Habari za muda wakuu,
Naomba ushauri juu ya haya magari mawili. Lipi ninunue
1. SUZUKI JIMNY 2013 1.3L, manual transmission.
Hii gari ilinunuliwa mpya 0 km, hivyo usajili wake ni no. C. Ilikuwa ni ya shirika moja la kimataifa wao huuza gari likifika miaka 7 au km 70,000 mileage. Hivyo nina...
Habari wadau.
Nina gari yangu aina ya IST naiuza. Ipo kwenye hari nzuri sana. Niliagiza ins kama week moja tu lakini nataka nibadilidhe gari nyingine.
Bei ni milion 12.5 tu
Habarini za muda huu wakuu, Katika platform niipendano kabisa hapa duniani ya kwanza ni huu mtandao wa nyumbani tanzania JmaiiForum, nimejifunza vitu vingi sana na kujua mambo mengi sana na kupata msaada mwingi sana kutoka kwa wana jamii wenzangu wa humu ndani, kikubwa ni bando tu.
Ngoja niende...
Hii shule ni Moja kati ya shule bora katika kuaanda watoto level ya primary.
A full Graduate wa shule hii humlinganishi na katoto ka shule yeyote ile hapa Tanzania katika communication skills.
Nimefikiria na kujiuliza hivi kwanini serikali isijaribu walau kuiga mfumo wa shule walau katika...
Model: Toyota IST
Cc: 1490
Year: 2005
Full ac
Location: Kinondoni (Dar)
Price: 6,000,000
Contact: 0717599884
Gari ni nimeitumia mwenyewe, kwa atakayevutiwa karibu tuzungumze
Habari wadau, nahitaji Toyota IST yenye namba D yoyote ile hata iwe DAA iliyopo Dar. Budget yangu ni Milion 6.5 TU!! Hiyo ndiyo hela iliyopo ni vema likazingatiwa. Kama unalo hilo gari nicheki whatsapp kwa namba 0755963775
Habari wakuu!
Nauza gari yangu mwenyewe, Make: TOYOTA, Model: IST, Year: 2005, Transition: Automatic, Engine CC: 1290, Engine type: VVT-i, Milleage: 81,900KM. Sport Rims, New Tires zimefungwa December 2020. Radio, Bluetooth
Bei 7,500,000 TZS
Bima kubwa hadi October 2021.
Gari imetunzwa vizuri...
Wataalaamu wa magari,
Sikiliza audio ya silencer kama nilivyoirekodi kwenye engine ya Toyota IST. Kuna mlio wa 'kugonga' hivi kwenye engine.
Asubuhi napowasha gari hamna shida, silencer inakuwa normal and smooth. Lakini jioni au usiku naposimama na kuweka 'P', silencer inakuwa inasikika hivyo...
Hizi beby walkers ni kavu mno wandugu.
Kuna namna yoyote (mechanically) ya kufanya ili kuboresha ride quality kwenye Toyota IST? Kwenye suspension system.
Hizi gari ni kavu mno kuendesha kwenye rough road. Their ride is too bumpy and too stiff!!!
Je, kuna suspension system ambayo ni softer &...
Kipato cha chini... ila IST nimeweza kuimudu vyema service & maitanance.
IST ndo gari yangu ya kwanza kumiliki, ni mwaka mmoja sasa. Napenda speed, and stability matters a lot!! Ni mtu wa long trips mara kwa mara. IST NCP61 cc 1490 kwa town trips ni full enjoyment, ila kwa masafa marefu hizi...
Habari za saa hizi members wa forum ya magari.
Najua humu kuna wazoefu wa Gari aina ya Ist. Ndio gari yangu ya kwanza nnayotaka kuinunua kwa sababu tatu.
I. Utumiaji mdogo wa mafuta (nachukua yenye cylinder ya 1300)
II. Nimeambiwa Haichemshi kwa safari za Dar - Moshi.
III. Upatikanaji...
Ukiitaja tu Toyota Brevis kila mtu atakwambia hill ni jini. Linakunywa mafuta mengi, vipuri vyake bei juu na havipatikani kwa urahisi. Atakushauri ununue IST au magari mengine madogo.
Sasa naomba msaada wenu ipi ni gari ina weza kudumu muda mrefu kama zote zitapata matunzo sawa?
”Simba walinifuata, nitafute kadi ya njano,
wanipe IST mpya”, hayo ni maneno ya mlinda
mlango wa klabu ya Yanga, Ramadhan Kabwili
ambapo amesema kuwa uongozi wa Klabu ya
Simba umewahi kumlaghai ukimtaka atafute
kadi ili asiweze kucheza katika mchezo wa
watani wa jadi na kimuahidi akifanya hivyo...
Habari Wakuu!
Naomba msaada wa kiufundi kwa IST kutorejesha coolant kwenye rejeta kutoka kwenye reserve tank ambayo imekuwa ikimwagika baada ya kujaa. Nimejaribu kubadilisha kifuniko cha rejeta lakini tatizo bado linaendelea.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.