha ya...
  5. Mbunge Justin Nyamoga katika Ziara Jimbo la Kilolo Mkoa wa Iringa

    Mbunge wa Jimbo la Kilolo, Mhe. Justin Lazaro Nyamoga alifanya ziara katika jimbo lake Wilaya ya Kilolo kwa Kata za Masisiwe, Kijiji cha Masege Kata ya Ng’uruhe, na Kata ya Nyalumbu ambapo alikijita kuzungumza na wananchi wa Kilolo na kutatua changamoto. Akiwa Kijiji cha Masege kilichopo Kata...
  6. Kambi Maalum ya Uchunguzi na Matibabu ya Moyo yafanyika Iringa

    Afisa Uuguzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Elizabeth Meli akimpima shinikizo la damu mwilini (BP) raia wa Switzerland Lans Sottwals aliyefika katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Iringa (IRRH) leo kwa ajili ya kupata huduma ya uchunguzi na matibabu ya moyo wakati wa kambi maalum ya...
  7. Mhandisi Fatma Rembo Apania Kufanya Makubwa ndani ya UWT Mkoa wa Iringa

    MHANDISI FATMA REMBO - APANIA KUFANYA MAKUBWA NDANI YA UWT MKOA WA IRINGA Mjumbe wa Baraza la Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Taifa 2022-2027 Kutokea Mkoa wa Iringa Ndugu Eng. Fatma Rembo amefanya ziara maeneo mbalimbali Mkoa wa Iringa na kushiriki Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani...
  8. Dkt. Ritta Kabati Kutoa Bima za Afya kwa Watoto wenye Mahitaji Maalum Mkoa wa Iringa

    MBUNGE MHE. DKT. RITTA KABATI KUTOA BIMA ZA AFYA KWA WATOTO WENYE MAHITAJI MAALUM MKOA WA IRINGA MBUNGE VITI MAALUM MKOA WA IRINGA (CCM), Mwenyekiti wa Wabunge wa CCM Iringa, Mjumbe Bodi ya Wasanii COSOTA na Balozi wa Walemavu Bungeni Mhe. Dkt. Ritta Kabati ameahidi kutoa msaada wa jumla ya...
  9. Baba mzazi wa Mchekeshaji Hakika Ruben adai amekata tamaa na mwanaye, asema Dunia ndio itamfunza

    Baada ya taarifa kuibuka mitandaoni na kusambaa kwa kasi zikimhusisha mchekeshaji Hakika Reuben kuwa anajihusisha na mapenzi ya jinsia moja, kuna mengi kadhaa yameendelea kuzungumzwa na kuacha maswali mengi. Licha ya kuwa Hakika mwenyewe hajatoka hadharani na kutoa ufafanuzi rasmi kuna mambo...
  10. Fatma Rembo achangia Milioni 2 UWT Mufindi, aahidi kutoa pikipiki Wilaya zote za Iringa

    MHANDISI FATMA REMBO ACHANGIA MILIONI 2 UWT MUFINDI NA KUAHIDI KUTOA PIKIPIKI KWA UWT WILAYA ZOTE MKOA IRINGA. Mjumbe wa Baraza Kuu la UWT Taifa Ndugu Fatma Rembo mnamo tarehe 11 Machi, 2023 amefanya Ziara Wilaya ya Mufindi ambako aliambatana na Mwenyekiti wa UWT Mkoa wa Iringa ndugu Zainab...
  11. Nilichokiona Iringa sakata la machinga kuhamishwa maeneo ya mjini kimenisikitisha

    Machinga niliowaona hapa ni zaidi ya watu elfu tano hii ni wilaya moja tu hivi tunakwenda wapi kama taifa idadi kubwa. Je, Tanzania nzima machinga wangapi? Tuna ardhi nzuri, mito na maziwa nini kifanyike nani wakulaumiwa. Je, wananchi wanashindwa kuzitumia fursa huko zilizopo ama ni serikali...
  12. Ziara ya Eng. Fatma Rembo - Mjumbe wa UWT Taifa Mkoa wa Iringa

    ZIARA YA ENG. FATMA REMBO - MJUMBE WA UWT TAIFA MKOA WA IRINGA Mjumbe wa Baraza la Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Taifa 2022-2027 Kutokea Mkoa wa Iringa Ndugu Eng. Fatma Rembo amefanya ziara maeneo mbalimbali Mkoa wa Iringa na kushiriki Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani. Eng. Fatma...
  13. F

    Chini ya Msambatavangu na Tulia itaichukua CHADEMA muda mrefu kurudi Iringa na Mbeya

    Usione Mchungaji Msigwa na Mr.Sugu wamechakazwa mno na wakina mama kule Iringa na Mbeya ambako wanachukuliwa kama wafalme ukaona ni tukio la kawaida. Jesca Msambatavangu ambaye ni mbunge wa Iringa na Tulia Ackson ambaye ni mbunge wa Mbeya ni wanawake kwa muonekano tu lakini ni mashupavu kama...
  14. Ziara ya Rose Tweve Mbunge Viti Maalum mkoa wa Iringa

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Iringa Rose Tweve ameendelea na ziara yake katika Wilaya ya Mufindi, Kata ya Saohill ambapo ameshiriki kikao cha Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Kata ya Upendo, Mufindi. Ziara hiyo ni muendelezo wa kazi za Mbunge Tweve maeneo mbalimbali Mkoa wa Iringa kukagua...
  15. Iringa: Mbunge wa Viti Maalum, Rose Tweve afanya ziara wilayani Mufindi

    MBUNGE WA IRINGA, MH. ROSE TWEVE AFANYA ZIARA WILAYANI MUFINDI MKOANI IRINGA Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Iringa Mhe. Rose Tweve amefanya Ziara Kata ya Saohill, Upendo, Wambi, Changarawe, Kinyanambo na Kata ya Boma. WANAWAKE WA Wilaya ya Mufindi wanasema Mhe. Dkt. Samia Mitano tena mbele ya...
  16. Nancy Nyalusi afanya Ziara ya Kikazi Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo - Iringa

    MHE. NANCY NYALUSI AFANYA ZIARA YA KIKAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA KILOLO - IRINGA MBUNGE wa Viti Maalumu Mkoa wa Iringa (CCM) Mhe. Nancy Nyalusi amefanya ziara ya kikazi katika Halmashauri ya Wilaya Kilolo mkoani Iringa katika kijiji cha Ng'uruwe ambapo amachangia Shilingi Milioni 1 kwenye...
  17. Iringa: Wananchi wahofia kufanyiwa Upasuaji kwenye Kituo cha Afya kisicho na Jenereta

    Mganga Mfawidhi wa Kituo hicho, Dkt. Selestini Vulua amesema kituo hicho ni kati ya Vituo 6 vilivyopo kwenye Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi ambapo kinahudumia Kata 7 na Vijiji zaidi ya 30 kwa Huduma ya Upasuaji. Dkt. Vulua amesema "Kuna wakati unafungua Tumbo la Mama halafu Umeme wa TANESCO...
  18. Nahitaji shughuli yoyote mkoani Iringa

    Wakazi wa Iringa mjini kwa yoyote mwenye nafasi au anajua sehemu ambayo naweza kupata nafasi ya shughuli yoyote hapa Iringa mjini kama kubeba/kupanga mizigo godown/store, kibarua shambani kwa kipindi hiki cha kilimo, cash wash, kujaza mafuta sheli, kuuza duka/stationary, uhasibu, huduma za...
  19. Mkoa wa Iringa wageuka Kuzimu kwa matukio ya Watoto kubakwa na kulawitiwa

    Ripoti kutoka kwa Mganda Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa, Alfred Mwakalebela imeeleza kuwa idadi hiyo ni wastani wa Watoto 2 hadi 3 kwa wiki ambao hufanyiwa ukatili wa Kubakwa na Kulawitiwa. Mwenyekiti wa Mtaa wa Kihesa Kilolo, Omary Juma, amesema Watoto 30 walibakwa na Kesi ziko...
  20. Wakazi/wenyeji wa Iringa naombeni muongozo wenu

    Kwa sasa makazi yangu ni Iringa mjini hapa Kihesa. Shughuli niliyokua nafanya kwa kiasi kikubwa inategemea jua kuwaka mchana na sasa ni kipindi cha mvua ivyo kazi haifanyiki Kwa wajanja janja wa huu mkoa nina akiba ya 500K naweza kufanya mishe gani kwa kipindi cha mvua ila tu isiwe kilimo
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…