André-Frank Zambo Anguissa (ANGWISA) Nimeukumbuka huu wimbo wa muimbaji mmoja aliimba alikuwa anasema Angwisa....na huyu mchezaji naona kabisa ni mnyaki sijui wa Kyela,Tukuyu au Mbozi. Mi sijui.
Hawa ndo mngewarudisha na kuwapa uraia. Zamani naambiwa alikuwapo mnaijeria mmoja wa Kinyakyusa...
Wakuu,
Mara baada ya Assad kupinduliwa na kukimbia nchi yake kwenda Urusi huku vikundi vya waasi vikiwa vimechukua mambo yameanza kubadilika kwa wana-Syria duniani kote.
Hivi karibuni nchi nyingi za Ulaya zimetangaza kuacha kupokea wakimbizi kutoka Syria.
Nchi hizo ni pamoja na Germany...
Alipewa hifadhi miaka 30 Italy uzunguni, ghafla kaingiwa na ile mizuka yao na kuanza kuhubiri ugaidi wa kiislamu kwamba waislamu wote waanze vita dhidi ya wasiaomini kwenye hiyo dini.
Swali la kujiuliza, hii dini imebuniwa juzi tu, miaka 500 baada ya Yesu kuondoka, waumini wake wanajiaminisha...
Mwanamama Giorgia Meloni alishinda uchaguzi mkuu wa Italy mwaka 2023 na kuwa Waziri Mkuu wa taifa hilo ambalo pia ni member wa G7 na NATO.
Alipoingia tu madarakani, kwa shinikizo la Marekani na mataifa mengine ya Ulaya akaiondoa Italy kutoka kwenye mpango wa China unaoitwa BRI na kumkosoa...
Leo ni siku ya tatu na ya mwisho ya mkutano wa mataifa yanayounda G7; ambao umewakilishwa na maraisi wa USA, U.K, France, Germany, Italy, Japan na Canada na mawaziri wa fedha kutoka nchi hizo.
Ajenda kuu ilikuwa China.
Maeneo ambayo yamejadiliwa kuhusu China:
1. CHINA INAHATARISHA VIWANDA NA...
Katibu mkuu wa NATO Jens Stoltenberg amezitaka nchi za NATO kuipa silaha Ukraine ili ishambulie ndani ya mipaka ya Russia hasa military targets.
Mpango huu umekuja baada ya Ukraine kutembezewa kichapo cha kutosha kutoka kwa Russia na majeshi ya Russia kuzidi kusonga mbele kuelekea mji muhimu wa...
After Napoli's spectacular year in the 2022-23 season, Inter Milan have reclaimed their golden sceptre and won a Serie A that they have dominated with an iron fist. No one has been able to even come close to Simone Inzaghi's side, who lift the title in the most special of matches and with five...
Ukifika pale Italia, kuna sehemu ndogo ya nchi, inaitwa Vatican. Hapo ndipo yalipo makao makuu ya Kanisa la Roman Catholic ambapo mkuu wa kanisani hilo ni Papa.
Pale Italia wana pesa yao, ila haitumiki ukiingia Vatican. Kule Vatican wana pesa yao na unaweza kuitumia hata Italia.
Rais wa...
BREAKING: BONDIA CHANGARAWE
AFANYA KWELI USIKU HUU ITALY, AMTWANGA MVENEZUELA KWA KO!
Na Nsangu Kagutta, Italy
Yusufu Luccasi Changarawe usiku huu ameing'arisha Tanzania baada ya kushinda pambano lake la kwanza la kutafuta kufuzu kushiriki kwenye mashindano ya
Olympic jijini Paris, Ufaransa...
Fr. Ramon Guidetti wa Italy amefukuzwa tar 3 January 2024 baada ya kuhubiri kwamba papa francis anakinajisi kiti cha Mtume Petro (anti-pope) na anatimiza matakwa ya wapinga Kristo.
Hio ilitokea alipokua anahubiria tarehe 31 December 2023 siku iliokua ni kumbukizi ya kifo cha Papa Benedicto wa...
Haya mataifa yameungana kubuni mbinu za kupambana na hayo magaidi yenye mlengo wa kidini......
MANAMA, Bahrain — The US and a host of other nations are creating a new force to protect ships transiting the Red Sea that have come under attack by drones and ballistic missiles fired from...
Katika jambo ambalo si la kawaida serikali ya Italy imelazimika kuwalipia bill ya chakula wananchi wake wanne waliokula chakula katika hoteli moja huko Albania na kuondoka bila kulipa.
Hii ilitokana na Waziri Mkuu wa Albania kumlalamikia mwenzake wa Italy kuwa wananchi wake walikula bila kulipa...
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba , Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema na mmoja wa wawakilishi wa Chadema kwenye Mazungumzo ya Maridhiano , John Heche , Amekutana na Makamu Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu Nchini Italia .
Mpaka sasa bado haijafahamika ajenda ya kukutana kwao , Bali vikao vizito...
Mabeberu yanalalamika kuwa mtu wa Putin ndio ameshinda kura za kuwa Prime minister nchini Italy. Binti mrembo aliyechaguliwa kuwa Prime minister anaitwa Giorgia Meloni.
Hapo kabla, Uingereza ililalamika na kulialia kuwa Georgia Meloni ni hatari kwa Italy na EU kwa ujumla...lakini wa-Italy...
Waziri wa zamani wa Mambo ya Ndani wa Italy, amesema vikwazo dhidi ya Urusi havina maana, maana Urusi haiathiriki pakubwa kulinganisha na walioiwekea vikwazo(Ulaya).
Nawasalimu kwa jina la JMT.
Waziri Mkuu wa Italy amejiuzulu nafasi yake kutokana na Maandamano ya wiki zima Kuhusu ugumu wa maisha..
Mario Draghi amewasilisha hati yake kwa Rais Ili Mchakato wa kumpata PM mwingine uendelee..
Huyu ni Waziri Mkuu wa pili kuachia ngazi huko Barani Ulaya baada ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.