Waswahili wanasema uongozi ni karama. Huyu bwana sinwari anaonekana si wa mchezo mchezo.
Kwanza kaongoza Hamas tawi la kijeshi kuanzia Oktober 7 mpaka Leo. Israel anauwa Lebanon , Syria , Iraq, Iran na Yemen lakini wamemshindwa mwanaume yupo Gaza Km 30 kutoka boda ya Israel na Palestine...