isaya yunge

Isaya Yunge (born 23 March 1990) is a Tanzanian internet entrepreneur, speaker and first African J8 delegate to speak at the G8 2007 Summit. He was one of the two Tanzanians who received the Queen's Young Leader Award in 2018 as a recognition for his work to use a scholarship-matching mobile App (SomaApp) that help more than 7000 young African people to progress in their education. He co-founded SomaApp a mobile application which enables African students to search for scholarships.
In 2007 he was selected by UNICEF to be the UNICEF Africa Youth Ambassador and in this position at an age of 17's he spoke at the G8 2007 Summit as UNICEF Africa Youth Ambassador in Berlin Germany. In 2019 Yunge was named by Avance media to be among the Tanzania's 50 most influential young People.

View More On Wikipedia.org
  1. mambo_safi

    JamiiForums Tanzania Picha ya wakati Isaya Yunge akimvalisha pete binti wa Ruto

    Nataka kuona Yunge anamvalisha Charlene pete nani alipiga magoti? Au wote walikuwa kama kambale?
  2. K

    JamiiForums Tanzania Asili haiachi asili, Rostam Azizi atoa nasaha kwa lugha ya kisukuma kwa Isaya Yunge

    Mfanyabiashara Rostam Azizi ametoa nasaha kwa Isaya Yunge, kijana Mtanzania ambaye amemuoa binti wa Rais wa Kenya, William Ruto. Katika ujumbe wake, Rostam alizungumza kwa lugha ya Kisukuma, akimpa Isaya maneno ya hekima kuhusu maisha, heshima, uvumilivu na umuhimu wa kulinda familia baada ya...
  3. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Mfahamu Isaya Yunge, kijana wa Kisukuma aliyemposa binti wa Rais Ruto wa Kenya

    ISAYA Yunge, kijana Mtanzania mwenye asili ya jamii ya Wasukuma, ameingia katika hatua mpya ya maisha baada ya kutambulishwa kama mchumba wa Charlene Ruto, binti wa Rais wa Kenya, William Ruto. Uhusiano huo umefahamika zaidi baada ya hafla ya uchumba iliyofanyika nchini Kenya Agosti 8, ambapo...
  4. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Mfahamu Isaya Yunge, Kijana wa Kisukuma, mzaliwa wa Mwanza na mtaalamu wa IT anayemwoa binti wa Rais Ruto

    Huyu jamaa amebobea katika mswala ya IT ni ngosha mmoja.kutoka.mwanza kajichukulia jiko kwa raisi. Lakini kichwani yupo vizuri siyo wa mchezo mchezo ila sasa wasukuma hizi ni sifa.
  5. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Mtanzania Isaya amchumbia mtoto wa Rais Ruto wa Kenya, Charlene Ruto

    Mfanyabiashara na mjasiriamali wa teknolojia kutoka Tanzania, Isaya Yunge, amefunga ndoa ya kimila na Charlene Ruto, binti wa Rais wa Kenya William Ruto. Sherehe hiyo ilifanyika Kilgoris, Kaunti ya Narok nchini Kenya, na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali pamoja na wageni mashuhuri
Back
Top Bottom