Ubepari ni kuamini kuwa umiliki wa Mali binafsi ndiyo njia msingi wa kufikia kutosheka kwa binadamu hili liina maana ya kwamba bepari anakusanya Mali, watu, akili n.k ili kuweza kujipa furaha na kutosheka Rejea Theory ya Capitalism na Mechantalism.
Ujamaa ni kitendo kukubali kuwa mafanikio au...
Sukuma gang ni itikadi liyoasisiwa na Magufuli inayoamini katika ukatili unaohusisha matusi, utekaji, uporaji, mauaji na uonevu.
Kwahiyo itikadi hii isihusishwe na kabila la Wasukuma. Mfano, aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, ndugu Sabaya yeye ni Sukuma gang lakini siyo Msukuma. Wengine ni...
Makabidhiano yamefanyika Lumumba.
Hongera shaka kwa kukabidhi ofisi kwa amani, zinazofuata ni picha za makabidhiano ya ofisi.
Hapo ndugu Shaka akitabasamu kwa bashasha bila tashwishwi.
Magaidi wa alshabaab ambao hufanya maukatili kwa imani za kidini walipua mabomu na kuua nane.....
Police said today that eight people were killed in a roadside bombing claimed by al-Shabaab in central Somalia where a major offensive is underway to retake territory from the jihadists.
The...
Tulikubaliana ujamaa ni utu ni usawa na haki kwenye uchumi.
Tulipogundua hatuwezi kujenga ujamaa kwa uwekezaji wa umma kwenye viwanda na biashara tukaamua kutumia sekta binafsi kwa uwekezaji wa ndani na wa nje.
Kwa msingi huo mpango wa CCM ukawa ni kuendeleza umma kupata maendeleo ya kiuchumi...
Nimefuatilia sinema inayochezwa na CCMbara nimegundua kuna umuhimu wa kuwa na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM wawili kwa kila upande wa seriksli zote mbili. Kwa sasa ukifuatilia sensa ya watu na makazi ya mwaka 2022.
CCM upande wa bara tumepiga na kitu kizito itakapofikia muda wa kutoa...
Tusije jisahau kuwa chama chetu cha CCM ni chama cha wananchi, zamani tukiita Wakulima na Wafanyakazi.
Yametokea mabadiliko mengi katika misimamo ya chama kiasi ambacho watendaji ndani ya chama ni kama wanakengeuka katika misimamo yao kiutendaji.
Alipoingia mzee Abdulrahman Kinana ingalau...
Inaelezwa kuwa idadi hiyo imefikiwa ndani ya siku 11 na shutuma zikienda katika vyombo vya usalama, ambapo Shirika la Kutetea Haki za Binadamu la Iran (IHR) limedai nguvu kubwa inatumika kuzuia maandamano .
Mamia ya waandamaji wakishikiliwa, 20 kati yao wakiwa waandishi wa habari na yameendelea...
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa NCCR-Mageuzi, Edward Simbeye amezungumza na waandishi wa habari leo Mei 21, 2022 na kudai kuwa kilichofanywa na kundi lililojipa sura ya Halmashauri Kuu ndani ya chama hicho mapema leo ni uhaini.
Awali ilitolewa taarifa kuwa Halmashauri Kuu ya Chama cha...
ITIKADI ni moja ya msingi muhimu katika kuyafanya mnaisha ya mwanadamu kustawi zaidi, hakuna binadamu yeyote ambaye anaweza kuishi bila ya kuwa na itikadi.
Neno itikadi linamaana nyingi na utata kwenye kulielezea au kutafsiri kwa sababu imegusa kila kona ya maisha ya mwanadamu.
Huenda tusijue...
Ndugu zanguni, hapo nyuma kidogo na sasa kwa uchache baadhi ya watu wamekuwa wakitoa kauli za kubeza kazi nzuri zilizofanywa na JPM kwa kejeli na dhihaka.
Nadhani lengo lao kubwa ni kutaka kufuta Legacy yake. Ukweli ni kwamba, hakuna mtu awaye yote anayeweza kufuta Legacy ya JPM.
Mbaya zaidi...
BAADHI YA NUKUU ZA KATIBU MWENEZI CCM TAIFA SHAKA HAMDU SHAKA KATIKA KONGAMANO LA KUMPONGEZA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN KUTIMIZA SIKU 365 ZA UONGOZI NCHINI.
#KaziIendelee
#ChamaImara
#SamiaMpangoMzima.
End.
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) Itikadi na Uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka Leo Jumamosi Machi 12, 2022 ataongea na Waandishi wa Habari kuanzia Saa 4 asubuhi kwenye Ofisi Ndogo za Makao Makuu ya CCM (OND) Lumumba Jijini Dar es Salaam.
#CCMImara
#KaziIendelee
Ni Nani asiyechoka na hii kitu inaitwa CCM kwa sasa?
Ninaamini hata walioko CCM dua yenu ni ili siku moja asiingie mtu asiyetokana na chama chenu, maana hofu yenu ni pale itakapo walazimu kurudisha Mali zoote mlizoiibia nchi yetu!
Kwa kuwa Tanzania ni nchi ya waungwana, na wananchi wake kilio...
Hata kama taifa letu lipate katiba mpya, lakini kama chama cha siasa kinakuwa na sera na itikadi mbaya hakuna mwananchi atakiunga mkono.
Nashangaa sana wanaCHADEMA kushupaza shingo wakidhania kuwa tukipata katiba mpya basi wataungwa mkono na wananchi. Wanadhania katiba mpya ndio tikti ya...
Serikali imeainisha chaneli tatu maarufu za Upinzani Mitandaoni kama Mashirika yenye itikadi kali, ikimaanisha watu wanaweza kufungwa jela kwa hadi miaka saba kwa kujisajili.
Chaneli katika Mitandao ya Kijamii zilitumika kwa wingi katika kuandaa maandamano makubwa dhidi ya Rais Alexander...
Sitamani kuingia ndani Sana katika maana ya maneno matatu hapo Juu, #Uzalendo ni dhana ya mtu kusimama kwa ajili ya Taifa lake na si kwa maslahi ya kikundi au yeye mwenyewe.
#Itikadi ya vyama vya siasa ni Mlengo wa uendeshaji na usimamizi wa Mwenendo mzima wa utawala, imani itegenezayo mifumo...
NUKUU: BAADHI YA NUKUU ZA KATIBU WA NEC ITIKADI NA UENEZI CCM SHAKA HAMDU SHAKA-KAMPENI USHETU.
"Wananchi ninazo taarifa juu ya vitendo viovu vya kupambikiziwa kesi za kukamatwa na bangi vijana na wanawake vinavyofanywa na baadhi ya askari wetu wasio waaminifu wanaotaka kulitoa doa jeshi letu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.