italy

  1. T

    Mchezaji Mtanzania, Mnyakyusa anayecheza Ligi Kuu Italy akichezea Napoli

    André-Frank Zambo Anguissa (ANGWISA) Nimeukumbuka huu wimbo wa muimbaji mmoja aliimba alikuwa anasema Angwisa....na huyu mchezaji naona kabisa ni mnyaki sijui wa Kyela,Tukuyu au Mbozi. Mi sijui. Hawa ndo mngewarudisha na kuwapa uraia. Zamani naambiwa alikuwapo mnaijeria mmoja wa Kinyakyusa...
  2. Kwanini France, Italy, Uingereza na nchi nyingine 12 zimetangaza zuio la kupokea wakimbizi kutoka Syria?

    Wakuu, Mara baada ya Assad kupinduliwa na kukimbia nchi yake kwenda Urusi huku vikundi vya waasi vikiwa vimechukua mambo yameanza kubadilika kwa wana-Syria duniani kote. Hivi karibuni nchi nyingi za Ulaya zimetangaza kuacha kupokea wakimbizi kutoka Syria. Nchi hizo ni pamoja na Germany...
  3. Imam aliyeishi Italy miaka 30 afukuzwa baada ya kuagiza waislamu waanze vita dhidi ya wasioamini katika uislamu

    Alipewa hifadhi miaka 30 Italy uzunguni, ghafla kaingiwa na ile mizuka yao na kuanza kuhubiri ugaidi wa kiislamu kwamba waislamu wote waanze vita dhidi ya wasiaomini kwenye hiyo dini. Swali la kujiuliza, hii dini imebuniwa juzi tu, miaka 500 baada ya Yesu kuondoka, waumini wake wanajiaminisha...
  4. Upcoming trips abroad: World Food Summit (Italy) & Commonwealth heads of Government (Samoa)

    Watanzania fursa zinazidi kufunguka duniani. Mikutano mkubwa hiyo tayari. Ni nyie kucheza na fursa Tu. Asanteni
  5. X

    ChinaTech: Italy walijitoa katika BRI ya China, hatimaye Waziri Mkuu wa Italy atembelea China kuomba kurudisha tena ushirikiano kati ya mataifa hayo

    Mwanamama Giorgia Meloni alishinda uchaguzi mkuu wa Italy mwaka 2023 na kuwa Waziri Mkuu wa taifa hilo ambalo pia ni member wa G7 na NATO. Alipoingia tu madarakani, kwa shinikizo la Marekani na mataifa mengine ya Ulaya akaiondoa Italy kutoka kwenye mpango wa China unaoitwa BRI na kumkosoa...
  6. X

    Viongozi wa G7 wailaumu China kwenye mkutano wao unaofanyika Italy

    Leo ni siku ya tatu na ya mwisho ya mkutano wa mataifa yanayounda G7; ambao umewakilishwa na maraisi wa USA, U.K, France, Germany, Italy, Japan na Canada na mawaziri wa fedha kutoka nchi hizo. Ajenda kuu ilikuwa China. Maeneo ambayo yamejadiliwa kuhusu China: 1. CHINA INAHATARISHA VIWANDA NA...
  7. X

    Ujerumani na Italy zakataa mpango wa NATO wa msaada wa silaha kwa Ukraine kushambulia ndani ya mipaka ya Urusi

    Katibu mkuu wa NATO Jens Stoltenberg amezitaka nchi za NATO kuipa silaha Ukraine ili ishambulie ndani ya mipaka ya Russia hasa military targets. Mpango huu umekuja baada ya Ukraine kutembezewa kichapo cha kutosha kutoka kwa Russia na majeshi ya Russia kuzidi kusonga mbele kuelekea mji muhimu wa...
  8. Inter Milan Bingwa Mpya Wa Seria A

    After Napoli's spectacular year in the 2022-23 season, Inter Milan have reclaimed their golden sceptre and won a Serie A that they have dominated with an iron fist. No one has been able to even come close to Simone Inzaghi's side, who lift the title in the most special of matches and with five...
  9. Vatican ni nchi moja ya kipekee sana ulimwenguni

    Ukifika pale Italia, kuna sehemu ndogo ya nchi, inaitwa Vatican. Hapo ndipo yalipo makao makuu ya Kanisa la Roman Catholic ambapo mkuu wa kanisani hilo ni Papa. Pale Italia wana pesa yao, ila haitumiki ukiingia Vatican. Kule Vatican wana pesa yao na unaweza kuitumia hata Italia. Rais wa...
  10. Bondia Changarawe afanya kweli usiku huu italy, amtwanga mvenezuela kwa KO

    BREAKING: BONDIA CHANGARAWE AFANYA KWELI USIKU HUU ITALY, AMTWANGA MVENEZUELA KWA KO! Na Nsangu Kagutta, Italy Yusufu Luccasi Changarawe usiku huu ameing'arisha Tanzania baada ya kushinda pambano lake la kwanza la kutafuta kufuzu kushiriki kwenye mashindano ya Olympic jijini Paris, Ufaransa...
  11. Padre wa Kanisa Katoliki Italia afukuzwa baada ya kuhubiri kwamba Papa Francis ni 'Masonic' na 'Anti-pope'

    Fr. Ramon Guidetti wa Italy amefukuzwa tar 3 January 2024 baada ya kuhubiri kwamba papa francis anakinajisi kiti cha Mtume Petro (anti-pope) na anatimiza matakwa ya wapinga Kristo. Hio ilitokea alipokua anahubiria tarehe 31 December 2023 siku iliokua ni kumbukizi ya kifo cha Papa Benedicto wa...
  12. Muarubaini wa magaidi ya Houthi wabuniwa na haya mataifa US, Bahrain, Canada, France, Italy, Netherlands, Norway, Seychelles, na Spain

    Haya mataifa yameungana kubuni mbinu za kupambana na hayo magaidi yenye mlengo wa kidini...... MANAMA, Bahrain — The US and a host of other nations are creating a new force to protect ships transiting the Red Sea that have come under attack by drones and ballistic missiles fired from...
  13. Italy

  14. I

    Uungwana ni vitendo - serikali ya Italy yawalipia bill ya chakula wananchi wake huko Albania

    Katika jambo ambalo si la kawaida serikali ya Italy imelazimika kuwalipia bill ya chakula wananchi wake wanne waliokula chakula katika hoteli moja huko Albania na kuondoka bila kulipa. Hii ilitokana na Waziri Mkuu wa Albania kumlalamikia mwenzake wa Italy kuwa wananchi wake walikula bila kulipa...
  15. Tulioalikwa nyumbani kwa balozi wa Italy kushehererekae uhuru wa 🇮🇹 kesho tukutane hapa.

    Nadhani tukikutana mapema jukwaani tutaweza kufanya maandalizi ya pamoja, tukae meza moja kama JamiiForums, tubadilishane mawazo, uzoefu nk. Niko hapa
  16. Katika historia Italy hawajawahi kukutana na mfumuko wa bei kama huu kutokana vikwazo vya Russia

    Inflation in Italy highest since 1984 Consumer price growth was led by soaring energy and food costs, official data shows © Getty Images / Karl Weatherly Italy’s domestic price index jumped 11.8% in October from a year earlier, the highest since March 1984, official statistics agency ISTAT...
  17. John Heche akutana na Tundu Lissu Nchini Italia

    Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba , Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema na mmoja wa wawakilishi wa Chadema kwenye Mazungumzo ya Maridhiano , John Heche , Amekutana na Makamu Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu Nchini Italia . Mpaka sasa bado haijafahamika ajenda ya kukutana kwao , Bali vikao vizito...
  18. S

    Mabeberu yalalamika kuwa mfuasi wa Putin (Giorgia Meloni) ndio kachaguliwa kuwa Prime minister wa Italy

    Mabeberu yanalalamika kuwa mtu wa Putin ndio ameshinda kura za kuwa Prime minister nchini Italy. Binti mrembo aliyechaguliwa kuwa Prime minister anaitwa Giorgia Meloni. Hapo kabla, Uingereza ililalamika na kulialia kuwa Georgia Meloni ni hatari kwa Italy na EU kwa ujumla...lakini wa-Italy...
  19. Vikwazo kwa Urusi vinaumiza Ulaya-Waziri wa Italia

    Waziri wa zamani wa Mambo ya Ndani wa Italy, amesema vikwazo dhidi ya Urusi havina maana, maana Urusi haiathiriki pakubwa kulinganisha na walioiwekea vikwazo(Ulaya).
  20. Waziri Mkuu wa Italy ajiuzulu kufuatia maandamano. Mbona hatuoni nyuzi zikianzishwa na CHADEMA kutolea mfano Viongozi wetu kama kule Sri Lanka?

    Nawasalimu kwa jina la JMT. Waziri Mkuu wa Italy amejiuzulu nafasi yake kutokana na Maandamano ya wiki zima Kuhusu ugumu wa maisha.. Mario Draghi amewasilisha hati yake kwa Rais Ili Mchakato wa kumpata PM mwingine uendelee.. Huyu ni Waziri Mkuu wa pili kuachia ngazi huko Barani Ulaya baada ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…