itakuwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. F

    CCM mnasema IGA sio mkataba bali mikataba itakuwa ni HGA, sasa wajibuni Watanzania swali hili

    Tumesikiliza blah blah nyingi tu kutoka kwa viongozi wa CCM wanaozunguka nchini kuelezea sakata la Bandari. Wanasema IGA siyo mkataba bali HGA ndizo zitakuwa mikataba, wakati huo huo wanasema HGA zitasainiwa kwa kuzingatia sheria za ndani (Tanzania) na IGA iliyoridhiwa na Bunge inasema sheria...
  2. Pascal Mayalla

    Wajua kuna ndoa halali, batili na batilifu? Ndoa ya TPA na DPW, ni Ubakaji? Wajua ubakaji unaweza kuwa alali? IGA batili yaweza kuzaa HGA halali?

    Wanabodi, Hili ni bandiko la kitu kinachoitwa critical thinking, kama wewe sio critical thinker, nakushauri pita mbali na bandiko hili. Angalizo la Uzalendo Haya ni maswali critical, yanayotokana na critical thinking na critical analysis kwa lengo la kuwaelimisha Watanzania some complex...
  3. R-K-O

    Naona wazi kabisa kukiwa na nchi ya Tanganyika Demokrasia itakuwa ni ndogo sana, nchi itaongozwa kimuseveni kwa mabavu zaidi

    Mzanibari pamoja na makando kando yake ila akiingia huwa kuna unafuu katika demokrwasia (hatujawai kuwa na demokrasia kamili) Tunapotoka kwenye awamu za uminyaji wa demokrasia basi mzanzibari akiingia ndio tunapata nafuu ya demokrasia kuanzia uhuru wa kutoa maoni, Vyama vya upinzani hupewa...
  4. D

    Huenda kuanzia mwaka 2034 nchi itakuwa na vilaza watupu

    Kwa Sasa Kuna ushawishi mkubwa wa serikali eti wanaomaliza kidato Cha nne hakuna maana ya kwenda A level bali vyuo tu. Ni hivi ndugu zangu huwezi kuwa na thinking capacities kwa ku abandon A level kwa kuona form four inatosha. Tunajenga kizazi Cha kufikiria ajira tu bila uwezo wowote. Mfano...
  5. Corticopontine

    Muswada huu ukipita na kuwa Sheria Magufuli Day itakuwa Machi 29 kila mwaka na itakuwa siku ya mapumziko

    Mwanasheria Mkuu wa Serikali Jaji Dkt. Eliezer Feleshi amewasilisha muswada wa sheria ya marekebisho ya sheria mbalimbali wa mwaka 2023 Bungeni Jijini Dodoma ikiwemo Sheria ya Mazishi ya Viongozi wa Kitaifa, Sura ya 419 ambapo pamoja na mambo mengine marekebisho haya yanakusudia kutoa mamlaka...
  6. T

    2025 Kampeni zake itakuwa, Nipeni kura nikarudishe nchi mikononi mwenu, huku ni kusema ccm imeturudisha utumwani!

    Tulizoea kuona kila chama kikija na mikakati ya kuboresha maisha ya watanzania, ya kuwatoa mahali walipo na kuwasogeza pahala! Kwa sasa jambo kubwa kabisa ambalo litakuwa kuanza kuzungumziwa kwenye Kampeni za 2025, itakuwa ni hilo ndipo yafuate mengine, Hii ni sawa na kusema! Ccm imetuuza...
  7. Bill

    Sendoff ya Yanga imefanyika kwa Mkapa, Harusi na kuvaa Madela/Medali itakuwa Algeria Jumamosi

    Yanga, amemaliza sherehe ya kuaga Mashindano ya Losers, CAF confederation CUP. Wageni na washuhudiaji karibu milioni 60 walihudhuria sherehe ya sendoff au kuagwa kwa Yanga Mashindano ya Losers. Harusi ni Jumamosi, Yanga wanaenda tayari wamejiandaa kuvalishwa madela au medali. Hili ni tukio la...
  8. GENTAMYCINE

    Jidanganyeni kuwafunga kwao Club Africaine na Marumo Gallants itakuwa hivyo pia kwa USM Alger

    Nawasikia tu mnavyodanganyana na kupeana Moyo katika Vijiwe vya Mitaani na humu Mitandaoni. Wenye Akili na tunaojua Mpira tunajua kuwa tayari USM Alger FC kwa 85% wameshakuwa Mabingwa wa CAFCC kwa Msimu wa 2022 / 2023. Imeisha hiyo...!!!
  9. S

    Huko tuendako akina dada kumpata mwanaume hata wa kumsalimia tu itakuwa ni shida

    Kijenetiki watoto wa kiume na kike huzaliwa kwa idadi sawa, lkn watoto wa kiume hufa wengi kabla ya kufikisha miaka 5. Watoto wa kiume wakiwa wakubwa wengi huingia kwenye kazi ngumu au hatarishi (mfano migodini, vitani, etc) na kupoteza maisha. Kanuni ya kula kwa jasho huwafanya wanaume wengi...
  10. Teko Modise

    FT: Marumo Gallants 1 - 2 Young Africans | CAF Confederation Cup 17.05.2023

    Marumo Gallants wapo nyumbani kuwaalika Young Africans katika mchezo wa marudiano ya nusu fainali ya CAF Confederation Cup kwanzia saa 1:00 usiku kwa hapa nyumbani Tanzania. Mechi ya kwanza iliyopigwa juma moja lililopita Yanga waliibuka na ushindi wa mabao 2-0. Hivyo matokeo yoyote ya ushindi...
  11. R

    DOKEZO Soko la Ilala, Dar es Salaam kwa uchafu huu itakuwa chimbuko la kipindupindu kama cha Msumbiji. Lifungwe

    Wakuu, kwa wakazi wa jiji la Dar tunatumia SOKO la Ilala kujipatia mahitaji yetu pale, ni aibu na udhalilishaji wa binadamu kuona binadamu anaweza kununua kitu cha kwenda kula toka pale. SOKO hili lipo kama mita 150 toka ofisi ya mkuu wa mkoa Dar es Salaam na km 5-6 toka Ikulu ya Magogoni...
  12. marehem x

    Pasaka itakuwa tarehe ngapi

    Wakuu nipo gizani. Pasaka ni siku gani na tarehe ngapi?
  13. Texas Tiger

    UFC 287: Israel Adesanya vs Alex Pereira II. Stylebender akipoteza itakuwa mwisho wa career yake UFC (?)

    Pambano ni Jumapili tarehe 9 April, 2023. 5:00 AM GMT Israel Adesanya aka The Last Stylebender Record: 23-2-0 HEIGHT: 6' 4" WEIGHT: 185 lbs REACH 80" STANCE: Switch DATE OF BIRTH: Jul 22, 1989 NATIONALITY: NIGERIA/NEW ZEALAND Ikumbukwe pambano lililopita UFC 281 Israel Adesanya alipoteza...
  14. TODAYS

    RAILA: Jumatatu Ndiyo Itakuwa Mama wa Maandamano, Gachagua Kasema Ndiyo Mwisho wa RAILA

    Nadhani jirani zetu hawa wana jambo lao ambalo inaonekana ni tofauti na siasa. Nilisema kama ni siasa basi wafungue server ila hawataki na hiki wanachotambiana kina nwisho mbaya. DP Rigathi anasema ‘Jumatatu itakuwa siku ya mwisho’ kwa Odinga kufanya maonyesho nchini Kenya, anasema haitakuwa...
  15. Christopher Wallace

    Mada gani itakuwa inazungumzwa hapa?

    Mimi nawaza watakuwa wanajadili kuwa, ule umeme uliozingua jana angekuwepo jiwe kuna watu wangeliwa kichwa. Karibu utiririke na wewe
  16. Lord denning

    Kwa vichwa vilivyopo Wizara ya Fedha sasa, Tanzania itakuwa mbali sana kiuchumi kufikia 2030

    Nimefanya utafiti kidogo juu ya habari mbalimbali zinazoandikwa juu ya Tanzania kiuchumi kwa kipindi cha miezi 3 sasa. Kusema kweli hakuna habari mbaya utakayoikuta juu ya Tanzania kiuchumi. Wachambuzi wote wa nje na ndani ya Afrika wanaisema vizuri sana Tanzania. Sio kwenye uwekezaji sio kwenye...
  17. BARD AI

    Jumatatu Machi 20, 2023 itakuwa siku ngumu kwa Serikali za Kenya, Tunisia, Nigeria na Afrika Kusini

    Jumatatu ya Machi 20, 2023, Itakuwa siku ya kihistoria na ngumu kwa Serikali za Mataifa 4 ya Afrika, kutokana na kuitishwa kwa Maandamano na Migomo ya Utii dhidi ya Serikali na Mashinikizo kwa Marais wa Nchi hizo. Maandamano hayo yameitishwa na makundi mbalimbali ikiwemo Vyama vya Upinzani...
  18. L

    Itakuwa ni uwendawazimu na ukichaa kwa wana Mbeya kumtoa Dkt. Tulia jimbo la Mbeya Mjini

    Ndugu zangu watanzania, Naifahamu Mbeya ,Nawafahamu Wana Mbeya ,Nimekaa na kuishi Mbeya,Nimesoma Mbeya,Naendelea kwenda Mara kwa Mara Mbeya,Nazifahamu siasa za Wana Mbeya,Nafahamu Fikira za wanambeya,Nafahamu misimamo ya wanambeya,Nafahamu Tabia za wanambeya,Nazifahamu kero za Wana...
  19. ChoiceVariable

    Lema: Bodaboda imekuwa ni ajira ya Laana

    Hello! Naona Lema ameanza kwa gia ya matusi kwa wanaojiita bodaboda. Lema amesema bodaboda sio kazi ila ni laana. Hivi hizi si ni dharau kwa vijana wa bodaboda? Yaani watu wanaendesha familia kwa kazi hiyo halafu anakuja mtu anawadharau na kutukana eti wamelaaniwa? Nyie wafuasi wa CHADEMA...
  20. Messenger RNA

    Mkuu wa NATO: Kuacha Urusi ishinde Ukraine itakuwa hatari kwa dunia nzima, nchi za magharibi hawatakubali kitokee

    Katibu mkuu wa NATO amesema kuicha Urusi iishinde Ukraine ni hatari si kwa Ukraine tu bali kwa dunia nzima kitu ambacho NATO/magharibi haitakubali hilo litokee kamwe. ================== A Russian win in Ukraine would be 'dangerous for the whole world', says NATO chief as he accuses Putin of an...
Back
Top Bottom