itv

ITV - Independent Television Limited (ITV) ni kampuni shirikishi ya IPP Limited. ITV ilianza shughuli zake mwaka 1994 ikiwa na kituo kimoja cha televisheni na kituo kimoja cha redio ambacho ni ITV na Radio One.

Mwaka 2009 kampuni ilizindua kituo kingine cha Capital Television na Capital Radio.
  1. saidoo25

    ITV imenunuliwa na mafisadi kutorusha habari za Makonda?

    Baada ya kufariki dunia Dk. Reginald Abraham Mengi Kituo cha Televisheni cha ITV kimebadili mtizamo wake kutoka kuwa chombo kimbilio la wanyonge na chombo makini cha kuanika maovu ndani ya jamii leo kimegeuka kuwa jukwaa la machawa na watuhumiwa wa ufisadi. Tangu Makonda ameteuliwa ITV hawataki...
  2. uttoh2002

    Kipindi Maalum ITV vs Wenza wa Wastaafu

    Leo nimesikiliza kipindi maalum cha Ulelingombe Morogoro Nikaumia sana, na kuongeza chuki kwa CCM na tawala zote. 1. Wana hali ya hewa nzuri kwa Kilimo. 2. Maji kwa ajili ya umwagiliaji na kilimo. 3. Ardhi nzuri yenye rutuba sababu ya Kilimo. Shida yao: Hawana miundombinu Mbinu ya barabara...
  3. BUSH BIN LADEN

    Ni ipi sera ya ITV kuhusu habari za kimataifa?

    Wakuu habarini za jioni? Nimekuwa nikufuatilia hiki kituo cha televisheni kwa muda mrefu ila sikuwahi kuwaona wakiwa na habari za kimataifa nje ya East na Central Africa. Naona siku za karibuni wamekuwa wakiturushia matukio ya kinachoendelea Gaza katika habari yao ya saa 2 usiku, je huu ndo...
  4. GENTAMYCINE

    Profesa aliyeko Mubashara ITV na Radio One: Soda aina ya Pepsi ina Vijiko Nane (8) vya Sukari

    Tujiandaeni tu Kufa/ Kufariki kuanzia sasa. Kinachoniuma GENTAMYCINE nimeanza kuinywa hii Soda ya Pepsi tokea nikiwa Chalii (Mdogo) hadi huu Uzee wangu na nikipiga Hesabu za haraka haraka kwa Mahesabu ya huyu Profesa mpaka sasa (leo) nitakuwa nimeshakunywa Vijiko Milioni 750 vya Sukari...
  5. F

    Kuna wimbo wa watu wa Afrika Magharibi nautafuta ulikua wapigwa ITV miaka ya 90

    Kwa wajuzi mtu akiweza kuutambua kwa jinsi ntavyokua najaribu kuufanya aujue kuna elfu 20 yake
  6. F

    Mfanano wa taarifa za habari za ITV na UTV (Azam). Je, kuna kuvujishiana habari ili kuimarisha Ushindani?

    Ukiondoa TBC, taarifa za habari za saa mbili usiku za ITV na UTV zinafanana karibia kila kitu. Habari zinazotangazwa ni zilezile. Kuna habari sio mbaya kufafanana kama vile habari iliyotoka kwa Rais, Mawaziri nk. Sasa shida ni kufanana hadi habari ndogondogo. Katika zama hizi za upatikanaji...
  7. Gulio Tanzania

    Kituo cha ITV wamekuwa waoga sana kuripoti habari za kisiasa

    Wote tunakumbuka miaka ya 2008-2010 jinsi chombo kilivyo kuwa imara katika utoaji wa habari bila upendeleo wa chama chochote cha siasa mengi yaliibuliwa na viongozi wa upinzani TBC nayo ilikuwa kwenye ubora wake kiasi chake chini ya mkurugenzi wake Tido mhando Chombo hichi cha habari naona...
  8. GENTAMYCINE

    Farhia Middley: Napenda wanaume warefu, handsome, maji ya kunde na wenye kunyoa O ndevu zao

    Haya mnaomtaka huyu Dada Mtangazaji wa Radio One na ITV Farhia Middley tayari ameshawawekea Vigezo vyake hivyo Kazi Kwenu. Chanzo: Kipindi changu Pendwa cha Mazungumzo ya Familia na Radio One Leo Jumapili kinachoanza Saa 1 na Nusu Asubuhi hadi Saa 4 Kamili. Haya Kwa wale Wenzangu akina Emolo...
  9. tamsana

    Dr. Possy, Naibu Katibu Mkuu, Uchukuzi yupo DK 45 ya ITV: Najitahidi nimuelewe imeshindikana

    Suala la Mkataba wa uwekezaji, uendelezaji na uendeshaji wa Bandari ya Tanganyika kupitia DP World limeshika kasi ambapo leo Dr. Possy yupo ITV kwenye kipindi cha DK 45. Kwa kweli huyu Dr. amekuwq mstari wa mbele katika kutoa ufafanuzi kwenye media tofauti tofauti lakini kila nikijaribu...
  10. T

    Je Television ya ITV wanajua watazamaji tunawapata kwa shida

    Idara ya matangazo ya ITV hawana budi kufuwatilia kwa umakini kwanini wakati wa taarifa ya Habari au matangazo muhimu channel yao inakuwa inakatika katika tunakuwa hatuwapati live je ni hujuma ndani kwa ndani au tatizo la mitambo yao. Nawasilisha
  11. R

    Mbunge Subira amvaa Profesa Tibaijuka sakata la Bandari

    Mbunge wa Viti Maalumu, Subira Mgalu amemtaka Waziri wa zamani wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka kutopotosha umma kuhusu utaratibu uliofanyika bungeni kwenye kupitisha azimio la Bandari. Subira ameyasema hayo leo wakati akichangia mjadala wa kupitisha Bajeti Kuu ya...
  12. GENTAMYCINE

    Malumbano ya Hoja ITV: Kama wanaochangia ndiyo wanavyuo wetu acheni tu DP World wainunue hata Tanzania yote!

    95% ya wasomi wa sasa hivi wa hasa kuanzia mwaka 2010 mpaka mwaka jana 2022 kichwani hamna kitu, hawajiamini na ujengaji wao wa hoja si tu ni mbovu bali ni wa kimasikini mno kifikra. Kwa huu uchangiaji wa hawa wasomi (wana vyuo wetu) na wengi wakitokea UDSM ninaouona sasa (mubashara) ITV daima...
  13. saidoo25

    Wazalendo tunaipongeza ITV kwa kukataa kununuliwa na kutoa taarifa ya Mkulima aliyewashtaki Mawaziri Mahakama ya Kisutu

  14. Mohammed wa 5

    Watangazaji wa Habari wa ITV na TBC muwe mnavaa nguo za heshima, maumbo yenu yanatutamanisha watazamaji

    Hope wazima wana JF, Juzi wakati nacheki habari ITV saa 2 usiku, nilipatwa na mshituko baada ya kuona umbo namba 8 la mtangazaji wa habari ITV. Baada ya kutangaza muhtasari wa habari akawa anaenda kukaa kwenye meza alivyogeuka, yule dada ana umbo jamani, nyuma kajazia. Nimeenda Instagram...
  15. Dr Akili

    Habari ya ITV usiku huu kuhusu uchangiaji wa Figo haipo sahihi, itaogopesha wachangiaji

    Upandikizaji wa figo (renal transplant) sasa hivi unafanyika hapa hapa nchini kwetu. Na tuko mbioni pia kuanza upandikizaji wa maini (liver transplant). Huko nyuma tulilazimika kuwapeleka wagonjwa wanaohitaji huduma hii nje ya nchi, hasa India kwa gharama kubwa ya fedha za nje za USA dollars...
  16. GENTAMYCINE

    Mtangazaji Farhia Middley wa Redio One na ITV: Wanawake Wanaowaendea Wanaume wao kwa Waganga wa Kienyeji wako sahihi 100%

    "Huenda kutokana na Kumpenda na kutotaka Mumewe / Mpenziwe huyo asihangaike na Wanawake Wengine anaenda huko kwa Waganga wa Kienyeji Kumroga atulie nae tu na waweze Kulea Familia pamoja hivyo hata Mimi naungana nao kwenda huko" Chanzo Taarifa: Radio One Mazungumzo ya Familia leo Haya Wanaume...
  17. USSR

    ITV kushinda Tuzo ya Super Brand mara sita mfululizo kuna nini nyuma ya pazia?

    ITV muda mfupi wametoka kupewa hii tuzo ikiwa ni mara sita mtawalia tangu waanze kuipata huku ukusanyaji wa habari na usambazaji wake ukiwa wa hovyo sana achilia mbali uchambuzi. Hawana EPG, sauti hovyo tena zenye mwangwi wakati mwingine, picha za hovyo, hakuna HD pale ni hivyo anashindwa...
  18. Msanii

    Kukatisha matangazo Mubashara ITV dhidi ya mkutano wa ACT Zakhiem

    Tarehe 19 Februari 2023 chama cha ACT Wazalendo walifanya mkutano wao wa Kwanza ambapo viongozi wake wa kitaifa walishiriki na kuongea na wananchi. Cheche zilianza kuonekana pale aliposimama Makamu Mwenyekiti wa Zanzibar ambape pia ni makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar alipoelezea umma...
  19. Jidu La Mabambasi

    Kwenye mahojiano yake Lissu hajaonesha ni kivipi CHADEMA itakuwa mbadala wa CCM

    Nimeisikiliza kwa makini ile interview ya Tundu Lissu na ITV jana jumatatu saa tatu jioni. Tundu Lissu naona kama amekuwa confused. Namwonea huruma kwa jaribio la maisha yake, si hali nzuri binadamu kuipitia kamwe. Lakini yote bin yote, Lissu hajonyesha ni kwa vipi CHADEMA inaweza kufanya...
  20. USSR

    Hoja za Lissu ni zilezile za tangu aje Tanzania kugombea Urais 2020

    Aisee Lissu hana jipya; ni matatizo yake binafsi na jamii inayafahamu sana maana taarifa za yeye kushambuliwa na kukimbilia Ulaya sio jambo gani masikioni mwa watanzania kama ni pole tulimpa sana sasa maisha lazima yaendelee tu ,kwa waliosomea mambo ya habari watakubaliana na mimi kuwa kama...
Back
Top Bottom