Kuna biashara zinafanywa na viongozi ndio maana miradi ya serikali kuendelea itakuwa ngumu.

Kuna biashara zinafanywa na viongozi ndio maana miradi ya serikali kuendelea itakuwa ngumu.

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2023
Posts
6,007
Reaction score
15,216
Kila mtu akiwa mbunge ni bora kuuwa miradi ya serikali ili mradi biashara zake ziwe mstari wa mbele.

Tumeona sukari,reli na n.k.

Kukitokea swala la kiongozi hakaweza kuanzisha biashara ya maji au umeme basi msitegemee serikali kupiga hatua.

1791360295099.jpg
 
Back
Top Bottom