Moja ya sababu kubwa iliyooelekea Chama cha Mapinduzi (CCM) kutawala (sio kuongoza) kwa kutumia vyombo vya dola ikiwemo Polisi na TISS kushindana na vyama vya upinzani hususan CHADEMA ni kwa sababu CCM hawana ITIKADI.
Ndio maana leo wanajibu hoja za Chadema kwa jeshi la polisi kuvamia shughuli...
Watanzania muda umefika wa kuweka pembeni tofauti zetu za kisiasa na badala yake tuungane kupinga uonevu na dhuluma.
Rais anasema watanzania wameridhika na tozo. Hakuna mtanzania aliyeridhika na tozo, tuungane tukatae kwa kauli moja hii dhuluma. Kama vyanzo vingine vya mapato hawavioni...
Kwa wale wasiyoelewa wala kuona itikadi za vyama ingetosha tu kumsikiliza mwenyekiti wa CHADEMA Mbowe ili kujua CHADEMA wanapigania nini.
Ukisikia jinsi Mbowe anamponda Magufuli mtu ambaye kabla ya kuwa Rais wa JMT kwa miaka 20 amekuwa anasimamia ujenzi wa miundombinu ya barabara nchini kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.