israel

  1. Webabu

    Hamas na Houth wasema wana uwezo wa kuendeleza vita na Israel kwa muda mrefu ujao.

    Siku moja tu tangu wanamgambo wa Houth wavurumishe kombora la ballistic katikati ya Israel,mmoja ya wasemaji wao amesema wana makombora ya kutosha ya masafa marefu kuendeleza vita na Israel. Msemaji huyo amesema wana aina 4 za makombora hayo ,lile walilorusha jana ni aina moja wapo tu kati ya...
  2. G

    Hongerani Hauth wa Yemen kwa kushambulia nyasi za Israel na kufanikiwa kufyeka Eneo kubwa

    Wakati mwingine nafikiri Israel inaachilia makombora yasiyo na madhara ili inapolalamika inavamiwa jumuiya ya mataifa iwaelewe vizuri Pia inaachia makombora yasiyo na madhara makubwa ili ikilipa kisasi mataifa mengine yaweze kuelewa nani mchokozi na mkorofi Kwa Sasa Yemen na Lebanon ikipokea...
  3. HIMARS

    Jeshi la israel kuiavamia Lebanon

    Baada ya mashambulizi yasiyokoma kutoka Lebanon kwenda Israel, siku ya jana Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu alikutana na maafisa wa kijeshi na usalama na kuja na uamuzi wa kuanza opereshenk nchini Israel. Siku ya leo jeshi la Israel limepeperusha vikaratasi vikiwasihi wananchi kuondoka...
  4. green rajab

    Marekani kashindwa kuikinga Israel dhidi ya ICBM

    Marekani na Washirika wake wamepeleka zana nyingi mashariki ya kati kwa lengo la kuikinga Israel dhidi ya Makombora toka Iran na Yemeni leo tumeshuhudia Israel imepeta kipigo cha aibu makombora yamesafiri Kilomita 2000 toka Yemen Hadi kwenda kuichakaza TelAviv.. Netanyahoo mavi yanagonge kyupi...
  5. A

    Tuliwambia Yemen ni moto Israel hawawezi hao

    Hayo mliosema Yemen hata jibu mko wapi, huko Israel kunawaka moto. Missiles za Al Houth zimeisha fika Central Israel na bado watajuta, wanafatwa kwa miguu safari hii. https://youtu.be/dIWXyXTnj3k?si=YrLy3AD2WsCCrH67 Tela Aviv watasema zime land kwenye empty spaces kama kawaida yao 😄 Imefika...
  6. Mrengwa wa kulia

    Vikosi maalum vya Israel vyavamia 'eneo la makombora' nchini Syria

    Uvamizi huo umefanywa na vikosi maalum vya Israel kwenye "kituo cha kutengeneza makombora cha Hezbollah" nchini Syria. Serikali ya Israel haijasema lolote kuhusu operesheni hiyo ambayo kwa mujibu wa ripoti za vyombo vya habari vya Marekani, ilifanyika mwanzoni mwa wiki. Vyombo vya habari vya...
  7. J

    Je Umeisha Isoma "Asserson Report on the BBC Bias against Israel, when reporting on the Israel/Hamas War?

    Ili nisiwachoshe, naona nibora niwawekee screenshots za cover page na page nyingine mbili ambazo zinafichua 1. BBC ktk taarifa zao waliepuka kutaja kuwa kati ya waliouawa walikuwepo askari wa Hamas 2. BBC waliepuka kutaja kuwa Hamas ina wapiganaji miongoni mwao ambao ni vijana wenye umri...
  8. I

    Israel imefanya mashambulizi kadhaa ya anga kusini mwa Lebanon na kumuua kamanda wa kikosi maalum cha Hezbollah

    Israel imeanzisha mashambulizi kadhaa kusini mwa Lebanon katika siku ya mwisho, likiwemo lililomuua kamanda mkuu wa Hezbollah. Mohammed Qassem Al-Shaer, kamanda wa kikosi cha wasomi wa Hezbollah cha Radwan Force, aliuawa katika shambulio katika kijiji cha Qaraoun katika wilaya ya Beqaa...
  9. Webabu

    Kazi imeanza mpaka wa Jordan na Israel.Walinzi watatu wa Israel wauawa.

    Walinzi watatu wa Israel wameuawa kwa kupigwa risasi kutokea upande wa mpaka wa Jordan kwenye kivuko pekee cha daraja linalounganisha ukingo wa magharibi wa Palestina na Jordan. Uchunguzi umeanza kubaini tukio hilo kwenye daraja lijulikanalo kama Allenby Shooting attack at the West Bank-Jordan...
  10. Webabu

    Erdogan ahimiza umoja wa waislamu duniani kupambana na Israel.

    Kwa mara nyengine tena raisi wa Uturuki ,Tayyib Erdogan amekuja na pendekezo la kupambana na Israel ili kuwatetea wapalestina na kujikinga na hatari za kujitanua kwa Israel kwenye maeneo ya waislamu. Pendekezo hilo amelitoa hapo juzi kwenye hafla ya shule moja ya kiislamu nje kidogo ya jiji la...
  11. Ritz

    Aysenur Ezgi, Mmarekani, amefariki dunia baada ya kupigwa risasi kichwani na Wanajeshi wa Israel

    Wanakumbi. Aysenur Ezgi, Mmarekani mwenye hadhi ya Uturuki, amefariki dunia baada ya kupigwa risasi kichwani na wanajeshi wa Israel katika mji wa Beita. Aysenur alipigwa risasi kichwani alipokuwa akishiriki maandamano ya kupinga upanuzi wa makazi. Je Joebiden ataitisha mkutano wa baraza la...
  12. Just Distinctions

    Je, Israel ni Taifa la Mungu?

    Niliwahi kuhudhuria ibada ambayo mchungaji Peter John wa Kanisa la Waadventista Wasabato alihubiri na kufundisha kuhusu Taifa la Mungu ndio nikaelewa vyema kuhusu suala la Israel (nitajitahidi kutafuta lile hubiri kwenye youtube natumai itatusaidia wengi kwani tangu baada ya hapo uelewa wangu...
  13. J

    Aomba radhi Wananchi baada ya Mateka kukutwa wameuawa!

    Waziri mkuu wa Taifa Teule Israel ameomba radhi baada ya Mateka 6 kukutwa wamekufa Source: BBC Mlale Unono 🐼
  14. Webabu

    Israel yatakiwa kujihadhari na kilichoipata Marekani nchini Afghanistan

    Ijumaa iliyopita Marekani ilikuwa inaadhimisha kujiondoa rasmi nchini Afghanistan baada ya vita dhidi ya ulichokiita ugaidi vilivyochukua miaka 20. Kuangukia mikononi mwa Taliban kwa mji wa Kabul kulitanguliwa na kuuliwa kwa askari 13 wa Marekani pamoja na 170 wa jeshi la Afghanistan mnamo...
  15. Webabu

    Israel haina hamu na mateka mpya waliyesema wamemuokoa

    Mateka wa Israel aliyetajwa kwa mbwembwe nyingi kwamba aliokolewa hapo juzi amekuwa kama yule bibi wa kifaransa aliyeachiliwa huru na wanamgambo wa Mali miaka miwili iliyopita.Bibi huyo alimfanya Macron afupishe muda wa kumpokea uwanjani pale alipowasifia wanamgambo wa Mali na kuahidi kurudi...
  16. Mrengwa wa kulia

    ISRAEL kuikalia palestina Milele

    Wayahudi wana haki waliyopewa na Mungu kwa nchi hii. Kiongozi mmojawapo wa vyama viwili vya siasa kali za mrengo wa kulia, vinavyounga mkono walowezi, ambavyo Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu alivileta katika muungano wake wa serikali baada ya uchaguzi wa 2022. Smotrich anahudumu kama waziri wa...
  17. G

    West Bank - Palestina,: Maabara ya mabomu yakutwa ndani ya msikiti uliojengwa kwenye makazi ya raia.

    Jeshi la Israel limeingia Ukingo wa Magharibi (West Bank) kuanza operesheni kubwa kwenye miji inayoshikiliwa na Kundi la Palestine Islamic Jihad. operesheni hiyo imeweza kubaini msikiti wenye maabara ya mabomu ndani yake. imekuwa ni kawaida kwa vikundi hivi kuwatumia raia kama ngao kwa...
  18. matunduizi

    US na Israel wanatufundisha kuwa na marafiki/ndugu wanaokufaa wakati wa shida tu

    Hadi leo karibu 1/3 ya jeshi lote la navy la US limeshaizunguka Iran kwa lolote ikitokea kajaribu kuishambulia Israel. Watafiti wanasema US imetoa karibu meli zake zote Pacific na zimeenda kukaa kimkakati kwa lolote karibu na iran na israel. Huu ndio urafiki, huu ndio udugu. Kwa mujibu wa...
  19. J

    Wale wanaoilaumu Israel kuwa ni serikali ya kibaguzi, picture hii ya waislam wakiwa huru na imani yao ndani ya Israel inawafundisha nini?

    https://x.com/JewishWarrior13/status/1828752674373935573
  20. Mi mi

    Andiko hii 1 Samweli 15 linatoa picha kinachoendelea huko Israel

    Sitaki kujua sana kuhusu huyu Mungu wa namna hii ila maagizo yake kwa watu wake hayapaswi kuendelea kuchukuliwa kawaida kwani yanahamasisha na kuchochea mauaji makubwa yanayo tekelezwa na Netanyahu na genge lake. Kwa nini nimemtaja Netanyau katika hili ? Kwa sababu yeye kama waziri mkuu wa...
Back
Top Bottom