ITV - Independent Television Limited (ITV) ni kampuni shirikishi ya IPP Limited. ITV ilianza shughuli zake mwaka 1994 ikiwa na kituo kimoja cha televisheni na kituo kimoja cha redio ambacho ni ITV na Radio One.
Mwaka 2009 kampuni ilizindua kituo kingine cha Capital Television na Capital Radio.
Nimetazama ripoti ya kiuchunguzi ya mwandishi wa habari wa kituo cha itv bwana Benjamin Mzinga . Ripoti hiyo aliyoipa jina la kimbunga cha madereva wa mabasi Dar-Iringa binafsi bwana mzinga ana stahili pongezi kwa kitendo chake cha kiuchunguzi kwa sabaabu ameibua vitendo vya madereva kwenda...
TUNDU LISSU, huenda akawa ni miongoni mwa wanasiasa wenye bahati kubwa!
Ni mwanasiasa, anayenufaika sana na makosa ya wakubwa! Makosa ya wakubwa kwa kujua au kutokujua, kwa kushauriwa au kutokushauriwa vizuri yameanza kumjenga Tundu Lissu.
Awamu hii ya tano, imejenga marafiki wengi wa kificho...
Nimefuatilia mkutano wa ACT Live unaorushwa na ITV.
Tundu Lissu kapewa nafasi ya kuongea, kaongea kirefu, kisha akaanza kuzungumzia hali ya nchi ndani ya miaka mitano iliyopita, na nia na sababu ya kuiondoa CCM madarakani. ITV wakamzimia sauti.
Sasa najiuliza kama ITV inafanya kazi kwa maslahi...
Chama cha ACT–Wazalendo leo tarehe 05 Agust 2020 kinafanya Mkutano wake Mkuu Diamond Jubilee–VIP Hall.
#MkutanoMkuuACT2020
#KaziNaBata
#TheFutureIsPurple
=====
UPDATES
======
#UCHAGUZI2020: MEMBE, MAALIM KUPEPERUSHA BENDERA ZA ACT WAZALENDO URAIS TANZANIA NA ZANZIBAR
- Chama hicho...
Yaani taarifa ya habari ITV mlichoona cha maana kuripoti kutoka mkutano wa CHADEMA Ni kuhusu kuongeza aya ya tatu kwenye wimbo wa taifa, tena kwa kumuonesha jaji mtungi tu
Mengine yoote hamjaona ya maana bali Hilo moja tu! kweli?
Ktk kipindi chote cha Msiba wa Mzee Mkapa ITV wamejitahidi sana kumtendea haki. Wakati wa taarifa ya habari ya saa mbili, utakuta habari nne mfululizo ni habari za msiba wa Mzee Mkapa.
Utaona habari watu wapo uwanjani wakiaga, utaona habari nyingine watu mkoani Tanga wakitoa maoni juu ya kufiwa...
Historia ya Benjamin Mkapa
MFULULIZO WA MATUKIO MBALIMBALI YALIYOTOKEA WAKATI WA MSIBA NA MAZISHI YA HAYATI MZEE BENJAMINI WILLIAM MKAPA
WANANCHI WASIMAMA BARABARANI KUAGA MWILI WA RAIS MKAPA
Wananchi wa maeneo mbalimbali ya Dar es Salaam, wameonekana wakisimama barabara kuonyesha heshima kwa...
bendera
chadema
habari
haki
historia
huzuni
itv
kubwa
makongoro
makongoro nyerere
maua
mkapa
musiba
mwanaharakati
nyerere
nyumbani
rais
saa
serikali
shada
sherehe
tanga
tbc
uhuru
upinzani
watoto
"Tunataka kuona katika Taifa hili, vijana jeuri na wenye kujiamini, si vijana waoga, akina "ndiyo bwana mkubwa", vijana wanaohoji na kupiga vita mifumo ya jamii isiyoshabihiana na matakwa na matarajio ya jamii ya kitanzania. Tunataka vijana waasi dhidi ya mifumo kandamizi, ubwana na ufisadi...
Wadau nisaidieni kujua huyu mwanadada aliko. Maana sauti yake nimeimiss sana. "Nikiripoti kutoka jijini Dar es Salaam ni mimi mtangazaji wako, Ufoo Saro wa ITV."
Rais Magufuli yupo sherehe za kuzindua ujenzi wa 51.2 km za barabara ya mji wa kiserikali wa Mtumba, mkoani Dodoma
Barabara hiyo itakuwa na km 11.2 za njia nne, zenye upana wa mita 7 kila upande
Katika sherehe hizo pia kutakuwa na uzinduzi wa Jengo la ofisi za TARURA mji wa Mtumba, katika...
Shehe wa mkoa wa Dar es Salaam alhad Mussa Salum jana aliwahoji watangazaji wa kipindi cha Malumbano ya Hoja kwanini hawaweki vitakasa mikono na maji tiririka mlangoni?
Sheikh alilalamika kuwa yeye alipita bila kunawa popote hadi kufika hapo meza kuu alipokaa.
Mtangazaji Kivuyo alisema...
Unakuta taarifa zenu mnaripua ripua tu. Kwani ni lazima kutoa taarifa nyingi?
Hamuwezi kuchuja?
Taarifa ndogondogo mnaziandalia kipindi chake. ..
Habari zenu mpo juu juu yani mtasema mnakimbizwa. . .
Hebu badilikeni mmekaa kishamba kama TBC studio ni ile ile kila siku. .
Sijui huo...
Kijana mwenye akili nyingi,hekima, busara na upeo wa hali ya juu, John John Mnyika, Katibu mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo kesho Jumatano tarehe 29.01.2020 saa tano asubuhi atakuwa hewani akitoa darasa la siasa, demokrasia na maendeleo.
Madini ya Mnyika hayapaswi kupitwa na kila...
Mjadala ulikuwa kati ya Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Meli (TASAC) na Mawakala kutoka sekta binafsi.
Kitu kilichonivutia kwenye mjadala huu ni baada ya mawakala kutoka sekta binafsi kutoa malalamiko yao kuwa TASAC ameamua kuwa wakala lakini akaweka sheria kuwa yeye hatakuwa na LIABILITY kutoka...
leo Jumatano Desemba 18, 2019 Rais wa Tanzania, John Magufuli amehudhuria hafla ya uzinduzi wa jengo la Mahakama ya Wilaya ya Chato na uwekaji wa jiwe la msingi ujenzi wa jengo la Zimamoto na Uokoaji la Wilaya ya Chato mkoani Geita.
Haya ni baadhi ya yaliojiri kwa ufupi.
Prof. Ibrahim Juma...
Wanabodi,
Ukiwa ni mfuatiliaji wa series fulani kwenye TV fulani au tamthilia mbalimbali, Series hizo na tamthilia hizo zina urahibu fulani, hivyo wakati wa tamthilia hiyo ukifika, wapenzi wa tamthilia hizo, huacha kila kitu ili kufuatilia tamthilia hizo.
Sasa kunapotokea matukio ya kitaifa...
Hello wakuu, nimekuwa ni mfuatiliaji wa hiki kipindi mara nipatapo nafasi. Kimekuwa kinahoji watu wa kada mbalimbali mfano Mawaziri, Wakurugenzi, Makatibu nk.
Shida ni kuwa kipindi hakina ladha kabisa wala mshawasha wowote wale ndugu zetu wa habari kuna kosa gani la kiufundi pale?
Yaani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.