Habari wadau.
Wahindi wapo makini sana na biashara zao. Watoto wao wanasomeshwa kwa malengo yao tu.
Mtoto wa kaka yake na Mo dewji ambaye anaitwa Gullam Dewji alikuwa kichwa kweli kweli katika shule ya kishua ya IST.
Alipomaliza high school alifanya vizuri sana katika mtihani wake wa SAT na...
Natumai wazima humu, Msaada nahitaji IST 1290Cc iwe na conditions nzuri isiwe imerudiwa rangi bajeti yangu 10.5M.
Sitaki iwe kwa dalali ila awe mmiliki halali.
Watu 20 wamefariki dunia na wengine 15 kujeruhiwa kwenye ajali iliyohusisha magari matatu na Trekta katika eneo la Mwakata barabara ya Isaka Kahama mkoani Shinyanga.
Mashuhuda wa ajali hiyo wamesema ajali hiyo imetokea majira ya saa nne usiku Jumatatu Agosti 8,2022 ikihusisha gari ndogo IST...
Wakuu nina Toyota IST nataka nibadilishe tairi kitoka 195/60R16 kwenda kwenye size kubwa kidogo ambayo itafiti kwenye gari.
Nimeona baadhi ya IST wameweka tairi ya size tofauti na zinazokuja nazo zinapendeza sana.
Ni size gani itafaa?
Sitaki tairi za Kichina.
Manufacturer: TOYOTA
Model: IST
Year - 2002
Engine Size: CC 1490
Mileage: 154991
Transmission: Automatic
Colour: Grey
Fuel: Petrol
PRICE / BEI: Tsh.8.8 Mil ( Milioni 8 na laki 8 )
MAWASILIANO :
ᴄᴀʟʟ ı ᴡʜᴀᴛsᴀᴘᴘ ı ѕмѕ: +255658090789
Bei ya kulenga kabisa hii
chombo haina tatizo lolote.
ipo mawasiliano, Dar.
njoo ukague gari
0713096076
CHANGAMOTO ZAKE
Imepauka Rangi
Bampa linahitaji marekebisho kidogo, like 40,000 Tshs.
Picha ninazo hizi tu
Wakuu
NAHITAJI mtu mwenye gari aina ya Toyota Ist aniuzie. Iwe Cc 1290. Isiwe imerudiwa rangi au kusushwa injini. Namba DF na kuendelea. Awe mwenye gari sio dalali.
Mwenye nayo anicheck- PM
habari zenu watanzania? nimerud nilikuwa busy sana na mikutano ya kimataifa USA,UK,Canada, Sweden, Egypt, South AFrica, Nigeria, Russia na France. nashukuru angalau nimerudi kwa week moja hivi nije angalia mnaendeleaje hapa nchini. naambiwa tu kuna joto n.k. sijui maana sijapata nafasi ya kuwa...
TOYOTA IST NAMBA D NZURI (Mwaka 2004)
Haina tatizo lolote, Haijafunguliwa engin
Well maintained, Full paid documents
Engine Type 2nz, Engine capacity 1290
Haijarudiwa rangi, Full aircondition
Bei 10.5million maongezi yapo
PiGa 0621604087
WhatsApp 0621604087
Call 0621604087
Habari wakuu, inahitajika gari aina ya Toyota IST iliyo katika hali nzuri na tayari kwa kazi.
🐒Iwe Dar au jirani na Dar
🐒Isiwe imerudiwa rangi au kufunguliwa engine
🐒BEI ISIZIDI 7M
🐒Nitapenda niuziwe na mwenye gari, iwapo utakua ni dalali basi hakikisha umemalizana na boss wako na uwe unaijua...
Toyota IST ya 2007, 1490 CC, 63,800 KM.
Price/Bei: TSh 14.5 million
Inuzwa na mmiliki (hakuna dalali).
Ipo Mbweni malindi/Mbweni JKT, Dar es Salaam.
Wasiliana 0759970963/ Whatsapp 0625536529
2007 Toyota IST
Details
Price negotiable: Yes
Condition: Used
Year: 2007
Make: Toyota
Model: IST...
Habari wakuu,
kama mada inavyosema kuna hizi gari za IST a.k.a baby walker zimekuwa kero sana kwenye kuendeshwa kwa mwendo mkali bila tahadhari zozote, hadi huwa najiuliza kati ya dereva na gari ni nani aliyepagawa
Kwa wale mnaofahamiana na madereva wa 'ist' tunaomba mtueleze ni watu wa aina...
Habari wadau,
Naitaji gari ya kununua kwa mtu.
Iwe Toyota IST.
Cc 1290 (isiwe zaidi ya hizo)
Isiwe imeguswa injini
Namba D ndio itapewa kipaumbele.
Siitaji dalali, sababu sina pesa ya dalali.
Aliye na gari anitumie meseji kwenye Pm
au anipe namba yake nitamtafuta...Kama gari ipo ata leo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.