itakuwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    Masoud Mrisha: Sasa Bandari ya Tanga itakuwa na uwezo wa kuhudumia hadi tani 3,000,000 kwa mwaka. Awali ilikuwa tani 750,000

    BAADA YA MABORESHO KUKAMILIKA, BANDARI YA TANGA IMEFUNGUKA NA KUZALIWA UPYA, SHEHENA NA MELI ZAZIDI KUONGEZEKA Na mwandishi wetu, Tanga Baada ya kukamilika miradi ya maboresho katika bandari ya Tanga, kumepelekea tija kubwa kuonekana katika nyanja tofauti ikiwemo kuongezeka kwa shehena na meli...
  2. Mhaya

    Boris Johnson: Dunia itakuwa mahali salama chini ya mikono ya Donald Trump

    Waziri wa zamani wa Uingereza, Boris Johnson amemuidhinisha Donald Trump kugombea urais wa Marekani, akidai atawashangaza wakosoaji wake na kuunga mkono Ukraine, na kufanya "Magharibi kuwa na nguvu" na "dunia kuwa thabiti zaidi". . Waziri mkuu huyo wa zamani aliwakejeli mahasimu kwa...
  3. T

    Tusipoondoa fikra za Ukada na Uchama kesho ya Tanzania itakuwa ngumu

    Huu ni ukweli usio pingika Hayati baba wa Taifa la Tanzania Mwl Nyerere alikuwa na ndoto japo ndoto hiyo aliiweka katika vipindi tofauti tofauti. Aliwaza kutawala Maisha ila akasoma alama za nyakati akaona itakuwa makosa makubwa sana na uwenda alikumbuka Habari za rafiki yake Kambona na wengine...
  4. Edo kissy

    Hapa itakuwa shida nini, mwamba kapiga game nusu saa anaona hajafaidi kabisa

    Habarini Sijui kuandika sana kiufupi ipo hivi. Leo nilikuwa na mmoja wa rafiki zangu sasa wakati wa story za hapa na pale jamaa si ndo akanisimulia kuwa juzi alikuwa na pisi yake room kwa hiyo akawa kapiga mzigo kama nusu saa hivi kitu ikalala kabisa. Akatulia usiku tena akamshtua akapiga...
  5. LIKUD

    Miaka elfu saba ijayo, atheism itakuwa ndio dini kuu duniani. sababu zipo hapa chini

    Sababu kuu ni moja tu, mfumo huu wa maisha ya sasa utakuwa umepinduliwa na kuwa replaced na mfumo mpya. Mfumo huu mpya utajibu maswali yote ambayo dini kuu mbili zimeshindwa kuyajibu. Maendeleo ya sayansi na teknolojia ndio yatakayo fanya mfumo wa maisha ya sasa hivi upinduliwe na kuwa...
  6. R

    Taja jimbo unaloona linakwenda upinzani 2025 endapo Tume ya Uchaguzi itakuwa ya haki

    Natafakari upya kuhusu wabunge mzigo kwa jamii. Safari hii najiuliza majimbo gani yatakwenda upinzani? Wanasiasa wapya watakuwa akina nani?
  7. Frank Ishengoma

    Mbunge Abood alaani vikali ukatili uliofanywa dhidi ya mama mjasiliamali

    MBUNGE WA JIMBO LA MOROGORO MJINI ALAANI VIKALI UKATILI ULIOFANYWA DHIDI YA MAMA MJASILIAMALI. Mhe. Abdulaziz M. Abood Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini mapema hii leo amefika wodini Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro alipolazwa Mama Bi Aziza Juma Mjasiliamali ndogondogo mara baada ya...
  8. LA7

    Nikiweza kutoboa hadi mwezi wa pili 2024 basi itakuwa ni kwa neema ya Mungu

    yaani kiujumla ni hivyo tu kuanzia mwezi wa kwanza ni makadirio ya kupata mtoto wa pili mungu akipenda lakini mpaka sasa bado sijasevu hata 100 ndani leo ndo nimepunguza miezi miwili ya kudaiwa kodi toka miezi minne. Eeeh Mwenyezi Mungu tupunguzie hii mizigo na changamoto tunazozipitia wengi...
  9. BARD AI

    Kenya yatangaza Novemba 13, 2023 kuwa siku ya Mapumziko ya Umma kwaajili ya Kupanda Miti

    Serikali ya Kenya kupitia Wizara ya Mambo ya Ndani na Utawala wa Nchi imetangaza kuwa Novemba 13, 2023 itakuwa Siku ya Mapumziko kwa Nchi nzima ambapo Wananchi wote watatakiwa kushiriki katika Upandaji Miti. Taarifa ya imesema hatua hiyo ni mpango wa Serikali kurejesha na kulinda mazingira...
  10. Eli Cohen

    Messi akishinda tena Ballon Dior itakuwa ni yale ya upendeleo, mapenzi na favouritism

    Ebu kabla haujaanza kubishana kwa sababu ushabiki wako kwa Messi, nipatie stats au details za kiwango bora(zaidi ya kushinda kombe la dunia ) ambazo zitamfanya Messi awe tena mshindi wa ballon dior. Ni issue tu ya mapenzi tu kwa huyu jamaa ndio maana tena atabeba lakini kuna watu lukuki...
  11. Webabu

    Rais Abdel Fattah El-Sisi afafanua kwanini hawezi kuruhusu Wapalestina waingie Misri. Asema itakuwa ni ujinga na kuisaidia Israel katika malengo yake

    Katika mazungumzo yake na chansela wa Ujerumani muda mfupi uliopita, Raisi El Sisi wa Misri amesema hawezi kufanya maamuzi ya kijinga kuruhusu wapalestina kutoka Gaza waingie nchini humo kama wakimbizi. Akasema hilo inaonekana kama ndio lengo la Israel ilipowataka warudi kusini mpakani na nchi...
  12. Kilimbatz

    Ukweli mchungu: Iwapo Yanga ataingia fainali CL msimu huu, jitihada zote za Simba kwa miaka sita nyuma zitakuwa na maana!?

    Kongole kwa Simba kwa kufanya vyema miaka sita huko nyuma Kwa kuingia makundi na kuishia robo, Kongole pia kwa kutinga nusu fainali CL mwaka miaka ya 1970 huko Sasa tuje leo,wote tupo makundi,wote tutacheza home and away mechi sita na ninajua wote tutaingia robo Simba ashafika nusu...
  13. D

    hii propaganda ( PR)🙌 CAF anaipa Yanga, kama rushwa.

  14. L

    “Vita mpya ya Baridi” ya Marekani dhidi ya China itakuwa na madhara kwa Marekani yenyewe

    Uhusiano wa pande mbili kati ya China na Marekani ni moja ya mahusiano muhimu sana duniani, na mwelekeo wa uhusiano huu unafuatiliwa sana na jamii ya kimataifa. Lakini pamoja na hayo, Marekani inaendelea na juhudi zake za kuikandamiza zaidi China katika maeneo mbalimbali kama vile siasa na...
  15. TUKANA UONE

    Tuko Milioni 60,Serikali kwanini isitulipe wananchi kila Mwezi milioni 1 ambazo kwa ujumla itakuwa milioni 60?

    Ukihitaji salamu subiri kwanza nilipwe Milioni 1 yangu,Tofauti na hapo utaula wa chuya! Watanzania tuko milioni 60,kwanini serikali isilitulipe kila mtanzania milioni 1 kila mwezi?,Mbona ni hela ndogo tu hiyo!. Watu milioni 60 × 1 milioni kila mwezi = Milioni 60. Nadhani hii iwekwe kwenye...
  16. M

    Course gani inayohusiana na biashara ambayo itakuwa na mashiko Kwa hapa Tanzania

    Course Gani inayohusiana na biashara ambayo itakuwa na mashiko Kwa apa bongo. Naomba ushauri
  17. BARD AI

    Chris Brown kuachia albam ya 11 tarehe 11 mwezi wa 11 na itakuwa na Nyimbo 11

    Nyota huyo wa Muziki wa R&B kutoka Marekani, amesema albam itaitwa "11:11" na itakuwa na nyimbo 11, tofauti na ilivyozoeleka katika albamu zilizopita ikiwemo 'Heartbreak' on a Full Moon, Indigo iliyokuwa na nyimbo 57. Breezy amesema licha ya mashabiki zake kutaka albam yenye nyimbo nyingi...
  18. Expensive life

    Simba SC kufungwa mara tatu mfululizo na Yanga hii itakuwa ni fedhea

    Sijui wachezaji wanajua machungu tunayopitia huku mitaani kama tutapoteza huu mchezo? Tuna kila sababu ya kushinda jumapili, makosa tuliyoyafanya mechi mbili zilizopita naimani time hii hayatajirudia. Kila lakheri chama langu hapo jumapili dhidi ya mtani.
  19. kavulata

    Ufaransa kuivamia Niger itakuwa ni habari mbaya sana kwa Afrika

    Waafrika walikuwa na mashaka na viongozi wao kama kweli ni viongozi kwaajili ya watu wao au wako kwaajili Yao na mabeberu. Wana makasha kama viongozi wao wanajali maslahi yao wananchi au maslahi ya mabeberu. Kama Ufaransa itaipiga Niger kwasababu ya wanaiger kumkataa kiongozi wao asiyewanuisha...
  20. Nyendo

    DOKEZO Biashara kufanyika karibu kabisa na Barabara, Mbezi Mwisho karibu na Kituo cha Daladala ni hatari kwa usalama

    Hapa Mbezi Luis Stendi barabara ya kwenda Kinyerezi ilivyojaa msongamano wa machinga na bidhaa zao ambazo ziko kando ya barabara na kusababisha barabara kuzidi kuwa finyu licha ya wembamba wake tangu kutengenezwa, siku dereva yoyote akishindwa kulimudu gari likaenda pembeni litaua watu wengi...
Back
Top Bottom