itv

ITV - Independent Television Limited (ITV) ni kampuni shirikishi ya IPP Limited. ITV ilianza shughuli zake mwaka 1994 ikiwa na kituo kimoja cha televisheni na kituo kimoja cha redio ambacho ni ITV na Radio One.

Mwaka 2009 kampuni ilizindua kituo kingine cha Capital Television na Capital Radio.
  1. Kennedy

    TANZIA Mwandishi Wa Habari, Vedasto Msungu afariki dunia

    Mwandishi mkongwe wa habari za mazingira, Vedasto Msungu amefariki dunia kwa changamoto ya upumuaji huko Morogoro Hospitali ya Rufaa Mwandishi Vedastus Sungu alikuwa akipatiwa tiba kwenye Hospitali ya SUA, hali yake ilipozidi kuwa tete sana akahamishiwa Hospitali ya Rufaa Morogoro ward number...
  2. J

    DC Godwin Gondwe awaomba radhi waandishi wa habari kufuatia DED wa Temeke kumkemea Richard wa ITV

    Mkuu wa wilaya ya Temeke mh Godwin Gondwe amesimamisha ujenzi wa Shule ya Lumo hadi pale kesi iliyopo mahakamani itakapotolewa maamuzi. Kiwanja cha Shule hiyo kina mgogoro kati ya Wananchi wa eneo hilo na Manispaa ya Temeke. Kadhalika Godwin Gondwe amewaomba radhi waandishi wa habari kote...
  3. A

    Mkurugenzi wa Manispaa ya Temeke aache kutisha na kufedhehesha Waandishi wa Habari

    Jana wakati nafuatilia taarifa ya habari ITV saa mbili usiku niliona mgogoro ulipo katika kiwanja mojawapo kilichopo Yombo wilaya ya Temeke lakini wakati mwandishi wa habari anatafuta ukweli wa jambo hilo alipojaribu kumpigia simu Mkurugenzi wa Manispaa ya Temeke ajulikanaye kwa jina la...
  4. Kurunzi

    ITV - Taarifa ya Habari mnatangaza mtafikiri mnakimbizwa

    ITV ndiyo chombo cha habari ambacho kimekuwa kinafuatiliwa zaidi na watazamaji hasa Taarifa ya Habari ya saa 2:00 Usiku, ukienda bar nyingi ukifika saa 2 tu utaona wanaweka taarifa ya Habari. Muinekano wa studio na muinekano wa picha uko vizuri Lakini pamoja na kuwa nawatazamaji wengi...
  5. MUSIGAJI

    Uchaguzi 2020 ITV leo hakuna taarifa ya mikutano ya Lissu?

    Wanabodi habari ya majukumu? Nipo naangalia taarifa ya habari ya ITV naona leo hakuna taarifa ya mikutano ya Lissu. Je, leo Mh Lissu hakufanya mikutano? ITV ni vizuri muwe mnatupa taarifa mapema siku ambazo hakuna taarifa za Lissu tusiwetunapoteza muda, angalau tuwe tunafanya mambo mengine.
  6. mugah di matheo

    U-turn ya ITV kwenye uchaguzi huu inatokana na nini?

    ITV ndio ulikuwa TV pekee inayotoa taarifa za mikutano yote ya kampeni kwa uhalisia na uwazi lakini jana, leo na siku moja huko nyuma waliacha kutoa taarifa za mikutano ya Lissu kwanini? Tuliona hivyo Lissu alivyokuwa Chato, Pemba na leo Kusini. Tujadiliane nini haswa kwa mabadiliko haya?
  7. M

    Uchaguzi 2020 Kuelekea Oktoba 28, ITV kiongezeeni muda kipindi cha Dakika 45

    Bila maneno mengi, ninaomba ITV wakiongezee muda kipindi cha Dakika 45 kwa kipindi hiki cha uchaguzi angalau kiwe kwa dakika 80. Pia kifanyike hata kwa wiki mara tatu. ITV niwasikivu na weledi katika habari nadhani wataona na watafanya maboresho kwenye muda.
  8. hayaland

    Uchaguzi 2020 Hongera sana ITV kwa kurusha habari kwa usawa kwa vyama vyote

    Nimekuwa nikifatilia habari mbalimbali hususani habari za UCHAGUZI KUU NA WAGOMBEA WAKE. nimegundua ni ITV pekee wanaorusha habari sahihi zisizo elemea upande wowote ule(sijui azam).ukikosa habari ya itv inakulazimu kutumia mitandao ya kijamii kupata habari zenye uhakikia zaidi.Baadhi ya vituo...
  9. Erythrocyte

    Uchaguzi 2020 Dakika 45 ITV tunaamini baada ya kumhoji Kitila Mkumbo anayefuatia ni Boniface Jacob

    Kama mlivyofanya kwa Wagombea wa Urais kwa kuwahoji wote basi bila shaka ndivyo mtakavyofanya kwa wagombea Ubunge wa Jimbo la Ubungo hasa baada ya kuanza kumhoji Mgombea ubunge wa CCM, Kitila Mkumbo wiki hii ambaye si kiongozi wa CCM. Tunaamini atakayefuatia wiki ijayo ni Boniface Jacob wa CHADEMA.
  10. B

    Uchaguzi 2020 Kampeni hata zikisimama mbona somo limekwisha eleweka?

    Mabibi na mabwana heshima kwenu. Nimesikiza kipindi hiki "Meza Huru" ITV leo. Katika kipindi hiki watu mbali mbali walikuwa wakihojiwa kulingana na mwenendo wa kampeni. Sikia mambo hapa kwa ufupi, mwelekeo mzima ndivyo hivyo ulivyo kuwa: Bila ya mapendeleo huyu bwana anauelewa kuliko hata...
  11. Civilian Coin

    Tarehe Kama ya leo september19, 2013 Don Nalimison alikuwa ITV

    TBT: Alhamis ya September 19, 2013 DON NALIMISON alishiriki kipindi Cha MALUMBANO YA HOJA katika kituo Cha ITV,Dar es salaam.
  12. Makala josee

    Uchaguzi 2020 Mgombea Urais wa Chama cha CUF, Prof Lipumba atema madini kupitia kipindi cha Dakika 45

    Ikiwa ni kipindi cha wagombea kunadi sera zao kwa wapiga kura kabla ya zoezi zima la mchakato wa kuwapata viongozi Wakuu wa kitaifa hapo Oktoba 28, Mgombea Urais kupitia Chama cha Civic United Front (CUF) Prof. Ibrahim Lipumba amefanya mahojiano katika kipindi cha Dakika 45 kinachorushwa kupitia...
  13. Nyani Ngabu

    Uchaguzi 2020 Dakika 45 na Bernard Membe ITV: Baadhi ya mambo aliyoongea

    Hahaha! Membe bana. Hivi atafika hadi mwisho wa uchaguzi kweli? Sasa hivi yupo ITV. === Ikiwa kampeni zinaendelea kupamba moto, vituo mbalimbali vya utangazaji vimeanza kuwahoji baadhi ya Wagombea wa nafasi ya Urais wa Vyama mbalimbali. Wiki iliyopita mnamo September 3, ITV ilimhoji Ndugu...
  14. Subira the princess

    Uchaguzi 2020 Hongera sana ITV kukataa kutumika kipindi hiki kuelekea yeriko

    Wasalaam, Nachukua fursa hii kuwapongeza sana ITV kwa taarifa ya habari ya SAA mbili kwa kujali na kutoa muda sawa kwa wagombea wa nafasi ya urais was JMT. Hakika ITV ni super brand Afrika mashariki na kati hamjaongeza wala kupunguza, hamjaegemea upande wowote, hamjaonyosha ukada. Ova...
  15. M

    Uchaguzi 2020 Hongera sana ITV, lakini TBC na Vyombo vingine vinadhulumu historia ya Taifa hili

    Kila siku ipitayo kwa Mungu historia mpya ya nchi hii inaandikwa. Historia hii ina jambo la kijifunza ili kusaidia kujenga taifa kutokana na experience inayopata. Napenda kuchukua nafasi hii kama Mtanzania kuwasifu na kuwashukuru ITV kwa kutuandalia mahojiano muhimu sana na mazuri sana ya Mh...
  16. Pascal Mayalla

    Hongera ITV kumhoji Tundu Lissu. Hongera sana Tundu Lissu kuzungumza kistaarabu kwa lugha za staha. Ruksa kuhisi chochote, sio fair kutaja majina!

    Wanabodi, Hili ni bandiko la pongezi kwa ITV kuwa ndio the first mainstream TV Station kumhoji Tundu Lissu. Huu ni mwanzo mzuri, TV nyingine zifuate. Pia nampongeza Mhe. Tundu Lissu kuzungumza kistaarabu, ametumia lugha za staha, amemwaga sera. Kati ya freedom zote, freedom ambayo ni absolute...
  17. Roving Journalist

    Uchaguzi 2020 Mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu afanyiwa mahojiano kwenye kipindi cha ITV dakika 45

    Turn and watch now. Mgombea Urais wa Chadema Ndugu Tundu Lissu alipata fursa ya kuhojiwa na Mwandishi wa habari Bi. Farhia Middle katika kipindi cha dakika 45 kinachofanywa na kituo cha televisheni cha ITV ambapo aliongea mambo yafuatayo: Mwandishi wa Habari: Kwanini unataka kuchguliwa kuwa...
  18. Leslie Mbena

    Uchaguzi 2020 Tathmini ya Taarifa ya Habari ITV & TBC1

    TATHMINI YA LEO; Taarifa ya habari ITV & TBC1. Nipo Kinondoni Mkwajuni nakunywa bia mahali hapa nilikuja kunywa bia hivi hivi Mwaka 2015, tofauti ya Mwaka huu 2020 watu wamemsikia Lissu wakasema bado Magufuli, Magufuli akaonyeshwa uko Nzega, watu wakasema Lissu anajisumbua asubiri 2025, Mwaka...
  19. Influenza

    Uchaguzi 2020 SPECIAL THREAD: Taarifa za Kampeni na Sera za Mgombea Urais kupitia CHAUMMA, Hashim Rungwe Sipunda

    SEPTEMBA 5: CHAUMA KUFUNGUA RASMI KAMPENI MANZESE, DAR Mgombea Urais kupitia CHAUMMA, Hashim Rungwe ametangaza kufungua rasmi kampeni za chama chake viwanja vya Bakhresa vilivyopo Manzese Dar es Salaam, Septemba 5 Awali chama hiko kilipanga kufungua kampeni zake mkoani Mara, zoezi ambalo...
Back
Top Bottom