ITV - Independent Television Limited (ITV) ni kampuni shirikishi ya IPP Limited. ITV ilianza shughuli zake mwaka 1994 ikiwa na kituo kimoja cha televisheni na kituo kimoja cha redio ambacho ni ITV na Radio One.
Mwaka 2009 kampuni ilizindua kituo kingine cha Capital Television na Capital Radio.
Huyu mwandishi wa ITV ana ripoti vizuri lakini kushindwa kuongea kiswahili sanifu kumenikera sana.
Huyu mwandishi anaitwa Silemu, katika kipindi cha kuwahoji hao vijana waliotapeliwa fedha na kampuni ya QNET.
Akimwuliza au kuhoji mtu, badala ya kumuuliza UMETOA KIASI GANI, yeye anauliza...
Muda mrefu nilikuwa sijaangalia TV, ila wiki hii nimeanza kuangalia, imecheki ITV siku kadhaa na hivi sasa naangalia mjadala wa bajeti.
Nilichogundua kuna mabadiliko makubwa sana kwa ITV ya sasa na ya miaka ile, yaani hata hawa wachambuzi wanaoitwa kuja kuchambua bajeti wote ni kumsifu tu...
ITV baada ya kutokea sekeseke la Loliondoa waliuliza swali kwenye kipima joto kuwa "wanaopotosha" suala la utiaji mipaka Loliondo wapewe kesi ya uhujumu uchumi..?🤣🤣
Hivi jamani hata tuki assume ni kweli wanapotosha, wapewe kesi ya uhujumu uchumi? Hii kesi si haina dhamana?
ITV ombeni radhi
Mabere Makubi alifukuzwa na ITV baada ya kuripoti Habari ya maandamano ya machinga Mwanza.
Alishinikizwa kwenda Kwenye vyombo vya HABARI kuomba radhi.
Akatumwa MTU ITV kwenda kushinikiza afukuzwe kazi.
Familia yake ikaanza kuteseka na akaanza kuombaomba huku waliomfanyia huu unyama wakiwa...
Imechukua muda mrefu sijasikia sauti ya Mabere Mkaubi wa ITV. Kwa Mikoa ya Kanda ya Ziwa Mabere Makubi amekuwa akiripoti habari kupitia kituo chenu habari ya uhakika na kwa kweli Mabere Makubi anapendwa sana na wananchi wa Kanda ya Ziwa kutokana na umahiri wake. Inawezekana kuwa kuna tofauti...
Huenda mimi ndio sielewi basi nielimishwe, lakini kwa upeo wangu mdogo ninavyojua mimi hizo channel ITV, eatv, clouds na channel ten ni FTA channels sasa inakuwaje kifurushi cha Dstv kikiishia wanakuachia Tbc peke yake?
Mimi nina king'amuzi pia cha Star times hawa air time ikikuishia free...
Wakuu Mimi fundi madish sasa apa kwa jirani ana dish lake haya ya zamani madish makubwa nlikuwa naomba msaada.kwa anayefahamu frec za itv maana naangaika signal. Sipati kuna watu wameniambia wamebadilisha frec
Kuna wakati huyu dada alikuwa maarufu sana kwenye tasnia ya Habari Tanzania. Sijui kwa kipindi hiki cha "hapa kazi tu" anafanya hiyo kazi kwenye chombo gani cha habari.
Ni ajabu na kweli...
Na kwa wafuatiliaji wa siasa zà Kenya, hivi Kenyatta na Odinga wanatokea chama kimoja cha siasa au ni wanachama wa vyama tofauti...?
Anyway, vyovyote iwavyo. Ila iko hivi;
Kwamba, kwa mujibu wa taarifa ya habari ya leo saa 2 usiku huu ya ITV - Tanzania, Uhuru Kenyatta...
Wadau wote tunajua TBC ni televisheni ya serikali Watanzania wote kodi zao pamoja na kodi za Mbowe na wenzake zinatumiwa na TBC.
TBC imekuwa inatangaza kesi mbalimbali lakini toka mahakama ya uhujumu uchumi ianze kusikiliza kesi ya Mh. Mbowe na wenzake hakuna hata siku TBC imeripoti juu ya...
My Take 1
Sirro anapenda sana kuita-ita neno gaidi. Naona anarahisisha sana mziki wa magaidi.
My Take 2
Sirro kama hawezi kuondoka mwenyewe aondolewe kwa nguvu. Kashfa ya askari wake kufanya ujambazi haisafishiki
======
Kamanda Sirro: Ni viongozi ambao tunawategemea kwenda kuwasaidia...
Aliyekuwa mwandishi mwandamizi wa kituo cha ITV na Radio One, Emmanuel Chacha amefariki dunia jioni ya leo Februari 10, 2022 akiwa jijini Mwanza.
Chacha alianguka ghafla ambapo amefariki akiwa njiani akipelekwa hospitali.
Awali tuliona nguvu kubwa inatumika kudhibiti Watu wasiingie mahakamani.
Tukashuhudia Majaji wakitoa hukumu zilizo kinyume kabisa na mwenendo wa kesi na baada ya kutoa hukumu hizo wakapandishwa vyeo
Switch za ukutani tukaambiwa zimeharibiwa kudhibiti umeme usipatikane
Tukashuhudia ubunifu wa...
Yaani Dada yangu Farhia Middle hivi Waziri wa Maji Awesso kuwa 'Field' kuangalia Changamoto za upatikanaji wa Maji Mkoani Dar es Salaam ndiyo hadi Umsifu mpaka utake hata Kumkufuru Mwenyezi Mungu katika Kipindi chenu Kizuri cha Mazungumzo ya Familia cha leo ukiwa na Pacha wako Aboubakary Sadick...
Kutokana na Spika Mstaafu kueleza kuwa Mbunge akifukuzwa uanachama na chama chake hawezi kuwa mbunge kwa namna yoyote ile.
Kwa vile bungeni kuna wabunge 19 waliofukuzwa CHADEMA wanaoharibu pesa za wavuja jasho kwa kulindwa na mtu mmoja, napendekeza Spika ashitakiwe hata kwenye Mahakama ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.