Makamu Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Tanzania Bara, Isihaka Mchinjita, amesema mazingira ya sasa nchini si rafiki kwa viongozi na wanachama wa vyama vya upinzani kutekeleza majukumu yao ya kisiasa.
Akizungumza na Royal TV Plus, Mchinjita pia amedai kuwa mifumo ya uchaguzi nchini haijajengwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.