ist

  1. Magari ya milioni Tano (5M) kushuka chini

    Ndugu msomaji, namba yangu ni 0712 148001. Magari nitakayopost kwenye uzi huu, bei yake ni milioni tano kushuka chini, usije kukubali kupigwa. Nunua gari kuendana na uchumi wetu wa mitano tena. WhatsApp 0712 148001.
  2. IST inauzwa location DSM

    Toyota-IST Cc 1290 Price- million 11 Location -Dar es salaam Call-0716161683/0655 644 477 Nalengesha mimi & gari haina tatizo lolote
  3. Toyota IST vs Toyota Aqua katika biashara ya Taxi

    Habari wakuu, Kuna huyu mdogo wetu kitaani hapa amemaliza chuo miaka kadhaa iliyopita ila yupo home Hana mishe za kueleweka. Sasa Mzee kastaafu na ameshachukua kiinua mgongo. Dogo amemwomba Mzee anunue gari ili awe anapiga mishe za taxi mtandao(Uber,bolt nk). Chaguo lake yeye lilikuwa ni...
  4. Where is Tanzania, Ninasikia Harufu

    Karibu kwenye maandalizi ya sherehe, malaika wa bwana ameanza kupasha habari kwa watumishi Safari ilikuwa ni ndefu na ya kuchosha lakini kwa hapa tulipofika nisisite kusema ni haki malaika kupaa angani wakiwa wanashangilia kwani ushindi umeonekana mbele ya macho yao Ile ahadi ya bwana mungu...
  5. Maisha ni kuchagua: Ili kuagiza BMW 3 series cheap kabisa kutoka JP unatakiwa uwe na Mil 14, ila IST lazima uwe na angalau Mil 17!

    Niliona juzi kati kunaa mdau anaulizia gari ambalo akiendesha watu wajue amejipata. Sasa leo nikawa nafanya comparison ya kutaka kuagiza magari mawili, yote ya mwaka mmoja 2006. BMW 3 series, 2006 generation ya E90, model 320i, ikiwa mpya 2006 iliuzwa $40,000 na leo naweza ipata kwa $930...
  6. Toyota wazindua IST ya umeme: Urban Cruise EV

    Wengi tukiongelea Toyota IST tunaongelea first gen na 2nd generation, ambazo nchi nyingine ikiwemo America na UK wanaziita Urban Cruise. Sasa leo, jamaa kutoka JP wamezindua generation nyingine ya Urban Cruise ambayo ni full EV. Inakuja na power options mbili, kubwa ni AWD, 182 hp dual motor...
  7. S

    Hivi vigari vidogo vidogo vichafu vichafu vya zamani kama hasa IST na VITZ madereva vijana hawa wanafanya fujo sana barabarani

    Katika kuendesha kwangu gari barabarani, nimegundua kwamba madereva wengi wa hivi vigari vidogo vidogo kama IST, wana fujo sana barabarani. Na mara nyingi utakuta ni vigari vichafu vichafu na vilivyochakaa. Kila nikiangalia dereva wake, nakuta ni vijana wa kiume. Inaonekana wengi wao ni...
  8. Car4Sale Okoa zaidi ya milioni 1, pata ist chasis kwa 17.5m tu + usajili

    Ndio its a fresh import hii Safari tembo mafuta Mbuzi kazi ni kwako.... Machine ni YA 2005 ina km 58,000 CC 1290 na imetoka Japan juzi tu bado inanukia Ki Japan Japan... Service yake haizi 100K oil Filter 10K, Engine Oil Mafuta ya Kula Air Cleaner unapuliza Labour Charge 5K.. Sasa ukianza...
  9. Dotto Magari: Nikimuona Mtu (hasa Mwanaume) anaendesha IST namdharau kwani namuona kama vile amekaa Chooni kwa jinsi anavyoiendesha

    "Halafu utakuta Mtu bila Aibu anaendesha IST yake halafu na Yeye akifika Kwake anapiga Honi afunguliwe Geti. Hivi hawaoni Aibu? Mwenye Range Rover na Gari zingine za Thamani kama Mercedes Benz na Landcruiser V8 VX wapige Honi na Wewe mwenye Gari yenye Thamani kama ya hii Simu yangu ya Shilingi...
  10. Mwanaume unashindwa kumnunulia mkeo au mpenzi wako hata IST mpaka anabambiwa kwenye bodaboda?

    Habari Siku hizi kuna mtindo umeingia sana bodaboda zinasanya kama daladala na mara nyingi mwanamke huwekwa kati huku dume likipumulia Kwa nyuma Mwanaume jipinde mnunulie mkeo au mpenzi wako ata IST usikubali kuwa lofa.
  11. Je naweza kuweka injini ya IST kwenye alteza?

    Nina rafiki yangumambo yamemkalia kombo,anataka kuigeuza altezza yake kuwa bolt. Lakini kwa injini iliyomo hawezi kupata faida,je anaweza kuweka injini ya IST? Is it compatible??
  12. Nauza spea used za magari haya kwenye picha

    ANGALIA PICHA ya gari yako unichek kwa hitaji la spea. WhatsApp 0712 148001. Pia nanunua magari chakavu . Ukiniunganisha nikanunua gari posho MLIMA. Pia nitakua natoa vocha mara moja moja kwenye uzi huu.(simu ziite jamani). Mods uzi usiunganishwe.
  13. INAUZWA Nauza spea used za magari haya kwenye picha

    ANGALIA PICHA ya gari yako unichek kwa hitaji la spea. WhatsApp 0712 148001. Pia nanunua magari chakavu . Ukiniunganisha nikanunua gari posho MLIMA. Pia nitakua natoa vocha mara moja moja kwenye uzi huu.(simu ziite jamani).
  14. Kombe pekee watakalobeba Yanga ni hilo la IST Cup

    Nasikis paredi imeandaliwa kabisa baada ya kutwaa IST Cup. Wanayanga watatembea vifua mbereee kunadi hicho kikombe ambacho wakifanya mchezo hawanyanyui tena kwapa msimu huu. Yanga bana. Waliyakejeli mashindano ya Kombe la Muungano kisa yalikuwa na timu 4 tu, wao wameenda kukenua meno na...
  15. Kwanini Toyota IST huwa zinawahi sana kuchoka

    mKWA NINI TOYOTA IST HUWA ZINA CHOKA MAPEMA Toyota IST zina injin ambayo ina uvumilivu kwakipindi kifupi 1) INJIN KUA NA MLIO WA TOFAUT Hapa tatizo ni kutumia oil ambayo sio sahihi hivyo injin hizi zitakuvumilia kwa kipind kifupi baada ya hapo Utashangaa gari ni IST ila ina mngurumo wa...
  16. Natafuta Toyota IST ya kununua

    Habari wakuu. Mwenye gari IST anaye uza tafadhari tuwasiliane.
  17. L

    Car4Sale Tunauza Magari aina mbalimbali

    Gari aina ya IST new model cc:1500,year of manufacture 2015, ipo vizuri sana Karibu wateja Wetu wa MR classic tuwasiliane kwa nambari 0695022051
  18. L

    Car4Sale IST inauzwa bei nafuu

    TOYOTA IST INAUZWA BEI NZURI LOC: MBEZI BEACH. YEAR OF MANUFACTURER:~2002 PRICE:8750000 ml ENGINE CAPACITY: 1490 CC ENGINE : 2NZ MAWASILIANO ----0784379396 ---- 0673805806 NOTE: GARI HAINA CHANGAMOTO YEYOTE YA KIUFUNDI, KARIBU NA FUNDI WAKO UJE UKAGUE UJIRIZISHE TUFANYE BIASHARA.
  19. Ng'ombe mwenye thamani ya IST

    Nilikuwa sijui kama kuna ng'ombe mwenye thamani inayozidi milioni tano. Lakini hii clip imenifungua macho! Ng'ombe wa maziwa anauzwa Tsh 12,000,000/= Milioni kumi na mbili si bei ya IST used? Ufugaji wa ng'ombe wa maziwa unalipa!
  20. NAHITAJI IST 1290 cc

    Mmiliki wa gari aina ya Toyota IST mwenye shida na fedha ya haraka, namba zinazonzia DP..DQ..DR....DS...na kuendelea anicheki inbox bajeti yangu ni Tsh.8.5mil. Tafadhali madalali habari ya kuambiana fedha yangu ndogo au kukatisha tamaa tuache pembeni
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…