VIVINI FT Q CHIEF - ITAKUWA NGUMU...
Chorus..
๐ถ๐ถ๐ถ๐ถ๐ถ๐ถ๐ถ๐ถ๐ถ
Oooh ooooh oooh oooh
Ningekununulia Gari mama weee!!
La kifahari lakini sina pesa " itakuwa ngumu"
Ningekupeleka shart mama wee!! Unyamwezini lakini sina pesa..
Verse ... 1..( viviani)
Itakuwa ngumu sana umeamka Asubuhi na mapema/...