Mtanzania Isaya amchumbia mtoto wa Rais Ruto wa Kenya, Charlene Ruto

Mtanzania Isaya amchumbia mtoto wa Rais Ruto wa Kenya, Charlene Ruto

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Mfanyabiashara na mjasiriamali wa teknolojia kutoka Tanzania, Isaya Yunge, amefunga ndoa ya kimila na Charlene Ruto, binti wa Rais wa Kenya William Ruto. Sherehe hiyo ilifanyika Kilgoris, Kaunti ya Narok nchini Kenya, na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali pamoja na wageni mashuhuri

 
Naona dogo amemwagiwa sifa za kutosha kama mbunifu na mjasiriamali kwenye elimu.

Kila la heri kwao. Kuoa mtoto wa Rais wa nchi siyo mchezo huku ukiwa umetokea kwenye familia isiyo ya vigogo.
 
Back
Top Bottom