Ismaël Kenneth Jordan Koné (born June 16, 2002) is a professional soccer player who plays as a midfielder for Serie A club Sassuolo. Born in Ivory Coast, he plays for the Canada national team.
Kiungo wa Canada, Ismaël Koné, amepata jeraha kubwa la kuvunjika mguu kufuatia rafu mbaya aliyofanyiwa na mchezaji wa Qatar, Assim Madibo.
Baada ya tukio hilo, Madibo alionyeshwa kadi nyekundu huku Koné akitolewa uwanjani kwa machela, katika mchezo huo ambao Canada iliibuka na ushindi mabao 6-0...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.