IST ipewe maua yake kwenye usajili wa No. D. Kwa utafiti usio rasmi asilimia 30 ya No.D ni magari ya IST. Lakini tangu usajili wa "E" uanze ni IST chache sana zimesajiliwa. Kwa utafiti usio rasmi Nissan Dualis inakimbiza sana kwenye usajili wa "E".
Kwa Nini watu wameacha kuchangamkia IST kama...
1. Matatizo ya Mazida Verisa.
2.Naomba kujua Kama inaweza kuinuliwa Juu maana kako Chini Sana
3.Naiataji kujua ubora wa Mazida Verisa au Vtz ipi nzuri zaidi kwa Ubora wa uimara wake.
Price/Bei 15.7mls
Cont:
Bmw 3 Series ECY
Year 2008
Cc 1990
Low Km 99000
Full Options✅
Sports & New Tyres
Clean Condition
0688591584
Navunja Na Gari yoyote°°
Location Dar es salaam
alphard
athlete
bmw
crown
dualis
inauzwa
ist
kali
nauza
new
nissan
nissan dualis
noah
premio
raum
sale
sana
series
shape
subaru
subaru forester
toyota
toyota wish
wish
Wakuu salaam, Naomba ushauri wenu aisee maana ni wiki sasa najaribu kudadavua kipi ninunue kati ya Bajari au Gari aina ya IST kwaajili ya biashara ya huduma ya usafiri hapa mjini kupitia Bolt na Uber, mbali na hilo ntakuwa nafanya mishe zingine kupitia chombo nitakachonunua sasa naomba wenye...
Majeruhi watano kati ya sita wa ajali iliyohusisha bodaboda, bajaji na gari dogo aina ya IST wamefariki dunia leo wakati wakipatiwa matibabu katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Iringa.
Majeruhi hao walipata ajali jana Aprili 25, 2023 katika eneo la TRM, Kihesa Kilolo, Manispaa ya Iringa...
Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wote na mnaendelea vyema na majukumu ya kila siku. Nipo mbele yenu kuwaomba ushauri, nahitaji kununua gari mojawapo kati ya Toyota Premio na ist. Najua humu wapo wanaomiliki magari haya, naombeni ushauri tafadhali, yote nayapenda.
NB: Ni kwa ajili ya kutembelea...
Jioni baada ya kutoka mihangaikoni nimekaa geto, nikitafakari siku yangu imeendaje. Wakati huo wa kutafakari huwa napenda kusikiliza muziki na miziki yangu mara nyingi ni Hip Hop na Reggae ila leo nikaamua nisikilize Gospel.
Dah, siku yangu imeisha vizuri mnoo. Hawa wamehusika kuniburudisha...
Leo nimekutana na mtu nikamwambia nina M8.5 na natafuta kununua ist mkononi namba D, jamaa akaniambia kuwa sitaweza kupata. Labda kwa uzoefu wenu nijuze zaidi kuhusu bei yangu hiyo na gari hilo, je nitaweza kupata au?
USINISHAURI CHAGUO LA GARI LINGINE NAYAJUA YOTE NA NIMEULIZIA IST.
Wadau huu uzi ni wetu, wake kwa waume mabibi na mabwana,
Pindi unaponunua gari Toka showroom kwa Mara ya Kwanza Nini Cha kufanya.
Wake wataalamu tunawasikiliza.
Mimi sio mtaalamu Sana wa magari
Wadau naomba mnijuze juu ya ist new model kuhusu
1.uimara wa gari kwa ujumla
2.urahisi wa bei na upatikanaji wa vipuri.
3.ulaji wa mafuta
4.udhaifu wake
5.kutulia barabarani
shukrani wakuu.
Aqua anaweza kukupa km 35 kwa lita 1. Toyota ist anaweza kukupa km 18 kama kajitahidi sana.
Aqua ni hybrid inatumia umeme mwingi. Toyota ist sio hybrid.
Miaka mingi sana ist alitawala soko akiwa kama central attacker huku vitz akitokea pembezoni mwa uwanja kama winga.
Kutokana na mabadiliko...
Habari zenu wapendwa, nahitaji kupata control box ya IST New model, details zake ni hizi hapa.
89661-52F50
J2
IST New model
Niliyoipata imefanikiwa kuwasha gari vizuri but taa za dashboard zina blink, zinazima na kuwaka. Ukiacha gari silensa au ukiwa una drive taa za dashboard na mshale zina...
Mimi ni mkazi wa DSM eneo la Kimara stopover. Namiliki gari ya aina ya IST New model.
Hivi karibuni gari ilipata shida upande wa hydrolic ya gearbox ilikuwa ina leakage na nozzle zilikuwa hazi spray mafuta vizuri kweny engine gari ikawa ina miss na kukosa nguvu.
Nimepeleka gari kwa fundi hivi...
Habari wakuu,
Wapi naweza kupata vioo vya site mirror ya IST vioo vyangu watoto wa mtaani walirusha jiwe kikapasuka
Site mirror ni nzima, kioo ndio kina tatizo
Siku moja miaka ya nyuma kidogo Jamaa mmoja aliingia pale Coco beach mida ya mchana na IST yake, sasa alipofika alikuta parking imejaa ila katika kutafuta jamaa wa parking akamuita, Kulikua na spot moja kwenye mchanga mchanga na kulikua na gari za juu zimepark pale..
.
Yule jamaa wa parking...
IST inatumia mafuta kiasi gani kwa safari ya kutoka Arusha Mpaka Marangu? Kwa google map ni takribani km 119. Kwahiyo kwenda na kurudi ni km 238+. Je hapo zinahitajika lita ngapi?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.