itv

ITV - Independent Television Limited (ITV) ni kampuni shirikishi ya IPP Limited. ITV ilianza shughuli zake mwaka 1994 ikiwa na kituo kimoja cha televisheni na kituo kimoja cha redio ambacho ni ITV na Radio One.

Mwaka 2009 kampuni ilizindua kituo kingine cha Capital Television na Capital Radio.
  1. The Watchman

    Pre GE2025 Katikati ya matangazo ya 'Live' ITV Mgeni aomba watu wote studio wasimame kumuombea Rais Samia, Watangazaji wapata kigugumizi kumzuia

    Siku ya ya jana tarehe 13 Machi 2025 ITV walikuwa wakirusha matangazo mbashara kipindi cha malumbano ya hoja mada ikiwa 'kutofanyika kwa dabi ya Simba na Yanga nini kifanyike?'. Wakati kipindi kinaendelea akakaribishwa mchangiaji mmoja akijulikana kwa jina la Ramadhan Kampira, Mwenyekiti wa...
  2. KING MIDAS

    Tundu Lissu yuko ITV akihojiwa na kipindi cha Dakika 45, Star Times wamekata matangazo

    Hii ni aibu sana kwa Star times, wamekata matangazo ya ITV ili WANANCHI wasione mahojiano kati ya Tundu Lissu na ITV kwenye kipindi cha Dakika 45. Wakati huo huo tbc wao wako hewani vizuri kabisa, hivyo basi, kama kwako matangazo ya ITV yamekatwa, ingia mtandaoni kwenye platforms za ITV Tanzania
  3. Raia Fulani

    Chalamila hoyeee. Namuona ITV malumbano ya hoja anashusha nondo

    Tangu mwaka kuanza nadhani hiki ni kipindi cha kwanza bora itv kuhusiana na kuendesha biashara Kariakoo kwa saa 24. Chalamila leo katulia. Anajenga hoja. Inaonekana alijiandaa ilivyo kwa kipindi hiki. Sio yule Chalamila mropokaji na mbwatukaji. Amekua kiasi. Namsikia akiongea kwa data na...
  4. Njemba Soro.

    Wachambuzi Ufm ya Azam na radio One ya ITV wanajua kuchekacheka na kukosoana kugha....

    Nimesikiliza radio One leo, (huwa sisikulizi radio) Sasa jamaa wao ni makelele ya MCHEZO SUPA na kupiga simu Kwa wasikilizaji. Yani jamaa anaongea hajamaliza mwingine anaongea na mwingine anaongea. Kwamba wanabishana. Sasa imefuka saa 10 jamaa kaweka UFM YA AZAM TV. Kwanza mchambuzi mkuu ni...
  5. JET SALLI

    Mbowe yuko dakika 45 itv Muda huu

    Mbowe anashida kubwa,na anachokifanya ni chuki ambayo haina afya kwa CHADEMA. Ulafi wa madaraka na kung'ang'ania madaraka ni jambo linalosikitiaha sana mtu ameamua nae kugombea nafasi ya uenyekiti imekuwa shida.
  6. M

    ITV kwenye taarifa za habari achaneni na matangazo ya pombe

    TCRA pia Dkt. Gwajima D waangalie namna ya kulinda watoto. Matangazo ya pombe kuwekwa katikati wakati unatazama taarifa ya habari binafsi naona sio sawa. Maana ni mazuri na unakuta watoto wanayafurahia kweli. Tafsiri yake inawachochea kutamani kutumia. Hii iwe hata kwa matangazo mengine...
  7. The Watchman

    SI KWELI ITV wamechapisha taarifa Lissu amesema, "safari yetu imejaa mashaka, hatuaminiani ndani ya chama chetu"

    katika pitapita zangu katika mtandao wa X nimekutana na chapisho hili kumhusu Tundu Lissu Wakuu uhalisia wa chapisho hili ni upi?
  8. P

    Baada ya isidingo, ikafuata uzalo. ITV tuonyesheni vya kwetu

    Hizi tamthilia kwa kweli zinachosha, kwanza lugha inayotumika huko hata hatuijuwi. Ni bora muonyeshe mbuga zetu za wanyama.
  9. P

    Kwenu ITV badilikeni habari zenu za michezo hazivutii hata watangazaji hamuwapi uhuru wa kuvaa nguo za michezo

    Hivi kwanini mkisoma habari za michezo watangazaji wanakuwa na haraka sana. Habari za michezo kama mpira wa miguu hasa ligii kuu ya Tz mnaipa air time kwa dakika chache ama sekunde kadhaa. Ila habari za michezo ya bao mnatowa muda wa kutosha hadi kuwa hoji wahusika. Pia ligi ya ujerumani...
  10. Yoda

    ITV kuweni serious na kazi yenu ya habari, sio kila mtu wa ni kumuuliza kila kitu.

    Nilikuwa naangalia taarifa ya habari ITV wakawa wanahabarisha kuhusu Benki kuu(BoT) kuondoa zile noti za zamani katika mzungu, cha ajabu katika kupata watu wa kutoa maoni kuhusu hilo jambo badala ya kuwatafuta wataalamu wa biashara, fedha, au uchumi kutoka taasisi mbalimbali za hadhi ya juu kama...
  11. Zanzibar-ASP

    Pre GE2025 Mtangazaji wa ITV na Tundu Lissu hakika mmetutendea haki sisi watanzania kwenye kipindi cha dakika 45

    Tuache ushabiki pembeni, mtangazaji wa ITV alijipanga vyema sana katika kufyatua maswali ya msingi yenye kumuweka kwenye kona Lissu, na Lissu aliweza vizuri sana kukabiliana nayo moja kwa moja bila kukwepa, kuzunguka mbuyu au kulipua lipua. Hakika ulikuwa mjadala mzuri wenye kusisimua na...
  12. B

    Tundu Lissu kuungurumia ITV siku ya tarehe 26, 08, 2024

    Haya tena kile chuma cha pua kwenye ubora wake kitakuwepo ITV kumwaga shule. Wengine wanakiita Simba. Wengine hawachoki kukifanyia fitna. Ama kwa hakika wengine kwetu huyu: Ndiye yule mwanetu mpendwa tunaye pendezwa naye!
  13. D

    Haya matamasha ya kikabila ni janga la Taifa: sasa hivi Wanyakyusa wako ITV

    Hivi vinavyoitwa matamasha ya kikabila yanayojitokeza kwa kasi siku hizi havina afya ktk kujenga umoja wa kitaifa. Kuna ajenda gani imejificha humu? Walianza wasukuma, halafu wanaigana utafikiri sifa kumbe ni janga. Karne hii watu mnatukuza ukabila? Mnaunda vikundi vinavyohamasisha ubaguzi...
  14. X

    Hivi hawa ITV ukiondoa taarifa ya habari, wana kipindi gani kingine cha maana?

    Kwa miongo kadhaa ITV kimekuwa kituo pendwa kwenye habari hasa habari yao ya saa 2 usiku. Ijapokuwa siku hizi taarifa zao ni za uchawa sana, hatushangai hii ni moja ya legacy aliyoacha Magufuli kwenye media zote za Tanzania. Turudi kwenye mada husika sioni ushawishi walio nao ITV kwenye...
  15. K

    Farhia Middle, tafadhali we mtoto wewe!

    Imefikia kipindi nikiona tu sio wewe unayesoma taarifa ya habari basi naondoka au nabadilisha channel. Na nilivyo mgonjwa wa big nyashi, sehemu muhimu zaidi kwangu ni pale unapogeuka na kutembea kwenda kukaa kwenye kiti ili usome taarifa kamili. Dah, waliokuzaa wanastahili pongezi kwakweli...
  16. BUSH BIN LADEN

    Hawavumi lakini wamo ITV

    Hawa wasanii wanaotambulisha nyimbo zao kwa bwana Rajabu Zomboko huwa wanaishia wapi? Sijawahi kumuona msanii alietambulisha kazi yake kwenye hiki kipindi amevuma na kuwa msanii mkubwa nchini. Hapa nawaangalia jamaa wana gospel ya amapiano😀😀. Watatoboa kweli?
  17. S

    ITV Munatakiwa mutuombe msamaha watazamaji

    Leo ITV imeonyesha tendo la ajabu sana ndiyo sababu watu wengine tunaamua kuangalia tv za nje tu. Haiwezekani tv ambayo imasema kuwa ni super brand afrika mashariki ifanye mambo kwa kukurupuka bila ratiba . Nilikuwa naangalia Al jazera tv kupitia itv gafla saa 6.15 wanakatiza matangazo na...
  18. F

    ITV dk 45: Rais Karume akiri kuandaliwa kuwa Rais wa Zanzibar

    Rais wa zanzibar 2000 hadi 2010 Amani Abeid Karume, akiri kuandaliwa kuchukua wadhifa huo. Akihojiwa ktk kipindi cha ITV DK 45 leo usiku, amesema aliitwa na wazee na kuambiwa Dkt Salmin anamaliza muda wake "Tunataka wewe uwe Rais" Baada ya hapo alienda kuchukua fomu ya urais na ktk mchujo...
  19. Restless Hustler

    ITV inaunga mkono Hamas, Star TV inaunga mkono Israel na Marekani

    Bila kificho, ITV inashiriki Propaganda za Hamas. Wanasiasa wanaoalikwa kuzungumzia siasa za kimataifa mara nyingi ni wale wenye mrengo wa Hamas. Vilevile Star TV inaunga mkono Israel na Marekani bila kificho. Fuatilia utagundua hilo
Back
Top Bottom